walimu

  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Juma Usonge awataka wazazi kushirikiana na Walimu kuwahimiza wanafunzi kusoma kwa Bidii

    Mbunge wa Jimbo la Chaani Mhe. Juma Usonge amesema hayo alipokuwa akizungumza na wanakijiji kwenye kikao cha kuratibu shughuli ya kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa Skuli ya Sekondari ya Pwani Mchangani kwenye ukumbi wa Skuli ya Sekondari Pwani Mchangani iliyopo Wiliya ya Kaskazin A Unguja...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kutopandisha walimu madaraja kwa kuwa na mashauri ya kinidhamu ni kukiuka katiba ya Nchi, Ibara ya 13: 6(b)

    Baadhi ya walimu waliositahili kupanda madaraja ya kiutumishi 2023 hawajapandishwa vyeo vyao kwa sababu mbalimbali. Baadhi ya sababu ni walioko masomoni, walio likizo bila malipo na walio mashtaka katika kamati za kinidhamu katika wilaya mbalimbali kwa makosa mabalimbali. Kutompandisha mwalimu...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi ndugu Mpwayungu Village mdau na Mtetezi wa Sekta ya Walimu Tanzania

    Huyu mdau nini kimempata ndani ya majuma mawili sasa hapatikani au na yeye kalambishwa asali!
  4. JamiiForums Tanzania Sera mpya ya kusimamia ajira za walimu ifikapo Septemba 2023

    SERA MPYA YA KUSIMAMIA AJIRA YA WALIMU IFIKAPO SEPTEMBA 2023 Wasalaamu wapendwa, natumaini tuwazima wa afya! Nimesikia chama cha Walimu kimepinga vikali. Mimi nadhani kuna mambo tunachanganya. Tuna haja ya kuwa na chombo maalum cha kusimamia taaluma ya ualimu. Nikimanisha Bodi ya Ualimu. Hii...
  5. JamiiForums Tanzania Ushahidi: Sikubaliani na hoja ya kwamba walimu wengi ni failure wa kidato cha nne au sita

    Habarini wadau, kwa muda mrefu kumekuwa na uongo na propaganda kuhusu ualimu. Watu wengi husema kwamba ualimu huenda watu waliofeli katika mitihani yao ya kidato cha nne au sita Binafsi nimejaribu kufuatilia hili kwa muda mrefu, na nimekuwa nikisoma guide books za kila mwaka. Ninachoona ni...
  6. JamiiForums Tanzania Suala la Walimu kufanya mitihani ndio waweze kuajiriwa liende sambamba na kuanzishwa Teachers Registration Board (TRB)

    Nimesoma maelekezo ya Waziri wa Elimu, nimeona ni vema Walimu hao hao wakifaulu mitihani yao pia wasajiliwe kwenye board yao. Hivyo ni vema kuanzishwa kwa Teachers Registration Board sasa. Hii itasaidia walimu kuepukana na chama cha unyonyaji cha CWT.
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri: Ikiwezekana hii mitihani ya usaili ya walimu itungwe, kusimamiwa na kusahihishwa na NECTA

    Maamuzi ya kuwa na mitihani ya usaili kwa walimu iliyotungwa, kusimamiwa na kusahihishwa na NECTA (Baraza la Mitihani) ni jambo linaloweza kuwa na faida nyingi kwa mfumo wa elimu. NECTA tayari inasimamia mitihani ya kidato cha nne na kidato cha sita nchini Tanzania, hivyo ina uzoefu na utaalamu...
  8. JamiiForums Tanzania Walimu Geita: Kichinjio cha Msukuma tunacho sisi

    Walimu wengi vijana ndani ya jimbo la uchaguzi la mbunge Msukuma wameapa kufa naye kwenye uchaguzi mkuu ujao na kamwe watamwonyesha wao ni wasomi ndiyo maana wanasimamia uchaguzi umhusuyo. "....yeye si bingwa wa kututukana sisi wenye degree na kututweza kwamba hatuna lolote basi asubiri usio na...
  9. JamiiForums Tanzania Hasara za walimu na waganga wa kujitolea ni kubwa kuliko faida

    Serikali inapaswa kufikiria mara mbili kabla ya kutekeleza programu ya walimu na waganga wa kujitotea. Kwa mujibu wa utafiti wa haraka nilioufanya, nimebaini hasara zake ni kubwa mara 100 kuliko faida. Utafiti wangu umejikita katika hoja zifuarazo: Mosi, kwa mujibu wa muongozo uliotolewa na...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali: Walimu sasa kufanya mtihani wa kupima uwezo kabla ya kuajiriwa

    Ule mtazamo kuwa taaluma ya ualimu ni chaguo la mwisho baada ya kukosa fursa nyingine unakaribia ukingoni, baada ya Serikali kutangaza utaratibu mpya katika ajira za taaluma hiyo. Utaratibu huo, kwa mujibu wa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda utahusisha, ili uajiriwe...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Chama cha Walimu Tanzania (CWT) mali zake ziuzwe na zigawanywe kwa walimu kisha chama hiki kifutwe

