wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MTWARA: Basi la Shule ya King David lapata ajali, watu 10 Wamefariki na wengine 19 Wakijeruhiwa baada ya gari 'kufeli breki'

    Kuna taarifa kuwa basi la Shule ya King David iliyoko Manispaa ya Mtwara Mikindani limepata ajali mbaya iliyopelekea vifo vya wanafunzi na dereva wa basi hilo aliyetambulika kwa jina moja Hassan anayekadiriwa kuwa na umri wa mika (54-60) Miili imehifadhiwa katika hospitali ya rufaa ya Ligula na...
  2. Siku walimu watakapogundua kuwa wanafunzi ni wateja wao ufaulu utaongezeka na watoto makini watazalishwa. Taifa litasonga

    Habari! Kuna kitu hakiko sawa kwa watumishi wa umma karibu kada zote. Wanahudumia watu ili liende tu wakijua mshahara na posho viko palepale. Leo ngoja niwazungumzie walimu. Mwanafunzi ni mteja wa mwalimu hivyo inapaswa amhudumie kama vile costomer care wa mitandao ya simu wanavyohudumia...
  3. Wilaya ya Rungwe, Ijumaa wanafunzi huwa hawarudi nyumbani saa 5 kama mtaala unavyotaka

    Kati ya mambo ya ajabu nchini, ni hili la kutofuatwa mtaala la wilaya ya Rungwe. Yaani wilaya yote imeamua siku ya Ijumaa vipindi vya darasani vitaisha muda wa kawaida ( saa 9 kwa msingi na saa 11 kwa sekondari) Hakuna uhiari wa kuwepo au kutokuwepo shule muda wa swala ya ijumaa, tofauti na...
  4. Kilimanjaro: Wazazi wa wanafunzi wa shule za kata wilayani Hai kubambuliwa mifugo yao kwa lazima ili kulipia ada

    Serikali imekuwa ikitangaza kila wakati kuwa shule za kata ni bure na hakuna malipo yoyote. Hali ni tofauti kabisa Mkoani Kilimanjaro kwani shule hizo zimekuwa zikilipisha wazazi hela ya ada kiasi cha shilingi elf 70 kwa kila mtoto, pamoja na mchango wa mahindi na maharage kila mwaka. Baadhi...
  5. Tanzania tutumie ujasusi kuiba teknolojia, hakuna atakayetupatia teknolojia

    Salama wandugu, Kwa matokeo haya ya form six na hasa zile shule za vipaji maalumu kufanya vizuri, Je Serikali inawatumiaje kwa sababu kuna wengi wanaishia kwenda nje na kusoma na kuishia kufanya kazi kwenye makampuni nje Kama yule mtanzania ambaye yupo kampuni ya Boeing Marekani. Watanzania...
  6. Wanafunzi wanaosoma Tahasusi ya PCM wazidi kuongoza kitaifa katika matokeo ya kidato cha sita 2022

    .....
  7. Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,enyi GREAT THINKERS

    Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu, Wanafunzi Hawa walichaguliwa kujiunga kidato Cha 5 iringa girls mwaka huu, Wameshareport lakini swala lao kubwa ni kwamba hawataki kusoma A level na hawakuijaza ktk machaguo ,waliopt chuo tu Lakini wizara ikawatupa Iringa...
  8. Bweni la Shule ya Sekondari ya Bwiru lateketea kwa moto, Wanafunzi zaidi ya 70 wanusurika kifo

    Zaidi ya wanafunzi 70 wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Bwiru iliyopo Pasiansi Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza, wamenusurika kifo baada ya bweni walilokuwa wanalala kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2022 na kuunguza vitanda, magodoro, nguo pamoja na vifaa vyao vya shule Moto...
  9. Askari Polisi wanafunzi 156 wafukuzwa mafunzoni

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema takribani askari Polisi wanafunzi 156 wamefukuzwa mafunzo ya kijeshi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo za utovu wa nidhamu na kufanya mambo ambayo hayakubaliki ndani ya shule ya Polisi IGP Sirro amesema hayo wakati alipofanya ziara...
  10. Uganda: Shule yawavalisha wanafunzi sketi bila kuzingatia jinsia

    Shule ya Sekondari Nyakasura iliyoko Magharibi mwa Uganda imekuwa gumzo baada ya wanafunzi wa kiume wa nchi hiyo kuvaa sketi ikiwa ni sare ya shule hiyo ambayo imeanzisha tangu Mwaka 1926. Mkuu wa shule hiyo amesema mavazi yanayoonekana sio sketi bali ni mavazi ya heshima yaliyokuwa yanavaliwa...
  11. Kilimo kitafanikiwa vipi na Kuinua Uchumi, ikiwa wasomi wa kilimo hawasaidii?

