A
Anonymous
Guest
Wanaojitolea serikalini (interns) tunaombwa walipwe posho zao za mwezi na za kazi nje ya ofisi kwa wakati. Hasa Taasisi za Wizara ya Utalii na Maliasili naongelea zaidi Tanzania Tourist Board (TTB) na Tanzania National Parks Authority (TANAPA).
Wanacheleweshewa sana hivyo kupelekea kuishi maisha magumu eneo la kazi.
Wakurugenzi wakuu tunaomba mfuatilie hili..
Wanacheleweshewa sana hivyo kupelekea kuishi maisha magumu eneo la kazi.
Wakurugenzi wakuu tunaomba mfuatilie hili..