    CWT hakuna msaada wowote kwa mwalimu zaidi ya kumkata kuanzia shilingi elf 15,000 hadi elf 60,000 kwa mwezi kulingana na daraja lake, kisha hizo pesa zinaliwa na wajanja wachache. Kupitia hizo pesa, chama kimeweza kutengeneza miradi mbalimbali na hadi kufungua bank (MCB) kwa fedha hizi hizi za...
  12. JamiiForums Tanzania Kikao cha baraza la taifa la chama cha Walimu Tanzania tarehe 18/6/2023 jijini Dodoma ni mwarobaini wa mtikisiko ndani ya chama

    Tangu kuasisiwa kwake Tarehe 1 novemba 1993 chama cha walimu Tanzania kimekua kikiongozwa kwa kutumia katiba na kanuni zake. Katiba imekua ikibadilika ili kuendana na mabadiliko ya kiuchumi, kijamii na mengineyo. Hadi kufikia 2014, CWT ilipata katiba ya toleo la 6 ambayo ndio inatumika hadi...
  13. JamiiForums Tanzania Kujiunga Vyama vya Wafanyakazi ni Hiari, Kwanini Walimu Wanalazimishwa Kujiunga Vyama Viwili?

    KUJIUNGA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NI HIARI, KWANINI WALIMU WANALAZIMISHWA KUJIUNGA VYAMA VIWILI VIWILI "Je, ni faida gani ambayo wafanyakazi wanapata kupitia uwekezaji wa fedha wanazokatwa na vyama vya wafanyakazi"? - Mhe. Neema Gelard Mwandabila, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe "Faida...
  14. JamiiForums Tanzania Msukuma: Sikuhongwa gari ili kuwatetea DP World. Nimelipa kodi bila exemptions ili walimu wapate mishahara

    Akizungumzia tuhuma za kupewa gari ili atetee DP World kusimamia na kuendehs bahari nchini, mbunge Joseph Musukuma amesema gari aliyonayo amenunua kwa hela yake na amelipa ushuru milioni 130 ili walimu wapate mishahara kama angetumia tax exemptions angelipa ushuru wa milioni 45. Amesema mtu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kwa Walimu wa shule za Msingi na Sekondari ni kujitia kitanzini

    Nawasalimu wanachama wa jukwaa hili. Niombe kwenu ushauri kuhusu walimu waliojiendeleza wa shule za msingi na sekondari. Kuna ndugu yangu amenisimulia kuhusu kutopandishwa cheo/daraja kwa walimu waliopanda cheo kwa mara ya mwisho mwaka 2019 na walipaswa kupanda tena mwaka huu 2023 Kwa mujibu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda walipe walimu hela zao

    Wizara ya elimu chini ya Profesa Mkenda hii aibu mnaitaka bila sababu. Kama mlijua fedha hakuna kulikuwa na haja gani ya kuita waalimu toka mikoani kuja Arusha kwenye semina na wamekaa wiki mbili mpaka wanamaliza tarehe 2 Mei,2023 hamjawalipa fedha zao. Huu mradi wa SEQUIP imefadhiliwa na benki...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi/Afisa Elimu Tanga City liangalie hili la walimu kuwatoza wanafunzi fedha kwa kila somo watakalo fundishwa wakati wa likizo

    1. Kwanza likizo zimekatazwa, wao wanakaidi 2. Wanawatoza hela watoto kwa kila kipindi watakachofundishwa. Wamewatuma watoto waende na hela(Mwang'ombe) Prof aliwaonya kuwa shule za serikali watoto waende likizo kama kalenda ilivyo., Mmeruhusu haya?
  18. JamiiForums Tanzania Orodha: Serikali yawaita kazini walimu 13,130 na kada za afya. Watakaoshindwa kuripoti ndani ya siku 14 watapoteza nafasi

    OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imewaita kazini walimu 13,130 kwa ajili ya kufundisha wanafunzi katika ngazi ya shule za msingi na sekondari. Orodha ya Waombaji ajira iliyochapishwa leo Juni 5, 2023 katika kurasa 515 imehusisha walimu ambao pia wamesoma na kuhitimu...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuchangisha walimu mchango wa mwenge

    Hili suala la kuchangisha walimu mchango wa mwenge limekuwa endelevu Kwa sababu Kila mwaka walimu wanakuwa wakichangia Kwa kulazimisha. Mbaya zaidi Kila mwaka fedha inakuwa ikiongezeka mfanonkutoka sh. 2000 kwenda sh. 5000. Hapa walimu wanatakiwa kujua nini Kilichosababisha ongezeko hilo. Hii...
  20. JamiiForums Tanzania CLOUDS: Mishahara ya walimu inadhalilisha utu wao

    Mpaka vyombo vya Habari vimeliona hili, walimu mjitathimini vinginevyo mtadharaulika mpaka kufa kwenu. Mnachekwa mpaka na watoto wanadai mmekuwa ombaomba kwa kuwaomba wanafunzi wawanunulie Chai muda wa break na wakisema pesa hawana mnawachapa. Walimu wengi mnawalazimisha wanafunzi wanunue...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…