wanahabari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Nape: Rasilimali za nchi kutumika vibaya ni kwasababu wanahabari wamefumba macho

    Waziri wa habari, Nape Nnauye akizungumza kwenye kongamano la habari leo, tar. 17, 12, 2022 lenye kauli mbiu isemayo, habari kwa maendeleo endelevu. Nape amesema, rasilimali za Taifa kutumika vibaya ni kwasababu wanahabari wamefumba macho, hawatumii kalamu zao kuibua ubadhilifu. Amesema...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nape asikitishwa na maslahi duni ya wanahabari

    Waziri Nape amesema msiba wa Joachim Kapembe aliyefariki akishuka Mlima Kilimanjaro umemfanya afikirie kuhusu maisha ya familia ya muandishi huyo. Akiwa katika Kongamano la maendeleo ya sekta ya habari amesema mwaka 2023 serikali itaweka nguvu nyingi katika kuboresha maslahi ya waandishi wa...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti CPJ: Wanahabari 363 wamefungwa duniani kote, 56 wapo Afrika

    Hadi kufikia Desemba 1, 2022, Wanahabari 363 walinyimwa Uhuru wa Kazi yao duniani kote ikiwa ni kiwango kipya cha juu zaidi kwa 20% kulinganisha na mwaka 2021. Kwa mujibu wa Ripoti ya Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari (CPJ), Waandishi wa Habari wasiopungua 56 walifungwa barani Afrika mwaka...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Ukraine lawafutia vibali baadhi ya wanahabari wa vyombo vya magharibi kuripoti kutokea Kherson

    Waandishi wa habari wa CNN NA SKynews wamevuliwa wadhifa kwa kuripoti kutokea mji wa Kherson unaotajwa kukombolewa na Ukraine. Ukiacha waandishi hao mashirika mengi mengine ya Ukraine na nchi za nje yamewakemea waandishi wao kwa kosa hilo hilo. Kisingizio kilichotolewa na mashirika hayo ni...
  5. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Internews, MPC yatoa elimu ya UVIKO 19 kwa wanahabari

    Waandishi wa Habari mkoani Mwanza wakiwa kwenye mkutano wa tathimini ya chanjo ya UVIKO 19 na Uhuru wa Kupata Taarifa ulioandaliwa na Taasisi ya Internews na kuratibiwa na MPC. Waandishi wamehimizwa kuendelea kuandika habari chanya za kuelimisha wananchi ili kupata chanjo muhimu ikiwemo ya...
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Wanahabari watatu waachiliwa huru baada ya kuzuiliwa jela kwa miaka minne

    Mahakama moja nchini Rwanda Jumatano imewaachilia huru waandishi wa habari watatu ambao walikuwa wanazuiliwa jela kwa miaka minne kwa madai ya kueneza habari za uongo, kesi ambayo ilitajwa na makundi ya kutetea haki za binadamu kama uzushi. Wanahabari hao watatu, Damascene Mutuyimana, Shadrack...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania CPJ: Wanahabari wasiopungua 28 wanashikiliwa na polisi katika maandamano yanayoendelea dhidi ya serikali ya Iran

    Hadi kufikia Alhamisi Septemba 29, 2022, Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari (CPJ) limerekodi kukamatwa kwa waandishi wa habari wasiopungua 28 nchini Iran wakati wa maandamano ya nchi nzima kupinga kifo cha Mahsa Amini. Mapema wiki hii, CPJ ilitoa wito kwa mamlaka za Iran...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Septemba 20, 2022

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kimeitisha Mkutano na Waandishi wa Habari, tarehe 20/09/2022 , Saa 5 Asubuhi kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, zilizoko nje ya Jiji la Dar es Salaam huko Kinondoni, Mtaa wa Ufipa. Wote Mnakaribishwa.
  9. kavulata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vyeti vya Mgunda na Nabi vimewaumbua wachambuzi na wanahabari makanjanja

    Khabari za Juma Mgunda na Nabi kuwa hawana sifa za kuwa kwenye benchi la ufundi la simba na Yanga wakati wa mechi za CAF zilisambaa kama moto wa nyika unavyosambaa haraka na kuunguza kila kitu bila huruma. Wachambuzi na wanahabari wetu uchwara waliumbuka sana safari hii baada ya Mgunda na Nabi...
  10. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chebukati: Mahakama ya Juu imethibitisha Haki Yetu

    Baada ya Rais Mteule William Ruto kuzungumza na wanahabari muda mchache uliopita, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) anazungumza na wanahabari muda huu Fuatilia hapa sasa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imesema hukumu ya Mahakama ya Juu ni ushahidi kwamba mchakato wa...
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Australia: Wadukuzi wawavamia Wanasiasa, wanahabari

