wanahabari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Olengurumwa: Wanahabari na Vyombo vya Habari kipindi hiki cha AI wanao wajibu wa kusaidia umma kujua habari zipi za kweli

    https://youtu.be/tI08NWYXihc?si=tjdasxeZb1GDbpgi Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema kwamba waandishi wa habari na vyombo vya habari vinao wajibu wa kusaidia umma kubaini zipi taarifa za ukweli na uongo, ambapo amesema katika...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Waziri Prof. Kabudi: Tunatambua mchango wa wanahabari na tunatilia mkazo umuhimu wa kulinda uhuru kwa ustawi wa demokrasia na maendeeo

    "Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani ni siku ambayo dunia inatafakari nafasi ya vyombo vya habari katika jamii zetu, tunatambua mchango mkubwa wa wanahabari na tunatilia mkazo umuhimu wa kulinda uhuru huu muhimu kwa ustawi wa demokrasia na maendeleo. Kauli mbiu ya maadhimisho ya Siku ya...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LHRC yakemea kamatakamata na matumizi ya nguvu yanayoendelea dhidi ya Viongozi wa kisiasa, Wanahabari na Wananchi

    KAMATAKAMATA NA MATUMIZI YA NGUVU YANAYOENDELEA DHIDI YA VIONGOZI WA KISIASA, WAANDISHI WA HABARI NA WANANCHI Dar es Salaam, 24, Aprili 2025 Leo tarehe 24 Aprili 2025 ni siku iliyopangwa kwa ajili ya usikilizwaji wa kesi ya inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Makamu Mwenyekiti (Zanzibar) ACT, Ismail Jussa alipozungumza na Wanahabari Makao Makuu ya Chama, Vuga, Zanzibar, Februari 27, 2025

    UTANGULIZI: Nimewaita hapa leo kuzungumzia kashfa kubwa (major scandal) inayozunguka kile kilichopewa jina la uwekezaji wa kimataifa katika Bandari ya Zanzibar ambacho sasa kinawatafuna wananchi masikini wa Zanzibar walioangushiwa zigo kubwa la kubeba gharama za mradi huo wa kashfa. Zigo hilo...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Toufiq Turky awataka vijana na Wanahabari kuitangaza miradi mikubwa iliyotekelezwa na Serikali ya Rais Dkt. Mwinyi, Zanzibar

    "Mimi nimesoma Skuli ya Kajificheni darasa la kwanza na tulikuwa tunakaa kwenye boksi, darasa la pili tulipewa mabao tukakaa bao moja tunakaa watu watatu. Siyo mbali na miaka iliyopita lakini leo mtoto wa Skuli binafsi na mtoto wa Skuli ya Serikali wanakaa sawa na baadhi ya Skuli binafsi ziko...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali anazungumza na Wanahabari kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, leo Januari 25, 2025

    https://www.youtube.com/live/P1Wh1QZrawc Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali atakuwa akiongea na Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Morogoro na Dodoma kutoa Taarifa ya Serikali kwa Wanainchi Kupitia vyombo vya Habari .
  7. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Nitaongea na wanahabari kesho kujibu mapigo ya Wenje na genge lake

    === Hiki ndicho alichokiandika Godbless Lemma baada ya Press Release ya Ezekiah Wenje. Hii inaitwa Jino kwa Jino. Pia soma Ezekiel Wenje: Lema ndiye aliongoza kumshughulikia Zitto Kabwe mpaka kuondoka CHADEMA Ezekiel Wenje: Dkt Slaa alikuwa anataka aifute CHADEMA kwa msajili wa vyama. Leo...
  8. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Rhoda Kunchela Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi kuongea na wanahabari katika Hoteli ya Safina Makumbusho Dar

    === Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye Mhe Rhoda Kunchela Mbunge pekee mstaafu wa kike wa CHADEMA aliyechaguliwa kuongoza chama ngazi ya mkoa ataongea na wanahabari kesho katika Hoteli ya Safina. Waandishi wa habari wote mnakaribushwa
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA anaongea na wanahabari

    https://youtube.com/live/D0mJfxf3wXE?si=c7girWLBjKbOhiyH Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika yupo live akiongea na wanahabari kueleza mambo mbalimbali ya uchaguzi wa ndani wa Chadema na Uchaguzi Mkuu wa 2025. Baada ya wagombea kuchukua fomu inafuata hatua ya usaili na uteuzi wa wagombea...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kada wa CHADEMA amlipua Makalla wa CCM mbele ya wanahabari. Amwambia aache kiherehere, asema CCM haijajiandaa na Uchaguzi!

