walipwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Napendekeza tuwe na Mbunge mmoja tu kila mkoa. Halafu walipwe 50M kwa mwezi.

    Sioni sababu ya kuwa na wabunge 393 ktk nchi maskini kama hii. Halafu tija yao mm binafsi siioni kabisa japo ni wengi kiasi hicho. Kwann tusiwe na mbunge mmoja tu toka kila mkoa? Huyu awe anahushuria vikao vya RCC na kupokea mihutasari ya vikao vya madiwani toka halmashauri zote ktk mkoa husika...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wastaafu walipwe pensheni yote kwa mkupuo ndani ya mwaka mmoja baada ya kustaafu

    Kwanini wastaafu huwa wanendelea kulipwa kila mwezi pesa kidogo kidogo baada kupewa kwa mkupuo kiasi kikubwa pindi wanapostaafu badala ya kupewa pesa zao zote ndani ya muda mfupi wa kustaafu kwao? Hizi pesa za pensheni wanazopewa kila mwezi ni za kuganga njaa tu na huwa hawewezi kudunduliza...
Back
Top Bottom