Walimu tunaishtaki CWT Mahakamani. Mwisho wa uonevu ni sasa

farai

Member
Jan 11, 2012
7
9
MKAKATI WA KUIN'GOA CWT KISHERIA NA KUWARUDISHIA WALIMU PESA ZAO WALIZOIBIWA NA CWT PAMOJA NA FIDIA

Nimepitia mijadala mingi na malalamiko mengi ya WALIMU dhidi ya CWT,Hotuba ya Rais Magufuli na Mkuu wa Wilaya wa Hai dhidi ya madudu ya CWT

Nashauri,CWT wanamengi ya kutujibu Walimu kwa KUTUMIA njia ya Mahakama.

Ni Mahakama pekee ndio inaweza kumkomboa Mwalimu hivyo nashauri tufungue kesi ya kudai yafuatayo (briefly)

1.Viongozi wa CWT watupatie majina ya WALIMU waanzilishi wa CWT pamoja na nakala ya CERTIFICATE OF REGISTRATION-sababu ni haki ya WALIMU kupatiwa

2.CWT watupatie nakala ya "Authorized Budjet"ya miaka mitano-kama sheria inavyoelekeza kuwa Mwalimu anatakiwa apate nakala hizo for five years consecutively if needed.

Authorised Budget ndio document inayotakiwa kuonyesha mapato na matumizi,kiasi cha pesa kilichopo,assets, liabilities,idadi ya wanachama, wafanyakazi, Budjet ya mishahara,idadi ya walimu wanaokatwa agency fees,Kodi zinazolipwa,n.k

3.CWT watupatie "company profile" ya Tanzania Teachers Development Co.Ltd(TDCL)-Kampuni hii ndio inayomiliki shares katika BENKI YA WALIMU,na pia inamiliki vitega uchumi-ukienda kwenye soko la hisa daresalaam utaijua zaidi

4.CWT watupatie taarifa ya kesi Aliyofungua mama Hellen Mbezi na Wakili Tarimo dhidi yao pale MCA mwaka 2013-kesi hii ni muhimu Sana kwa mstakabali wa maisha ya MWALIMU Tanzania-but it was cooked behind teachers ignorance

5.Ufafanuzi wa kisheria juu ya application of the law of agency fees in Tanzania-sababu walimu wamekua wakiibiwa kwa kutumia misapplications

6.CWT watupatie Anual Financial Reports za Mwalimu Bank maana ni haki ya wanahisa

7.CWT watupe maelezo ya kisheria yanayoonyesha Walimu ndio wamiliki wa MWALIMU BANK,na nafasi ya walimu katika maamuzi ya Benki hiyo

8.CWT watueleze iwapo wao ni Trade union au professional body ya walimu-ili kuondoa utata uliopo kwenye documents zao-wanazijua hizi

9.CWT wamekuwa wakipokea zaidi ya DOLA ELFU 90 KILA MWAKA kutoka Denmark kwaajili ya kusaidia WALIMU "professional awareness",watuonyeshe mchanganuo wa pesa hizi--wao wanazijua walianza kuzivuna ruzuku hizi mwaka 1998

10.CWT watupe majibu ya AUDITING ILIYOFANYWA NA PROFESA ASSAD MWAKA 2017

11.TUMTAKE MSAJILI wa vyama Tanzania Mama Uisso atueleze kwanini hajakifuta chama Cha CWT mpaka Sasa wakati HAWAJAWAHI kutoa "Authorised Budget"Kama inavyoelekeza na sheria..nayeye kapewa kazi yakuvifuta vyama visivyofata sheria

HAYO NI MACHACHE TU..MWALIMU HAWEZI KUJIBIWA HAYA BILA KUTUMIA MAHAKAMA ILIYO HURU NA HAKI,it is very wrong and falacy to take these things easy

NASHAURI KUUNDA TIMU YA WANASHERIA ILI KUISHTAKI CWT

KAMA UNAUNGA MKONO MPANGO HUU
TUMA NAMBA YAKO UJIUNGE NA WALIMU WENGINE WHATSUP VIKAO VINAENDELEA KULE
 
Kwà malalamiko tunayosikia kila leo kuhusu hii SACCOS huenda kinazd Hata Ile SACCOS ya Mwamba Mbowe!!!
 