    Wakuu, Inaonekana kauli za Amos Makalla za hivi karibuni zimewakera sana viongozi wa CHADEMA ambao hivi karibuni wamejitokeza rasmi kumjibu. Akiwa anazungumza kwenye mikutano tofauti tofauti, Makalla amekuwa akisema kuwa CHADEMA wamekuwa wakilalamika sana kuonewa kwa sababu hawajiandaa na...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mzuri (TAMWA – Zanzibar): Wanahabari kuweni wajasiri na wabunifu katika kuibua Wanawake kushika nafasi ya Uongozi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) - Zanzibar, Dkt. Mzuri Issa amewataka Waandishi wa Habari nchini kuwa Mabalozi kwa kuandika habari zinazohusu masuala ya Wanawake na uongozi. Wito huo ameutoa leo Oktoba 8, 2024 wakati akifungua warsha ya siku ya mbili ya...
  12. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Usalama Wa Wanahabari upo Hatarini Marekani- CPJ yasema

    Ripoti iliyotolewa Jumanne imesema kuwa wakati uchaguzi wa Rais wa Marekani ukikaribia, usalama wa wanahabari haujahakikishwa kwa mujibu wa marekebisho ya kwanza ya Katiba ya Marekani. Wanahabari wa Marekani wanakabiliwa na tishio jipya ikiwemo kushambuliwa na polisi, mashambulizi ya...
  13. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kwenu Wajumbe wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari, chukueni pointi 8 hizi

    Tasnia ya habari imevamiwa na magugu maji. MNA JUKUMU LA KUNG'OA MAGUGU Na N'yadikwa - Milima ya Umalila Hongereni kwa kuteuliwa. Kwa kuzingatia changamoto za uandishi wa habari na utangazaji nchini Tanzania, Bodi ya Ithibati kwa Waandishi wa Habari ina majukumu muhimu ya kuhakikisha sekta ya...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tido Mhando Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari

    WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amemteua Tido Mhando kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari. Kwa mujibu wa Taarifa ya Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali wa wizara hiyo, Isabela Maria Katondo imeeleza kuwa wajumbe wa Bodi hiyo Thobias...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu, Masheikh na Wanahabari, mpo wapi?

    Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh na Wanahabari, hoja za mh. Mbunge Mpina kuhusu harufu ya rushwa katika mchakato wa uagizaji sukari mmezielewa? Kwa taarifa zilizopo ni kwamba, katika Nchi za Afrika mashariki, ni Tanzania pekee yenye bei kubwa ya sukari. Hii inathibitisha ukweli wa hoja za mh...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari kufanyika tarehe 18-19 Juni, 2024. Rais Samia kuwa Mgeni Rasmi

    Wanahabari tuna jambo letu ===== Wanahabari tuna jambo letu Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari. 🗓️ 18-19 Juni, 2024. Kikao Kazi cha Maafisa Habari wa Serikali. 🗓️ 20-22 Juni, 2024. Mgeni rasmi: Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waalikwa tukutane...
  17. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa kuongea na Waandishi wa Habari baada ya kushindwa Uchaguzi wa Uenyekiti Kanda ya Nyasa

    Kama heading inavyojieleza mpaka muda huu mgombea aliyeshindwa kanda ya nyasa amegoma kusema lolote, ameahidi kuita press na kuongea yote yaliyojiri kwenye huo uchaguzi kifupi hajaridhirika. Hizi habari ni za ndani sana kaeni tayari kwa mvurugano! PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Usalama wa Wanahabari na Watu wenye Ushawishi

    Waandishi wa Habari wa kike na Watu Wenye Ushawishi wameshiriki warsha ya Siku moja iliyohusu kujengewa Uelewa wa Usalama wao katika masuala ya Mtandao, ilifanyika Mei 7, 2024 ikiandaliwa na Taasisi zisizo za Kiserikali, JamiiForums kwa kushirikiana na CIPESA. Warsha hiyo ililenga kuangalia...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Serikali itasimamia kwa uweledi usalama wa wanahabari na kutosumbuliwi popote wanapofanya kazi yao

    Waziri Mkuu: Serikali itasimamia kwa uweledi usalama wa wanahabari na kutosumbuliwi popote wanapofanya kazi yao
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani nchini Tanzania asema anafurahishwa na washiriki wa Stories of Change kwa uandishi wao

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ndiye mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day) kwa Mwaka 2024 yanayohitimishwa leo Mei 3, 2024. Maadhimisho hayo yanayofanyika Jijini Dodoma katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre yanngozwa na...
Back
Top Bottom