Kenya: Wanaharakati wafungua kesi kupinga Mahakama Kuu kumtangaza Rais

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Wanaharakati Koome Mbogo, Michael Asola, na Eric Githinji wamehamishia Pingamizi lao katika Mahakama ya Rufaa ili kuzuia Mahakama Kuu kumtangaza Rais kutokana na kesi za kupinga ushindi wa Naibu Rais William Ruto.

Walalamikaji hao hawakuridhika na uamuzi wa Mahakama Kuu kutupilia mbali ombi lao bila kusikiliza hoja na hivyo waliamua kuhamia Mahakama ya Rufaa.

Katika ombi hilo, Wanaharakati wanadai kuwa Mahakama Kuu haitakiwi kuwa na Mamlaka ya kutangaza mshindi kutokana na Pingamizi na badala yake jukumu hilo libaki kwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) pekee.

================================

Three activists have moved to the Court of Appeal in a bid to block the Supreme Court from declaring a president-elect from the ongoing petitions challenging the victory of Deputy President William Ruto.

Speaking to the media on Thursday, August 25, the three petitioners explained that they decided to move to the appellate court after their initial petition was dismissed by the High Court (August 24).

The three namely Koome Mbogo, Michael Asola, and Eric Githinji, added that they were not contented with the High court for having thrown out their petition without hearing their arguments.

In the petition, the three argued that the Supreme Court should not have powers to declare a winner in the presidential petition as it is the responsibility of the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) chairperson.

KENYANS
 
Back
Top Bottom