wanahabari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 SMS moja iliwanyamazisha Wanahabari wengi wa Iringa wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Mwaka 2025 umeacha kovu ambalo halitafutika kirahisi si tu kwa sisi walaji wa habari, bali kwa Wanahabari wenyewe ambao wamejikuta wakivunjwa moyo, wakinyimwa nafasi ya kutumia kalamu zao, na wakidhalilishwa hadharani katika taaluma waliyoiamini. Katika kipindi...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Paroko wangu wa KANISA la Karanga umenikosea Leo ibadani, Mimi sikuwa tayari kuwaombea wanahabari na viongozi wa serikali

    Baba paroko Tumsifu Yessu Kristo! Paroko wangu wa KANISA KATOLIKI karanga hapa Moshi vijijini Leo umenikosea ulipo niambia niwaombee viongozi wa serikali Ili watimize wajibu wao wa kutenda haki Pili umenilazimisha kuwaombea wanahabari Hawa washenzi wasio jua walifanyaro Hawa vikaragosi wa...
  3. The introvert

    JamiiForums Tanzania Samson Charles: Kwanini wanahabari (eti mnasema) tulionekana waoga?

    Anaandika Mwandishi nguli wa habari kutokea EATV bwana Samson Charles "Kwanini wanahabari (eti mnasema) tulionekana waoga? NA SAMSON CHARLES UZOEFU WA TASNIA YA HABARI MIAKA 15. Jibu ni rahisi sana. - Je, wewe ulipoambiwa mwisho wa kuonekana nje ni Jumatano saa 12 kamili jioni ulionekana? -...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Media za Tanzania zilivyoripoti matukio ya Uchaguzi Mkuu 2025; Je, tatizo ni uwezo wa Wanahabari au uhuru umesiginwa?

    Wakati Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ulipofanyika tarehe 29 Oktoba 2025, huku Huduma za Mtandao wa Intaneti zikiwa zimezimwa, Vyombo vya Habari vikuu (Mainstream Media) kama televisheni na redio, pamoja na Vyombo vya Habari vya Mtandaoni, vilitarajiwa kutoa taarifa sahihi na zenye uwiano kuhusu yale...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wanazungumza na Wanahabari leo Saa Sita Mchana, Septemba 22, 2025

    Awali Mkutano huu ulikuwa ufanyike Saa Tano Asubuhi, umesogezwa mbele hadi Saa Sita Mchana, leo Septemba 22, 2025 kwenye Ukumbi wa Maalim Seif ndani ya Jengo la ACT Wazalendo Jijiji Dar es Salaam.
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jeshi la Polisi Arusha limchukulie hatua Askari huyu aliyempora Mwandishi kamera akiwa kazini

    Usiku wa kuamkia leo Septemba 9, 2025 katika maeneo ya Washington karibu na Stand Ndogo Jijini Arusha, kulitokea tukio la kusikitisha ambapo Mwandishi aliyekuwa akitekeleza majukumu yake alivamiwa na askari anayefahamika kwa jina la Inspekta.... (jina linahifadhiwa kwa sasa) kutoka Kitengo cha...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 TCRA:Wanahabari msibebe umbea, hojini sera za vyama

    Meneja wa Huduma za Utangazaji katika Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka, amewataka waandishi wa habari na watangazaji nchini kuzingatia sera za vyama vya siasa katika uripoti na mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa 2025, badala ya kuendesha mahojiano kwa misingi ya mambo...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari iingilie kati Wanahabari wanaoingilia Faragha za watu

    Inasikitisha kuona chombo cha habari kinatoa taarifa za ndani za kifamilia kiasi kuleta taharuki na ugomvi kwenye familia. Huu ni uandishi wa hovyo na unapaswa kupigwa marufuku.
  9. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Wanahabari wana kazi ya kupambana na taarifa potofu ili jamii ipate taarifa sahihi

    Ujumbe wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko, unasisitiza na kuwakumbusha waandishi wa habari kuhakikisha wanadhibiti Taarifa zisizo za kweli na kutoa zile zilizo sahihi ili kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi. Ni muhimu kuthibitisha kila...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Inachofanya JamiiCheck kinatakiwa kifanywe na Wanahabari Kitaaluma

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa wito kwa Wanahabari kuwa na kawaida ya kuhakiki taarifa kabla ya kusambaza kama ambavyo imekuwa ikifanywa na JamiiCheck.com Msigwa amezungumza hayo wakati akichangia mada katika...
  11. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wanahabari Walio Tangaza Kugombea Wasitishe Shughuli Za Kihabari

