wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Visit visa ya canada 🇨🇦

    Habari wakuu, Naomba msaada wa kujua je, unaeza pata visit visa ya Canada then ukifika nchini humo ukapata kaz ukabidili kuwa work. Naombeni mchango wenu kwenye hili ni muhimu sana.
  2. JamiiForums Tanzania Usahili: Tutorial Assistant, Kuna baadhi ya mambo kuhusu written interview ningependa kufahamishwa

    Habari za wakati huu my virtual family JF Nikienda moja kwa moja kwenye mada nina interview hivi karibuni ya TA(Tutorial Assistant) katika institute X kwahiyo naomba kufahamishwa kuwa hizi interview zinakuwa vipi. Accounting & Finance Hasa nazungumzia written tunayoanza nayo na oral pia...
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu hii ipoje, Ushirikina au ndio dini?

    Wakuu habari, Mke wangu mdogo (nyumba ndogo) anafanya biashara sehemu maeneo ya wilaya ya Kinondoni, sasa huyo mwanamke nishamkataza mara kibao kwenda huko kwa Mwamposa. Maana yupo tayari afunge biashara aende huko kwa huyo nabii wao. Majukumu ya watoto hayupo makini nayo, yeye Mwamposa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wakuu msaada wa lift ya kwenda Dodoma Jumatatu

    Wakubwa zangu msaada hali tete Naomba msaada lift ya kwenda Dodoma naomba nichangie hata elfu 7. Ninaenda kwa lengo la usaili.
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wanapolalamika, wanyakwa wa vijiweni wafanye nini?

    Nimeisikiliza hotuba ya Rais Mwinyi imenishangaza sana. Nimejiuliza na kutafakari sana kuwa kama viongozi hawa waliopewa kila aina ya nyenzo ili ziwawezeshe kufanya kazi wanalalama je, wananchi wa kawaida wafanye nini? Wapeleke wapi kero na malalamiko yao? Kama Rais anaweza kuuona ufisadi wa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimewapa ujauzito wanawake wawili, nawapenda ila dini yangu hairuhusu kuwa na wake wawili

    Wakuu salamu natuamini mnaendelea na mapambano ya kila siku na mapambano ya tozo. Samahani kwa uandishi wangu mimi sio expert sana wa kujielezea kwa maandishi. Mwaka 2019 Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja, ambaye kwa muda huo ndiyo alikuwa main huyu tumuite R. Basi nilikuwa na mahusiano...
  7. JamiiForums Tanzania DCs waondolewe, DEDs wapewe Nguvu(Ulinzi na Usalama ) Wakuu wa Idara wapewe Nguvu kuhudumia Idara

    Hata kama CCM hawataleta Latina mpya au wanahitaji utitiri wa vyeo ili waweze kutoa fadhila na zawadi, Ni muhimu kupitia muundo wa utawala ili kuboresha kazi, kuondoa urasimu. na kuongeza Tina na kukwepa lawama. Leo, DCs wanalaumiwa masuala ya mapato lakini kiuhalisia DCs hawahusiki kabisa. DCs...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Wilaya mpo tayari?

    Mnaosali anzeni kusali sana, mnaoroga rogeni mno na wale mnaoabudu mizimu kama mimi tafadhali iombeni zaidi kwani yajayo yanaweza yakafurahisha na hata yakaumiza pia.
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini CDF aitwe Mkuu wa Majeshi wakati Polisi, Magereza na Uhamiaji wana wakuu wao?

    Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao. Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu whatsApp yangu,Nashindwaa kupata verification code

    Wakuu nashindwa kupata verification code ya whatsap shida ni nini naombeni msaada wenu.
  11. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa hili wakuu

    Deleted
  12. JamiiForums Tanzania msaada wenu wakuu kwa mdogo wangu

    wakuu katika harakati za kuomba course mbalimbali za kusoma chuo, mdogo wangu alichangua course zimefuatazo UDOM ( nimeziambatanisha kwenye picha) Lakini mbaka first selection zimetoka kwenye profile yake ambayo alitumia kuombea course hamna notification yoyote inayoonesha labda kakosa na...
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu hii ni software gani (logo designing)

    nashindwa kuelewa hii interfere Ni ya software gani
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Mkutano wa 42 wa Wakuu wa Nchi wa SADC (DRC) leo Agosti 17, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa 42 wa Wakuu wa Nchi wa SADC Nchini DRC leo tarehe 17 Agosti, 2022.
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Site yangu imefungiwa Facebook

    Naombeni msaada wakuu site yangu imefungiwa facebook nawezaje ku fix tatizo hili ili facebook niwe nashare link kwenye page yangu na kwenye ma group?
  16. JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta shule ya kufundisha

    Habari za wakati huu wapendwa. Nina Imani mu wazima wa afya. Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, Mimi ni kijana umri miaka 25 mhitimu katika chuo kikuu Cha Dar es Salaam shahada ya Ualimu katika masomo ya Geography na Kiswahili mwaka 2020. Nimekuwa nikijaribu kutuma maombi shule mbalimbali...
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu, ushauri wa mzee una hekima?

    Kuna mzee mmoja alinishauri. na kuniambia; kijana, sikiliza ushuri wangu, kwa sababu nimekula chuvi nyingi; katika maisha yako ya mapenzi:- Hakikisha unakuwa na mahusiano na mama ntilie;- ili siku utakapokuwa na njaa, na huna sehemu ya kupata chakula, atakuhudumia. Hakikisha unakuwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka unahitajika wakuu niko njia panda

    Umofia kwenu wakuu Ninahitaji ushauri ipo hivi kuna binti nilizaa naye mtoto mmoja wakati tupo chuo ishu ikafika kwa wazazi nyumbani kwetu hk Njombe sasa washua wanafosi nikakomboe mtoto na mm nimefuatilia kwa binti niliyezaa naye wazazi wake wamesema nitoe million 1na nusu ndo nimchukue mtoto...
  19. JamiiForums Tanzania Harmonize na Konde Gang watatupa

    Watu wa Soka, Kesho tarehe 4/8/2022 ni siku muhimu sana kwa timu yetu Singida Big Stars FC. Supastaa Harmonize "Konde Boy" ndiye msanii atakaetumbuiza kwenye tamasha letu la "Singida BIG DAY" kesho ALHAMISI ndani ya Uwanja wa LITI (zamani Namfua) hapa Singida. Siku hili ni maalumu kwa ajili...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Samahani wakuu

    Smahanini jamani, nilikuwa naomba mkopo wa elimu ya just Sasa kwenye kukagua partial academic transcript yangu ya diploma nimekta muhuri aujapigwa vzuri haiwez kuniletea shida
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…