wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ile picha nimeipata sasa mjiandae kisaikolojia Wakuu

    waungwana, wastaarabu, jamani ile picha niliyokuwa naitafuta usiku na mchana humu JF hatimaye nimeipata, hii hapa.👇👇👇👇 Sasa muwe makini sana wakati mnaandika uongo wenu. 😁😁😁
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa duka la Vito vya thamani Iringa

    Wakuu naomba kupata location ya Duka linalouza Vito vya thamani Kama pete za gold hapa Iringa. Kwani nimezunguka nakutana na masonara tu.. nami cna utaalam sana. Maduka mengi naamini yanauza vitu vya uhakika.. Moshi, Arusha maduka yapo mengi au hapa Iringa ni kumalizana na sonaraz tu?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

    Salamu Kwenu Greatthinker(Akili kubwa). Ushauri wako muhimu sana. Two weeks ago nilipewa connection Kwa Mzee wa makamu kidogo nikampigia simu kumuomba kazi the way nilivyoongea naye kupitia simu nilijionyesha kuwa Nina uhitaji sana na kazi hatimaye nikaitwa Kwenye interview japo Kwenye usaili...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta Web Developer

    Hello, habari pole na majukumu wakuu. Nimekuja mbele yenu natafuta Web Developer ambaye yupo competent tufanye kazi, malipo kila kitu tutamalizana. Kama una ndugu, jamaa au rafiki nipe connection naye tufanye kazi.
  5. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Maadili kuhakiki Vigogo 658 wakiwemo Mawaziri na Makatibu Wakuu

    Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma nchini Tanzania imewataka viongozi 658 waliochaguliwa kwa ajili ya uhakiki, kufanya maandalizi ya uhakiki huo. Hayo yamesemwa leo Jumatano Novemba 2, 2022 na Kamishna wa Maadili Jaji Mstaafu Sivangilwa Mwangesi wakati akizungumzia kuhusiana na...
  6. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya Muhimu, Mawaziri na Makatibu wakuu ni wadhaifu

    Muundo wa serikali yetu, rais analazimika kuteua mawaziri kutoka ktk wabunge. Akikosa mtu anayefaa, rais amepewa nafasi za kuteua wabunge. Utaratibu huo unampa rais nafasi ya kuteua mbunge ili amtumie ktk nafasi ya uwaziri. Ubunge wa kuteua umekuwa ni kama sadaka na zawadi tu. Katika uteuzi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri balozi Dkt. Pindi Chana akutana na wakuu wa Taasisi za Utalii na Maliasili

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt.Pindi Chana, Jijini Dodoma, amekutana na Menenjinenti ya Wizara na Wakuu wa Taasisi za Uhifadhi za Wizara ya Maliasili na Utalii kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Uhifadhi na uendelezaji wa Utalii nchini.
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu na wajuzi, Israel (Mossad) imeruhusu vipi Iran kumiliki drones na silaha za kisasa hivi?

    Iran ni adui mkuu wa Israel kwa sasa. Na Israel inekuwa ikuhujumu mikakati ya kisiraha hatarishi ya Iran miaka yote. Ikumbukwe Moja ya sababu kushindwa kutoa mifumo ya Ulinzi Kwa Ukraine, Israel walesema mifumo yao ni Kwa ajili ya magurunet tu ya kawaida haitaweza kupangua makombora ya kisasa...
  9. JamiiForums Tanzania Nahisi Rais Putin atafyatua nyuklia kwa hapo alipofikishwa, hilo daraja tungesubirisha kwanza

    Yaani masaa machache baada ya Putin kusheherekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwake (birthday), wazalendo wa Ukraine wakamtumia salamu kwa kulipua daraja ambalo lipo moyoni mwake, alilotumia hela ndefu sana $4b kulijenga na kalizindua yeye mwenyewe, kwanza mkandarasi alikua swahiba wake wa utotoni...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Wakuu wa wilaya nchini wameacha kufanya kazi kwa hofu ya kuondolewa au kuhamishwa vituo vya kazi. “Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka. Sikusema nitawabadilisha leo au kesho, kwahiyo kama hamfanyi kazi hao ndiyo...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada tutani wakuu. Zile sanamu za kufukuzia ndege mashambani zinaitwaje?

    Kwa kiingereza wanaita Scarecrow. Kiswahili zinaitwaje.
  12. JamiiForums Tanzania Ukiachana na Tanzania, kuna nchi nyingine duniani ina viongozi kama wakuu wa mikoa

    Wajuzi wa mambo naomba uzoefu. Hapa duniani kuna nchi ina nafasi za kuteuwa kama wakuu wa mikoa ya Tanzania. Na majukumu Yao ni kama haya ya hapa kwetu. Huwa wanatumikia wananchi au aliyewatua? kwetu?
  13. JamiiForums Tanzania Ebu tujadiliane hili suala mara moja wakuu

    Naishi Hapa Dar mtaa fulani, Nina kama mwaka hivi sasa, Na mahali nilipopanga ni pana mazingira mzuri kiasi chake maana mwenye nyumba wetu ni mtu pia anaependa mali zake hivyo basi hayupo nyuma kutuhakikishia tunapata yale mahitaji ya msingi Kama maji kwa haraka zaidi na marekebisho ya dharura...
  14. JamiiForums Tanzania Mwezi ujao nataka nifunge adsl ya ttcl nipunguze gharama a internet, naombeni muongozo wenu wakuu..

    Mimi ni fundi seremala huwa napenda sana kutumia internet hasa youtube kuongeza ujuzi. Nimejikuta natumia wastani wa shilingi laki moja na elf 30 kila mwezi kwajili ya internet kwenye kucheki youtube, netflix, kudownload cartoon za watoto, kushare internet, n.k. Nataka nipunguze gharama hio...
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu hii elimu tiba mpya ya kupona Kwa kutembea peku inaukweli?

    Kwa elimu hii kuwa kwenye nyayo Kuna swichi za kutibu kila ugonjwa. Kuna jamaa alinipa hizi story nikamkatalia. Ila naona kama wanazidi kushamiri kufundisha tiba ya mikono na miguu. Kuna ukweli wowote katika hili?
  16. JamiiForums Tanzania Nauli ya treni kutoka Dar kwenda mwanza

    Wakuu habari za usiku ,naombeni mnisaidie bei ya nauli kutoka dsm mpaka mwanza n bei gani na nitatumia siku ngapi njiani
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu Kwa Nini hakuna t-shirt za drafts katika designs za mavazi.

    Nimekuwa Nikiona shati a drafts tu. Najiuliza Kwa Nini sikioni hakuna t-shirt cotton nzuri lakini na zenyewe ziwe draft lakini nzuri za kisasa. Kun mwenye ufahamu kuhusu vazi hili na Kwa Nini sio common
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya Gender Development na Social Development ipi ni kozi nzuri kusoma

    Habari zenu wakuu Jaman naomba msaada kozi gani nzuri ya kusomea kati ya gender and development na management of social development Na vipi kwenye upande wa kujiajiri au kuajiriwa je ipi ni makertable? Asanteni
  19. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kufungua website na kulipia domain

    Wakuu naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kufungua website na kulipia domain. Hela ya vocha ipo
  20. JamiiForums Tanzania Jersey kama hizi nitazipata wapi wakuu?

    Kwema wakuu? BOCA JUNIORS wana jezi kali sana , nitazipata wapi kwa hapo dar?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…