wanahabari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Msigwa awataka Maafisa Habari Wizarani kuimarisha mahusiano na Wanahabari

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewataka maafisa habari za wizara zote kuimarisha mahusiano na waandishi wa habari ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi. Msigwa ametoa maelekezo hayo jana jijini Dodoma alipokutana na Wakuu wa Vitengo vya...
  2. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sio na kigazeti chako mara uandike Samia hivi mara vile, vingine vya uongo vingine vya ukweli

    Wakuu Asalam aleikum, Hayati Magufuli aliwahi kusema kuwa "your not free to such extent" akiwatahadharisha wanahabari juu ya kile alichokiita upotoshaji na kuwaonya vikali. Baada ya kauli hiyo vyombo vyote vikawa vya mlengo mmoja na wale waliotaka kwenda kinyume walinyooshwa kwa mkono wa...
  3. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania Wanahabari wa Michezo wawahoji wapinga mabadiliko Yanga kama walivyokuwa wakifanya kwa Simba SC

    Habari Tanzania! Wakati Klabu ya Simba inakwenda kufanya mabadiliko ya Kiwendeshaji wa Klabu kulikuwa na tafarani nyingi sana za kukatisha tamaa kutoka baadhi ya Waandishi wa Habari za Michezo na Watangazaji pamoja na Wachambuzi, kama haitoshi walikwenda mbali zaidi kudai Uwekezaji haifai na MO...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nyakati za Kiongozi wa Nchi kutukuzwa na kupambwa na Wanahabari umerejea tena

    Wakati wa Awamu ya Nne tulishuhudia masuala ya ajabu sana maana vyombo vya habari vilikuwa vikipotosha umma. Kila alilolifanya mfalme wakati huo lilionekana jema. Kuna wakati wananchi waliaminishwa kuwa mfalme amelithishwa viatu vya mwalimu Nyerere. Kilichofuata baada ya miaka miwili ni...
  5. kirikou1

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania tuna waandishi wachunguzi na wachambuzi huru?

    Nimekuwa nikifuatilia ishu zinazoibuliwa mara nyingi labda na top leaders ndio inakuwa mijadala rasmi ya media. Mfano: leo gazeti la uhuru linazungumzia rushwa pale kariakoo, kuna gazeti moja nalo linazungumzia kuhusu aliyekua DC Hai. Yote ni baada ya viongozi kuibua taarifa wao ndio wanapatia...
  6. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Wanahabari na vyombo vyao wengi ni waganga njaa kuliko kutoa huduma ya habari

    Wanahabari wengi na vyombo vyao zaidi wapo kufanya biashara kuliko kutoa huduma sahihi ya habari. Wakiwa chini ya ushawishi mkubwa wa falsafa ya kimagharibi wanaona habari za uzushi uongo kuhusu sera zinazochukiwa na wazungu ndio zinauza kuliko kuandika au kusema kweli yenye manufaa kwa...
Back
Top Bottom