Wakuu nini maana ya hii kitu kwenye DSE

Wakuu nini maana ya hii kitu kwenye DSE

Planet Data bundles

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,403
Reaction score
4,362
Naomba tafsiri ya hiyo picha.

Kwene DSE
Lini unaweza toa hela??
Je kama hisa zinashuka unaweza ziuza ili usipate hasara??
Ukiuza hisa ulizo hold inachukua muda gan kupata hela yako??

Je kuna ufanano kati ya liquid acc ya utt na Hisa za DsE kwene mfumo wa kutoa hela? Maana utt siku tatu za kazi unapokea hela yako

IMG_4172.jpeg
 
View attachment 3532270
so the logic ipo ivi
1) ili uweze kuuza hisa zako lazima kue na mtu anataka kununua upande wa pili or else itabidi ufe nazo, unatakiwa ujifunze kitu kinaitwa LIQUIDITY(UKWASI)
2) ukisema uziuze usipate hasara ni uongo kwa sababu bei utakayouzia itategemea wanaonunua wanazitaka kwa bei gan, price unayoiona apo inaitwa MARKET PRICE bei ya mwisho ya biashara kufanyika na sio thamani ya hisa, price inaweza kua 100 lakini ukauziwa hisa kwa 200
 
Mkuu ningependa uwe unanipa shule zaidi yaan bado mweupe
Kuna group lolote linalofundisha haya mambo
 
Unaweza kuuza anytime ukitaka ikishuka ikipanda haijalishi , kwa DSE settlement ni siku mbili, ukiuza leo unapata cash after 2 days
Inaingia kwene no ya simu au acc ya bano maana sijaona sehemu tunajaza acc ya benk kwene usajili
 
Naona watu wengi wanaenda huko kwa pupa anachukua hela zake zote na kudumbukiza humo, kuna milio inaenda kutoka
 
Back
Top Bottom