Samweli Mathayo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 1,566
- 2,000
Nataka kuoa mmasai naomba kujuzwa mambo kadhaa wawapo ndani ya ndoa
Kwa Umbo wazuri , wana mambo mazuri, nasemea kwa ndoa ndani wanakuwajeWazuri tu akwii!..
hahaha aiseemuda wote wanavaa mapazia kama mahujaji wa makka hivyo basi unapaswa uwe mvumilivu
Kumbe hahaAkiwa ananyonyesha hupati unyumba
....ni pangu pakavu we tia maji.
Wako kama wengine tu uliowazoea.
Ila kwenye suala la mahari ujipange vema
Kwa Umbo wazuri , wana mambo mazuri, nasemea kwa ndoa ndani wanakuwaje
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us