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imeelekeza waandishi wa habari waliotangaza nia ya kugombea nafasi za kisiasa kusitisha mara moja shughuli zote za kihabari katika kipindi chote cha mchakato wa uchaguzi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na bodi hiyo imesema hatua hiyo inalenga kuepusha...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanahabari wazuiwa kuingia kwenye Kesi ya Lissu; waambiwa wameruhusu 10 pekee

    Waandishi wa habari zaidi 15 kwa nyakati tofauti wamezuiwa kuingia Mahakamani na kuamriwa kukaa mbali na viunga vya Mahakama ya Kisutu, ambapo wameambiwa kuwa wameruhusu waandishi wa habari 10 pekee kuingia ndani. Mmoja ya waandishi ambaye amekumbana na changamoto hiyo ameeleza "Wanasema ni...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi LATRA: Wanahabari tumieni kalamu vizuri kuandika habari zinazohusu Uchaguzi Mkuu

    Mkurugenzi Mkuu LATRA wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), CPA Habibu Suluo amewaasa Wanahabari kutumia kalamu zao vizuri kuandika habari zinazohusu uchaguzi mkuu na kuepuka habari zinazopotosha Jamii pamoja na kuandika kwa umahiri habari zinazohusu sekta ya usafiri nchini. Amesema...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa vyombo vya habari Tanzania, naomba wanahabari mtujubu

    Juzi nimesikia kelele na ngonjera za kusifia uhuru wa vyombo vya habari hapa nchni. Jana bunge la ulaya lilijadili hali ya haki za binadamu mchini. Hii ni habari kubwa sana kwa viwango vyovyote. Nimepitia karibu magazeti yote ya leo hakuna hata mojo lililothubutu kuandika habari hiyo. Hivi mtu...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo, Omar Said Shabani anazungumza na Wanahabari, Mei 5, 2025

    https://www.youtube.com/live/EV0n0sLG1Zs?si=A_fxrMIQec4ggyrP Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani na Wanahabari, ofisi za Chama Vuga Mjini Unguja. Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani ameeleza kusikitishwa kwake na kauli ya Mkuu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 THRDC: Wanahabari wapewe maarifa ya kisheria kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umewakutanisha wanahabari 150 kutoka maeneo mbalimbali nchi ili kuwawezesha kuelewa sheria za uchaguzi,maadili ya kazi,usalama kazini na wajibu wao katika kulinda haki za binadamu kipindi cha uchaguzi mkuu ujao wa Oktoba 2025. Akizungumza...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Olengurumwa: Wanahabari na Vyombo vya Habari kipindi hiki cha AI wanao wajibu wa kusaidia umma kujua habari zipi za kweli

    https://youtu.be/tI08NWYXihc?si=tjdasxeZb1GDbpgi Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema kwamba waandishi wa habari na vyombo vya habari vinao wajibu wa kusaidia umma kubaini zipi taarifa za ukweli na uongo, ambapo amesema katika...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Waziri Prof. Kabudi: Tunatambua mchango wa wanahabari na tunatilia mkazo umuhimu wa kulinda uhuru kwa ustawi wa demokrasia na maendeeo

    "Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani ni siku ambayo dunia inatafakari nafasi ya vyombo vya habari katika jamii zetu, tunatambua mchango mkubwa wa wanahabari na tunatilia mkazo umuhimu wa kulinda uhuru huu muhimu kwa ustawi wa demokrasia na maendeleo. Kauli mbiu ya maadhimisho ya Siku ya...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LHRC yakemea kamatakamata na matumizi ya nguvu yanayoendelea dhidi ya Viongozi wa kisiasa, Wanahabari na Wananchi

    KAMATAKAMATA NA MATUMIZI YA NGUVU YANAYOENDELEA DHIDI YA VIONGOZI WA KISIASA, WAANDISHI WA HABARI NA WANANCHI Dar es Salaam, 24, Aprili 2025 Leo tarehe 24 Aprili 2025 ni siku iliyopangwa kwa ajili ya usikilizwaji wa kesi ya inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Makamu Mwenyekiti (Zanzibar) ACT, Ismail Jussa alipozungumza na Wanahabari Makao Makuu ya Chama, Vuga, Zanzibar, Februari 27, 2025

    UTANGULIZI: Nimewaita hapa leo kuzungumzia kashfa kubwa (major scandal) inayozunguka kile kilichopewa jina la uwekezaji wa kimataifa katika Bandari ya Zanzibar ambacho sasa kinawatafuna wananchi masikini wa Zanzibar walioangushiwa zigo kubwa la kubeba gharama za mradi huo wa kashfa. Zigo hilo...
Back
Top Bottom