wanaharakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Paspii0

    JamiiForums Tanzania "Hadithi za Ushujaa: Wajibu wa Wanaharakati katika Siasa za Upinzani"

    👉🏾Katika ulimwengu wa siasa, ambapo nguvu za madaraka mara nyingi hujificha nyuma ya pazia la kusadikika na wanaharakati wanajitokeza kama nyota za mwangaza katika giza la mang’amung’amu. Wakiwa na dhamira isiyoyumbishwa, wanapambana na vikwazo vya kisiasa, kiuchumi, na kijamii, wakijitolea kwa...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Tanzania kazi yao ni kudandia kwenye migongo ya vyama vya siasa.

    Wepesi sana kulaumu vyama vya siasa vinapofanya makosa huku wao wakijificha nyuma ya laptop. Dada wa Taifa alijaribu kuandaa maandamano akiwa ughaibuni lkn nayo hayakufanikiwa kwa sababu alitegemea Chadema wajitokeze, kwanini wanaharakati hamkujitokeza kumuunga mkono mwenzenu. Maria Sarungi...
  3. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Hakujapata kutokea watu wanafiki dunia kama wafuasi wa CHADEMA na wanaharakati

    Niende kwenye mada moja kwa moja Tangu miezi sita nyuma au mwaka mmoja nyuma tulio karibu na uongozi wa chadema tuligundua ipo siri kwa vice-chairman ana matamanio na kugombea uwenyekiti na kuhisi yeye ana uwezo wa kuongoza chama cha Chadema kuliko kiongozi wa sasa anaye maliza muda wake, Kiasi...
  4. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Siri ya kwanini Lissu anaungwa mkono na Wanaharakati na siyo Mbowe

    Wakuu habari za Dominica, Moja kwa moja na mimi nawiwa kuwamegea kile ambacho nimekigunduwa baada ya Mbowe kutangaza kugombea nilipita mitandaoni na siri ni hii, usifuate mkumbo. Freeman Mbowe ni State Man, mwenye siasa za kistaarabu lakini anapambana na chama cha wahuni ccm, nilitamani wahuni...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati njooni Tena tuikomboe nchi hakika tunaangamia

    Nakumbuka siasa hizi za kiharakati zilianzia vyuo vikuu vijana wasomi na ma professor wahadhiri haswa wa UD na pale UDOM mambo yalikuwa moto moto sana, Mpango wa vyama vya upinzani haswa CHADEMA ulifaulu kwa 80% Chini ya ukatibu wa Dr wa mihogo kulipatikana kina ZItto kina Juliana Shonza kina...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Hii ndio mishahara elekezi ya kulipa madada wa kazi kulingana na Shirika la kutetea haki zao. Chini ya Elfu 60 haikubaliki!

    Wakuu, Najua humu jukwaani kutakuwa kuna watu ambao majumbani mwenu mtakuwa na madada wa kazi ambao huwasaidia na shughuli za nyumbani Hivi karibuni kumekuwa na shirika ambalo limejitokeza kutetea haki za madada wa kazi Shirika linaloitwa initiative for domestic workers Akizungumza kwenye...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri:CHADEMA na wanaharakati mbalimbali, wakati umefika Mdude apewe tuzo ya ushujaa katika siasa za mapambano na harakati za kupigania haki za watu

    Wadau, kwa sasa, huyu bwana bila shaka ndio anaeongoza kwa kupata misukosuko kutoka na harakati za kisiasa pampja na kupinga uovu wanaofanyiwa watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wasio wanasiasa. Kwa ujasiri aliona na utayari mkubwa alinao wa kubeba gharama ya hii kazi hata ikibidi kwa...
  8. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Watanzania 70% hawatumii mitandao ya kijamii hasa vijijini. Wapinzani, wanaharakati katoeni elimu kuhusu katiba na mfumo wa vyama

    Kuna kasumba moja ya wanasiasa hasa upinzani na wanaharakati wamekua wanaikosoa serikali, au mifumo mibaya ya uongozi, ubovu wa katiba ya sasa kupitia mitandao ya kijamii na makongamano ya wao kwa wao badala ya kuwashirikisha wananchi. Mf; Unakuta linaendeshwa kongamano la katiba au demokrasia...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kiislamu ya Iraq yapendekeza sheria Watoto Miaka tisa kuolewa

    Sheria mpya inayopendekezwa nchini Iraq inayolenga kupunguza umri wa ridhaa ya Ndoa kwa Wanawake hadi miaka tisa jambo linalolenga kuruhusu Wanaume Nchini humo kuoa Wanawake wakiwa na Umri mdogo, imepingwa vikali na Wanaharakati Nchini humo wakidai kuwa ni yenye kuhalalisha udhalilishaji wa...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Uturuki imewapiga Wakurdi zaidi mara 1000 ndani siku nne kuretaliate shambulio la kigaidi lilifofanyika. Cha ajabu hatusikii wanaharakati mkilaani