    Wadukuzi Nchini Australia wametengeneza tovuti ya habari za uwongo ili kukusanya taarifa kutoka kwa Maafisa wa Serikali, Wanasiasa na waandishi wa habari. Walengwa wamepokea barua pepe zinazoonesha zimetoka katika vyombo vya habari vya Australia kukiwa na habari mbalimbali ambazo zimeibwa kutoa...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nape: Hatutaki kudhibiti wanahabari

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hawataki kuwadhibiti wanahabari bali kuwawekea mazingira bora ya kufanya kazi. Kauli hiyo ameitoa wakati akifanya mahojiano na kipindi cha Dira ya Dunia kinachorushwa na kituo cha radio cha BBC ambapo amesema Serikali...
  13. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sakata la Kizz Daniel: STR8UP Vibes na Uongozi wanazungumza na wanahabari muda huu

    Baada ya kushindwa kutoa burudani Agosti 8, 2022 kwenye Ukumbi wa Next Door Arena, msanii Kizz Daniel kutoka Nigeria alikamatwa na polisi na kuweka kituo cha Oysterbay jijini Dar es salaam. Leo Mwimbaji huyo akiwa na Kampuni ya Uandaaji matamasha ya burudani ya STR8UP Vibes pamoja na uongozi...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wanahabari wa Reuters wapanga mgomo Siku ya leo kupinga ongezeko dogo la mshahara

    Waandishi wa habari wa Kampuni ya Reuters wametangaza mgomo wa siku moja kupinga ongezeko dogo la Mishahara katika kipindi hiki cha Mfumuko wa Bei Wanahabari hao wanadai Mwajiri wao hakujadiliana nao ipasavyo nyongeza ya mishahara, ambapo Shirika hilo linadaiwa kupendekeza Mikataba ya Miaka 3...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kenya: Baraza la Habari laagiza uchunguzi wa kushambuliwa kwa wanahabari kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Baraza la Habari la Kenya (MCK), limewataka Polisi kuchunguza kwa haraka mashambulizi dhidi ya Wanahabari, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, siku chache baada ya kushambuliwa kwa Mwanahabari wa Nation Media Group, Ian Byron Mwanahabari huyo mnamo Julai 10, anadaiwa kushambuliwa na watu...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Albert Msando: Wanahabari kuweni watetezi wa Haki za Binadamu, msiegemee upande mmoja

    Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando amewataka wanahabari kuendelea kufanya kazi kwa bidii na ueledi zikiwemo za utetezi wa Haki za binadamu ili kuongeza tija katika kuwahabarisha wananchi taarifa zilizojitokeza na zitakazojitokeza. Msando amesema hayo Mkoani Morogoro wakati akifungua...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali anazungumza na Wanahabari leo Juni 12, 2022 Jijini Dodoma

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akitoa taarifa kuhusu utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo ya Serikali katika mkutano na waandishi wa habari leo Juni 12, 2022 katika Ukumbi wa Ofisi za Idara ya Habari-MAELEZO, Dodoma. MSIGWA...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mwandishi mashuhuri nchini Ghana azindua kituo cha Usalama wa Wanahabari Afrika

    Mwanahabari mpelelezi wa Ghana Anas Aremeyaw Anas amezindua "Whistleblowers and Journalists’ Safety International Centre’ (Kituo cha Kimataifa cha Usalama cha Watoa taarifa na Wanahabari) ili kutoa ulinzi, nyumba salama, huduma za kisheria na utetezi kwa wanahabari na watoa taarifa barani...
  19. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Wanahabari 50 wa Tanzania kujifunza kuandika habari za fedha na biashara

    Taasisi ya Bloomberg Media Initiative Africa (BMIA) imetangaza kuanza kwa awamu ya pili ya programu ya mafunzo ya uandishi wa habari za fedha (FJT) kwa waandishi wa Tanzania. Mafunzo hayo yamelenga kuwawezesha waandishi wa habari wa fedha na biashara kuandika habari za kina zinazohusu sekta...
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Marie Stopes yatoa Elimu ya Afya ya Uzazi kwa Wanahabari na Wadau

    Shirika la Marie Stopes Tanzania (MST), limewakutanisha waandishi wa habari zaidi ya 33 pamoja na wadau wengine jijini Dodoma na kuwapa elimu ya afya ya uzazi na kuwaeleza shughuli zinazofanywa na shirika hilo hapa nchini. Waandishi hao pia walipata fursa ya kufahamu shughuli nyingine za...
Back
Top Bottom