Karibuni tuungane walimu kuna group la whasp limeanzishwa kwa lengo la kujioganize kukipeleka hiki chama mahakamani,weka namba uungwe ni serious issue
 
Naomba kuelimishwa kitu

Ni kwamba ukishakuwa mwalimu tayari unakuwa mwanacha au unajiunga kwa kupenda mwenyewe

Na hii ni kwa waalimu wote kuanzia ngazi ya chini mpaka vyuo au imekaaje?
 
Ndio wanavyofanya ukiajiriwa tu unaanza kukatwa ada ya uanachama,kitu ambacho ni uvunjaji wa haki za binadamu!
 
CWT ni bomu na siku yeyote litalipuka.ila kuwapeleka mahakamani itakuwa ndio njia rahisi na nzuri.Hiki chama kinawanyonya walimu Hadi walimu wamepoteza uelekeo wa kimaisha na kukata tamaa ya kazi.pia kumekuwa kikipunguza nguvu kazi ya walimu wanaofundisha darasani na kuwaazima,ifike kipindi chama hiki kiajiri watumishi wao na kuwalipa wenyewe kuliko mtindo uliopo kwa Sasa.
 
Ndio wanavyofanya ukiajiriwa tu unaanza kukatwa ada ya uanachama,kitu ambacho ni uvunjaji wa haki za binadamu!
Sio uvunjaji wa haki za binadamu tu, pia ni kinyume kbs na mapenzi ya mungu! Ni wezi na wahujumu uchumi kama wengine"
 
Hiki chama cha waalimu kazi yake nini hasa?

Naomba kuelimishwa wakuu

Naona ni kama tu sehemu ya watu kupiga mpunga baaasi
 
MKAKATI WA KUIN'GOA CWT KISHERIA NA KUWARUDISHIA WALIMU PESA ZAO WALIZOIBIWA NA CWT PAMOJA NA FIDIA

Nimepitia mijadala mingi na malalamiko mengi ya WALIMU dhidi ya CWT,Hotuba ya Rais Magufuli na Mkuu wa Wilaya wa Hai dhidi ya madudu ya CWT

Nashauri,CWT wanamengi ya kutujibu Walimu kwa KUTUMIA njia ya Mahakama.

Ni Mahakama pekee ndio inaweza kumkomboa Mwalimu hivyo nashauri tufungue kesi ya kudai yafuatayo (briefly)

1.Viongozi wa CWT watupatie majina ya WALIMU waanzilishi wa CWT pamoja na nakala ya CERTIFICATE OF REGISTRATION-sababu ni haki ya WALIMU kupatiwa

2.CWT watupatie nakala ya "Authorized Budjet"ya miaka mitano-kama sheria inavyoelekeza kuwa Mwalimu anatakiwa apate nakala hizo for five years consecutively if needed.

Authorised Budget ndio document inayotakiwa kuonyesha mapato na matumizi,kiasi cha pesa kilichopo,assets, liabilities,idadi ya wanachama, wafanyakazi, Budjet ya mishahara,idadi ya walimu wanaokatwa agency fees,Kodi zinazolipwa,n.k

3.CWT watupatie "company profile" ya Tanzania Teachers Development Co.Ltd(TDCL)-Kampuni hii ndio inayomiliki shares katika BENKI YA WALIMU,na pia inamiliki vitega uchumi-ukienda kwenye soko la hisa daresalaam utaijua zaidi

4.CWT watupatie taarifa ya kesi Aliyofungua mama Hellen Mbezi na Wakili Tarimo dhidi yao pale MCA mwaka 2013-kesi hii ni muhimu Sana kwa mstakabali wa maisha ya MWALIMU Tanzania-but it was cooked behind teachers ignorance

5.Ufafanuzi wa kisheria juu ya application of the law of agency fees in Tanzania-sababu walimu wamekua wakiibiwa kwa kutumia misapplications

6.CWT watupatie Anual Financial Reports za Mwalimu Bank maana ni haki ya wanahisa

7.CWT watupe maelezo ya kisheria yanayoonyesha Walimu ndio wamiliki wa MWALIMU BANK,na nafasi ya walimu katika maamuzi ya Benki hiyo

