Sote tunajua hali ambayo nchi yetu inapitia:
1. Udhulumaji mkubwa wa haki za binadamu kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa.
2. Uonevu wa ajabu kwa wananchi, kama vile tulivyoshuhudia watu wakipigwa na kuvunjwa mikono na miguu, tena na watu waliotakiwa kuwalinda.
Bahati mbaya sana, mambo...
Jeshi la Polisi nchini Kenya limepelekwa nje ya Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi leo Mei 22, ikiwa ni hatua ya tahadhari kufuatia taarifa za maandamano yaliyopangwa kufanywa na wanaharakati wanaoshinikiza kuachiwa huru kwa mwanaharakati maarufu Boniface Mwangi.
Soma, Pia: Wakenya, akiwemo Mke...
Hata Idd Amin alitaka haki kwa kuwafanya wajinga waislamu.
Huyu anakwambia wanaharakati wanamakosa ila hapo hapo ndio mtu wa kwanza kulalamika palestina na waislamu wanaonewa.
Alitaka wanaharakati majini au
"Kwa Roho ya Afrika Mashariki, Tusaidieni Kuadhibu Wanaharakati Wasiotii," Seneta Cherargei Aisifu Tanzania kwa Kushughulikia Wanaharakati wa Kenya
======================
In the spirit of East Africa, assist us discipline the ill-behaved activists,” Senator Cherargei praises Tanzania's handling...
Kumbe Inawezekana wanaharakati ni wabaya sana kuliko wasiojulikana!
Na pia sijawahi kusikia neno kulinda uhuru na haki za Watanzania ila nasikia kulinda amani kumbe huenda haki haina umuhimu kiviile ama mwenzenu bado sijakua!
Matukio mawaili makubwa wiki hili; kuzuiwa wanaharakati wa Kenya (Martha Karua et al) na kushambuliwa kwa akaunti nyeti za mitandao na ku kisha kuchapisha taarifa potofu.
Sipendi dhulma na uonevu anaofanyiwa Tundu lakini pia ni utoto kuwapa airtime hawa Wakenya
Madhaifu ya serikali ya CCM...
Jana baada ya kuhamia ACT Wazalendo chama kikuu cha upinzani alianza kuwabeza wanaharakati aliokuwa wanamsupport
Kauli iliowashatua wengi kumwambia sativa auguze makovu aliyoyapata kwa washikaji
Ukifatilia comments zake za jana na wachangiaji ktk account yake ni wazi kwamba brand ya kitapeli...
Atuhaire was born in Sheema District in about 1988. Her childhood was difficult as her father spent too much money on alcohol. She completed high school due to a scholarship at Alliance School Mbarara. Lack of money meant that she could not fulfil her ambition to take law so she studied...
Ndugu zangu Watanzania,
Naona Sasa Demokrasia na uhuru hapa Nchini Umepitiliza Mipaka na kuvuka mstari wa demokrasia na uhuru unaopaswa kuwepo hapa Nchini na mahali penginepo pale popote Duniani. Uhuru umezidi mpaka sasa watu kama akina Heche wanafikia hatua ya kusimama kwenye magari yao...
Vyombo vya Ulinzi visionee aibu hawa nyang'au ambao wanajidai wanajua Kingereza huku kichwani ni empty head.
Kama jana waliweza kusafirishwa kwa Wingi kuja kisutu bila shaka watakuja sana au wanakuja sana kwenye mikutano inayoendelea.
Kamwe wasiruhusiwe kuchafua amani na kumwaga damu Tanzania.
Mimi kama stroke.
Nawaeleza tu kwa sauti ya upole wanaharakati wa Kenya.
Hakuna mahali penye ufisadi, mauaji, wizi wa kila namna kama Kenya.
Sioni Justification yeyote ya nyie kuja Kulia lia hapa Tanzania.
Sasa nawaambia hivi??
Malizaneni kwanza nyie kabla ya kuja kwetu kutuletea harufu zenu.
Kwa techinolojia ya sasa kuna, vifaa vingi sana vya siri vya kuwezesha kupata Data. Hii ni moja ya njia ya kudili na hawa Police CCM.
Kwenye nyumba wekeni Camera za siri zisizo onekana kabisa na zile za kawaida yaani CCTV Camera zinazo onekana.
Mfano pale makao makuu ya CHADEMA zinapaswa...
Kuna wachambuzi na wanaharakati uchwara waliowalinganisha wachezaji wazawa na wageni Sasa wanaona aibu
1. Mayele vs George Mpole
Hapa zilitumika nguvu kubwa kumsifu George Mpole
Walitumika hadi waamzi kumfanya Mayele asiwe top scorer, Mayele alidhurimiwa magoli yake
Mwisho wa siku Mayele yupo...
Kuibuka kwa yesu kristo kulileta matishio makuu mawili moja ikiwa kwa utawala wa Roma na pili ikikuwa kwa dini ya kiyahudi. Kwamba Yesu wakati anazaliwa alikuta utawala wa Roma ndio ulikuwa unatawala dunia na hata wafalme na magavana kutoka Israel waliteuliwa na kaisari kutoka Roma.
Sasa...
Kwa hali inavyoendelea sasa ndani ya Chadema kumeibuka mvutano kati ya Timu Lissu vs Team Mbowe
Kwa haraka haraka Team Mbowe walianza kutengwa na kufurushwa makao makuu na wengine wakionywa kutoshiriki hata msiba unaomhusu Freman Mbowe na Injinia wa Mpango Huu ni Mchaga Godi Lema kwa madai...
Wakuu lazima tukubaliane kuwa maisha yamebadilika sana kuanzia vijijini hadi mijini. Na mabadiliko yametokea ghafla. Ujio wa bodaboda na mabadiliko makubwa ya teknolojia kama uwepo wa mitandao ya kijamii na mobile money umepunguza ugumu wa kazi nyingi. Urahisi wa kufanya kazi nyingi pia nao...
Wakuu haihitaji research yoyote ya kisayansi kujua umuhimu wa kula. Pia haihitaji research kujua kuwa watanzania wengi hawapati chakula cha kutosha achilia mbali balanced diet. Yaani hata ugali maharage wa kushiba ni changamoto. Mimi nimeishi maeneo ya uswahilini Dsm nikaona mwenyewe jinsi watu...
Wakuu, RC Simiyu Kenani kihongosi amewataka wachimbaji wadogo kutoshawishiwa na wanaharakati kufanya migomo na maandamano kwani wanachokitafuta wao ni ugali wa familia zao tu.
==
Wachimbaji wadogo wa migodi ya dhahabu wilayani Bariadi wameaswa kutorubuniwa kwa namna yoyote vile na wanasiasa...
Harakati Harakatini
Msingi mkubwa wa haki za binadamu ni mapokeo ya Universal Declaration of Human Rights ya mwaka 1948 ambapo humo kuna vipengele 30 vya hizi haki za binadamu. Ni document ya page 8; yeyote anaweza kuisoma na kujionea kilichomo.
Ukipitia hiyo document ya haki za binadamu...
Leo tena katika kuperuzi YouTube nakutana na video za wanaharakati wa kupinga mradi wa EACOP.
Hizi vidéo ni za karibuni kama wiki tu imepita na inaonekana hiyo Channel iliyoziposti kuanzia mwezi uliopita imeposti habari ya madhara na hasara za mradi wa EACOP.
Who is behind these so called...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.