    "Je serikali ina mpango gani wa kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na mchango mkubwa kwenye uchumi wa Taifa kuliko hali ilivyo hivi sasa?," - Mbunge wa kalambo Josephat Kandege Chanzo: EastAfricaTV Israel nchi ndogo sana tu na haaina Ardhi Kubwa lakini wameweza Kujiimarisha kwa Kilimo na...
  12. L

    Mashindano ya 21 ya "Daraja la Kichina" ya wanafunzi wa vyuo vikuu duniani yafanyika nchini Ufaransa

    Tarehe 25 mwezi Juni mwaka 2022 fainali ya mashindano ya 21 ya “daraja la kichina” la wanafunzi wa vyuo vikuu duniani ilifanyika nchini Ufaransa kwa njia ya mtandaoni na nje ya mtandao, kaulimbinu ya mashindano hayo ikiwa ni “ dunia moja, familia moja”. Balozi wa China nchini Ufaransa Bw. Chen...
  13. Naombeni kujuzwa taarifa za wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha 5 au chuo Awamu ya pili 2022/2023

    Habari zenu wakuu,, naombeni mnisaidie kama ipo tayari PDF ya wanafunzi waliochaguliwa kidato cha 5 au chuo kwa awamu ya pili
  14. M

    Changamoto kwa wanafunzi wa chuo cha DIT

    Chuo cha DIT inabidi wajitathimini kwa changamoto wanazokumbana nazo wanafunzi wao hususani katika mambo ya IT. System yao ya matokeo ya wanafuzi haipo stable kabisa, yaani unaweza ukakuta matokeo yanabadilika badilika , kwa kweli wajitathimini kwa hili .
  15. L

    Wahisani Wachina watoa matumaini kwa vijana wanafunzi kwenye makazi ya mabanda nchini Kenya

    Wahisani wachina wanaendelea kuwapa matumaini wanafunzi vijana wanaosoma kwenye shule ya Mcedo Beijing iliyopo kwenye eneo la makazi ya mabandaduni la Mathare mjini Nairobi. Watoto hao wanaotoka kwenye mazingira magumu wamejiunga na shule hiyo kutokana na hisani ya wachina na sasa wanaweza...
  16. Wanafunzi watatu UDOM wafariki katika ajali ya gari

    Wanafunzi watatu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wamefariki Dunia na wengine watano wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea Juni 4, 2022 jioni katika moja ya barabara zilizopo chuoni hapo. Ofisa Uhusiano wa chuo hicho, Beatrice Baltazar amesema ajali hiyo imetokea jana Juni 4, 2022 saa...
  17. Kwa wazazi wa wanafunzi wanaosoma shule za kata hapa makambako pitieni hapa

    .
  18. Wahadhiri wa SUA tafadhali ongezeni 'Msuli' kwa Wanafunzi wenu kwani 'Wanazagaa' mno 'Mitaani' Morogoro na 'Vichwani' ni Watupu

    Haiwezekani iwe ni Asubuhi, Mchana na hasa Usiku unakutana nao tu barabarani na katika Vilinge vya Starehe wakati nijuavyo kwa Vyuo Vikuu serious kama changu Takatifu na Tukuka cha SAUT Mwanza, Mzumbe, Tumaini na UDSM kwa Msuli walionao huwezi kukuta Wanafunzi wao wanazagaa hovyo kama Mbuzi wa...
  19. SUA, hao wanafunzi wanaoenda field bila kuwapa pesa za kujikimu mnawawazia nini?

    SUA hao wanafunzi wanaoenda field bila kuwapa pesa za kujikimu mnatuwazia nini?Hili ni swali ninalojiuliza ila hadi sasa hakuna majibu. Watanzania kazi iendelee. Katika mambo yanayoonekana kuwa na matatizo ni jinsi baadhi ya vyuo vikuu vinavyotekeleza mambo yake,leo nitaandika mambo...
  20. Chakula cha mchana kwa wanafunzi; Sababu isiyotajwa kwenye taaluma mbovu ya mtoto

    Salaam waungwana, poleni na hongereni nyote mnaopambana kuutafuta mkate wenu wa kila siku. Naomba niende kwenye mada. Binadamu ama kiumbe yeyote iki awe katika ustawi unaotakiwa ni lazima apate mahitaji muhimu ya kumuwezesha kuishi. Miongoni mwa mahitaji muhimu kwa kiumbe hai ni chakula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…