    Israel akirudisha mashambulizi kutokana na ugaidi anaofanyiwa mnawaita wauaji. Ooh, tushaelewa kwa nini. Turkey ni wale wale itikadi kali wenzenu ndio maana mko kimya.
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Haki za Wanawake Afrika Kusini wataka shoo ya Chris Brown ifutwe

    Wanaharakati wa kutetea haki za wanawake nchini Afrika Kusini kutoka Taasisi ya Women for Change wameanzisha kampeni ya kutaka kusitishwa kwa shoo ya staa wa RnB duniani, Chris Brown maarufu Breezy pnchini humo linalotarajiwa kufanika kwa siku mbili, Desemba 14 na 15, 2024. Wanaharakati hao...
  12. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya jinsia moja kwa watoto wa kike Zanzibar yashika kasi! Wanaharakati, Wanasiasa, Jamii na Serikali wanena

    Na THABIT MADAI, ZANZIBAR. ‘ZANZIBAR ni njema atakaye na aje’, Msemo huu ni maarufu sana visiwani haapa, na kwamba umetokana na ukarimu wa watu wake tangu asili na asili. Bila ya shaka hakuna asiejua kuwa watu wa Zanzibar walikuwa wakiishi kwa msingi ya kiimani inayopelekea kuishi kwa...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Palestina mbona hamkupiga kelele watoto wa Yemen kufa na utapiamlo kutokana na vita ya Houthi?

    Mimi kila siku nawaambia kuwa harakati yenu sio kuhusu haki wala ukombozi wowote. Harakati yenu ni ya itikadi na chuki. Full stop. Hamkuandamana kabisaa wala kuanzisha nyuzi nyingi kumshutumu houthi kama vile mnavyo mshutumu israel. Kwa nini? Eti kisa ni Muyahudi. Hio inaprove unafiki na...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania U.A.E waliamua kuachana na mrengo wa itikadi kali na siasa za fujo. Leo ni nchi ya kuigwa. Wenzao wamebaki kuwa wanaharakati wa mambo yasiyoeleweka

    Leo hii unaenda dubai unakutana na watu wa kila aina wenye misimamo na dini za kila aina, ili hali waishi kuendana na sheria za U.A.E Hawa walikataa ujinga wa kuwa wahanga wa wapumbavu wachache wanaodhania duniani wamekuja kuipigania dini na itikadi zao kwa hali na mali. Emirates waliiona...
  15. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Makosa waliyofanya wanasheria wa CHADEMA na wanaharakati na ambayo yanaenda kuwagharimu

    Tambua makosa ambayo walifanya wanasheria wa CHADEMA na wanaharakati na ambayo yanaenda kuwagharimu. Kwanza kitendo cha Sativa kutekwa na kunusurika na pia baadaye Sativa kumtambua Mafwele miongoni mwa watekaji, [kosa/ushauri]*ilibidi CHADEMA kupitia wanasheria wake na baadhi ya wanaharakati...
  16. tpaul

    JamiiForums Tanzania Swali la kufikirisha: Kwanini wapinzani na wanaharakati tu ndio wanauawa na "wasiojulikana"?

    Tangu kazi ya kuteka na kuua raia ianze katika nchi hii, sijawahi kusikia kada wa CCM kapotezwa na kukutwa ameuawa. Ijapokuwa mauaji kwa njia ya kuteka yalikuwepo tangu awamu ya kwanza lakini nimejaribu kuvuta kumbukumbu zangu sijapata jina la kada hata mmoja wa CCM aliyewahi kutekwa na kuuawa...
  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati nguli, mnaokoteza matukio mitandaoni au wahitaji wanawafikiaje?

    Nisiwachoshe sana. Twende kwenye hoja Nimekuwa nafuatilia kwa uchanya sana shughuli za wanaharakati hususan wanasheria wa kujitolea wanaosimamia haki kwa gharama kubwa ya kujitolea. Nimeangalia kurasa zao zote za mitandaoni hawajaweka mawasiliano yao na wameenda mbali zaidi wamefunga inbox zao...
  18. Kichwa kikubw

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa madini

    Habari za wakati huu wakuu humu ndani
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wapinzani na Wanaharakati acheni kuilaumu Marekani na nchi za EU

    Nimeona kwenye mitandao ya kijamii wapinzani na wanaharakati wakishambulia na kulaumu tamko la ubalozi wa Marekani kuhusu kukamatwa na kuwachiwa kwa viongozi wa CHADEMA kwamba ni tamko dhaifu sana lakini zaidi wakiilamu Marekani na Washirika wake Ulaya kutoweka shinikizo la kutosha kwa serikali...
  20. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania TLS Yatoa Tamko Kulaani Ukamataji Holela wa Viongozi wa Siasa, Wanaharakati na Makundi ya Kiraia , na Kuonya Kuhusu Hatari ya Kuvuruga Amani ya Taifa

    https://youtu.be/FfitG5qRW2M?si=HcUhPfFnt9Wh7XCX Katika taarifa iliyojaa msisitizo na ufundi wa kisheria, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mwenendo wa jeshi la polisi katika kukamata viongozi wa kisiasa, mawakili, waandishi wa habari, na wanaharakati...
Back
Top Bottom