8.CWT watueleze iwapo wao ni Trade union au professional body ya walimu-ili kuondoa utata uliopo kwenye documents zao-wanazijua hizi

9.CWT wamekuwa wakipokea zaidi ya DOLA ELFU 90 KILA MWAKA kutoka Denmark kwaajili ya kusaidia WALIMU "professional awareness",watuonyeshe mchanganuo wa pesa hizi--wao wanazijua walianza kuzivuna ruzuku hizi mwaka 1998

10.CWT watupe majibu ya AUDITING ILIYOFANYWA NA PROFESA ASSAD MWAKA 2017

11.TUMTAKE MSAJILI wa vyama Tanzania Mama Uisso atueleze kwanini hajakifuta chama Cha CWT mpaka Sasa wakati HAWAJAWAHI kutoa "Authorised Budget"Kama inavyoelekeza na sheria..nayeye kapewa kazi yakuvifuta vyama visivyofata sheria

HAYO NI MACHACHE TU..MWALIMU HAWEZI KUJIBIWA HAYA BILA KUTUMIA MAHAKAMA ILIYO HURU NA HAKI,it is very wrong and falacy to take these things easy

NASHAURI KUUNDA TIMU YA WANASHERIA ILI KUISHTAKI CWT

KAMA UNAUNGA MKONO MPANGO HUU
TUMA NAMBA YAKO UJIUNGE NA WALIMU WENGINE WHATSUP VIKAO VINAENDELEA KULE
Mkuu hasira za kushindwa uchaguzi mbaya sana!
 
Sidhani kama kuna hoja hapa.
Kila idara ina chama chake cha wafanyakazi na ni kwa mjibu wa sheria na katiba.Kama huipendi cwt wakati wewe ni mwalimu huwezi kwenda TALGWU wala TLS ya wanasheria basi unda chama chako.
Kila chama hukusanya fedha kwa wanachama wake na vyama hivi siyo vya kibiashara yaani uzalishaji bali ni service.

Chama cha cwt kina return ya fedha sehemu ya kazi ambayo vyama vingine hawafanyi hivyo.
Cwt ndiyo chama kinachogawa tisheti za watumishi mei mosi bure vyama vingine tunauziwa.
Vyama vingine tumepanga majengo ingawa tunakusanya pesa lakini cwt wamejenga ofisi nchi nzima na ni endelevu.

Cwt wapo juu kikazi ingawa makosa yao makubwa yanarekebishika hasa ktk mikataba na ukosefu wa uaminifu kwa baadhi ya viongozi wao jambo ambalo hata mkiunda chama kipya mtalikuta pia.

Kumbuka kuna chama cha chakamwata kilichokuwa kinaipinga cwt kimefutwa tayari maana katibu mkuu wa chama mke ndiyo alikuwa mhasibu mwenyewe baadaye wakaanza kupelekana mahakamani wao wenyewe na kupelekea migogoro mikubwa hadi kufutwa.

Huwezi kujua umuhimu wa mke uliyenaye hadi muachane uoe mwingine. Cwt rekebisheni mapungufu ya cwt machache nyie ndiyo wenye chama bora.Mnaweza kutarekebisha kupitia chaguzi na vikao mahali pa kazi.

Tambueni pia kuwa cwt ni taasisi kubwa mno ambayo huwezi kuiua kurahisi namna hiyo maana viongozi wengi wakuu serikalini wametokea huko.

Waziri mkuu alikuwa katibu wa mkoa wa cwt singida, magreth Sita aliwahi kuwa rais wa cwt taifa.Kasuku Bilago sasa marehemu alikuwa katibu wa mkoa wa mbeya cwt akaenda kugombea ubunge kupitia chadema huko kigoma kakonko na akashinda.Ni wazi viongozi wengi wa cwt ingawa si wote serikali ina trust nao na wananchi pia.

Loosers always complain. Ingawa kuna baadhi ya mambo ya ukweli lakini wengi wa wanayoyasambaza ni wale walioshindwa ktk chaguzi nyingi ktk cwt.

Cwt ndiyo chama bora cha wafanyakazi kwa sasa ukilinganisha na vyama vingine ila uwingi wa walimu ndiyo unawaponza na kuonekana sana kuliko vyama vingine maana madudu yaliyopo kwenye vyama vingine ni makubwa mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom