Hili li ugonjwa limekaa kipigaji pigaji sana. Mi sio mtaalam wa mambo haya, lakini sijui kwanini naona kabisa li korona kama ni li biashara fulani la kupigia hela. Kinachonifanya niwe na wasiwasi ni haya mambo yafuatayo:
1. Ndani ya miaka miwili, kuna zaidi ya variants 5 za korona! Halafu eti...
Habari za hapa na pale wana jamvi!
Naombeni mnisaidie links za kupata software za hacking, Coding, na Antivirus.
Kama ikiwezekana na keys zake pia mnisaidie.
Nitashukuru sana wakuu wangu.
Habari za Leo wadau,
Binafsi mimi nimetokea kumkubali sana mwanamuziki AISHA. Namwona mbali sana, katika vokozi. Pengine naweza kusema anakuja kuwa malkia wa Muziki Tanzania.
Hivi tukiwalinganisha na ZUCHU unadhani yupi ni mkali kwenye vokozi. Hili ni song jipya la AISHA linaitwa Tamutamu...
Kiasili sina maadui niwajuao direct humu duniani labda haters wa hapa na pale pamoja na yoooote sijawahi kubeba vinyongo kwenye moyo wangu sipendi mtu anidharau wala sidharau mtu,nikipita salamu simpiti mtu, kazini ndani siyo mtu wa vijiwe, bar wala chochote cha hivyo. Hizi social meetings labda...
Nimepata wazo ila sina connection kwa mikoa yote. Mtaka baada ya kuwaapisha (au kabla) wakuu wa wilaya akatoa speech fulani yenye shibe sana. Hawakukosea kumuweka pale Dodoma.
Sasa wazo langu ni kuwa atokee mdau akusanye hotuba zote za wakuu wa mikoa wakati huu wa kuapishana ili tuwasikilize...
Kiongozi wa nchi anakuwa na wapambe wa kila namna. Hawa wanakuwa na jukumu la kumjuza mkuu wa nchi juu ya masuala muhimu ya taifa analoongoza .
Hata akina Nkwame Nkurumah walipotoshwa na baadae wakajikuta wanapinduliwa. Maana kiongozi akipotoshwa huwa hasimamii kweli na madhara yake hufanya...
Jumla ya wakuu wa wilaya walioteuliwa na RAIS Samia ni 139:
11 ni Ph.D sawa na 8%
26 ni Masters sawa 19%
95 ni Bachelor Degrees sawa na 68%
3 ni Diploma sawa na 2%
4 ni ACSEE na CSEE sawa na 3%
95 Wanaume sawa na 68%
44 Wanawake sawa na 32%
Vijana wapo 28 sawa na 20%
Waliowahi kuwa...
Nime towa wazo hilo ili utendaji una weza kuwa mzuri.
Kwanza nataka kujuwa hawa wakuu wamikowa na wakuu wawilaya wana ingia wapi katika serikali
Kuna madiwani ambawo huchaguliwa na watu hawa huingia wapi?
Kuna mayor ambaye huchaguliwa na wajumbe lakini ( bora ingekuwa mayor anachaguliwa na...
Dar es Salaam.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tamisemi, Ummy Mwalimu ameagiza wakuu wa mikoa kuwaapisha Wakuu wa Wilaya wote walioteuliwa kuanzia kesho Jumatatu Juni 21, 2021.
Waziri Ummy ametoa agizo hilo leo Jumapili Juni 20, 2021 muda mchache baada ya kumaliza ziara yake yake ya kukagua ujenzi...
Wanabodi,
Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.
Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali...
Naona kila sehemu ni orodha ya walioteuliwa tu
Naomba mwenye orodha ya waliotemwa tuiweke hapa tuione..
Nataka kuona yupi labda alikuwa mchapakazi katemwa 'kimakosa'..
Mwenye nayo please naomba iweke hapa
=====
Naendelea kujiuliza hizi course za POLITICAL SCIENCE zinakazi gani kama tunaokoteza okoteza tu viongozi kwa kuangalia umaarufu wao!
Kwann wasibebe wasomi/malecture ama watumishi wa serikali kwa nafasi hizi Zaid ya kuwajaza wauza sura,wasanii na wapiga picha na kushinda instagram muda wote...
Habari za asubuhi wadau wa Afya, natumaini mko salama.
Niende straight kwenye mada.
Mwanangu wa kike anaumri wa miezi mi4, sasa takribani mwezi na wiki2 zilizopita alitokewa na vipele kama vi4 chini ya kwapa kuelekea mgongoni.
Vipele hivyo ni kama vimevujia damu na chaajabu havimuumi ila kama...
Nimekuwa nikifuatilia kifo cha gwiji huyu wa gospo tangu kilipotokea.
Jana nilishangaa hoja ambazo Jumuia ya makanisa ya kikristo ya Nigeria na Jumuia ya makanisa ya kipentekoste kumkataa kabisa TB Joshua kama Mkristo mwenzao.
Alipoulizwa sababu ya kumkataa, mwenyekiti mmoja wa jumuia hiyo...
Najua leo hii wengi wanapata utulivi baada ya kuona Sabaya akipandishwa kizimbani. Naiona hii haitoshi kwa sababu hatujaona mbele hukumu itakuwaje. Huenda itaibua mapya mengi na mengine yakiwahusu hao waliomtuhumu.
Shida yangu ni ubora duni wa wanaoteuliwa kushika nafasi hizo. Tatizo ni...
Rais Samia. Tafadhari sana.
Wakuu wa wilaya wenye tabia ya Sabaya ni wengi.
Wilaya nyingi watu wana vilio vya wakuu hawa ambao walikula michango ya wananchi na hasa kwenye ujenzi wa maabara na madarasa.
Wananchi walitoa michango kwa nguvu, lakini bila huruma pesa zimeliwa.
Hawa nawaona ni...
Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami.
==========
Tulia Ackson: Wanawake hamkuteuliwa kwakuwa ni...
ccm
dodoma
ikulu
ikulu dodoma
ilani
mikoa
mwanza
nukuu
rais
rais samia
rais samia suluhu
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
taasisi
uapisho
vibaya
vizuri
wakati
wake
wakuuwakuu wa mikoa