wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Chunusi zinasumbua sana msaada wenu wakuu

    Nimetumia dawa za aina nyingi na hizi tube zinapungua kidogo zen zinarudi sasa hivi ndio zimeongezeka msaada wenu hapo wakuu tiba ipi ni nzuri.
  2. JamiiForums Tanzania Naweza pata shafow fight 3 inayocheza offline wakuu

    Kuna ambaye ameweza kulihack shadow fight 3 licheze offline anayeweza atuoe msaada wadau tuenjoy Game nzuri sana hii tatizo ni online simnajua hatuwezi eka bando kila siku
  3. JamiiForums Tanzania Orodha ya Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa Tanzania "TISS" Tangu uhuru

    Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio inayoipa mamlaka Idara hiyo kufanya kazi zake ndani na nje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…