wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wakuu nahitaji nafasi ya kujitolea

    Naitwa Patrick nipo kigamboni miaka 22, namalizia chuo hapa chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere, kozi ya human resources management, degree. Lengo kubwa ni kupata hata sehemu ya kufanya kazi hata kujitolea walau iniweke busy nikiwa nasubiria cheti kitoke ili nianze kuomba kazi official...
  2. JamiiForums Tanzania Wanajamii kwenu ikoje wakuu?

    Mimi kwa upande wangu hali imekuwa tofauti sana. Uchumi umekabia juuu wee sasa naona ukabie miguuni sasa.🥺 Kwani nyie chakula kutwa mnakula mara ngapi , isijekuwa mimi ninazidisha idadi ya milo ???😥
  3. K

    JamiiForums Tanzania No travel list kwa viongozi wa usalama, polisi wakuu wa mikoa na familia zao inaandaliwa na EU & USA

    Tetesi: No travel list kwa viongozi wa usalama, polisi wakuu wa mikoa na familia zao inaandaliwa na EU & USA Hii ni kama ile ya Makonda
  4. JamiiForums Tanzania Wakuu jaribuni basi ku balance mzani

    Siasa za Bongo sasa zimebebwa na chama kimoja tuu Mijadala ya kisiasa kwasasa imetawaliwa na chama kimoja tuu Matukio ya kisiasa Bongo yote kwasasa yote ni ya chama kimoja tuu Mitandao ya kijamii bongo habari zake za kisiasa zote zimeelemea chama kimoja tuu Hii sio sawa kabisa.. Hakuna mizania...
  5. JamiiForums Tanzania Eti wakuu mbona miundo ya aina hii ya valenda watu hawaitengenezi tena, ni issue ya gharama au ni mabadiriko ya trend?

  6. JamiiForums Tanzania Wakuu Umofia kwenu?!!!

    Hivi huyu mama anatuinaje wana wa Tanganyika?
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini unapoenda kujisaidia haja ndogo unaangalia mbele lakini haja kubwa unaangalia ulikotoka?

    Basi kipindi nasoma nilibahatika kuwa karibu sana na mwislamu mmoja aliyeshika sana dini na ndo alikuwa kiongozi wao.Huyu jamaa alikuwa ananiambia mara kwa mara kuwa chooni huwa kuna mashetani (majini)hivyo unapoenda ni lazima uombe dua ya kujikinga na mabalaa ya shetwani (Majini). Sikutilia...
  8. JamiiForums Tanzania Balozi Mbundi aongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Afrika Mashariki

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Balozi Stephen P. Mbundi leo tarehe 8 Mei, 2025 ameongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kikao cha Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji jackhammer ya kukodi

    Napatikana dar nahitaji jackhammer ya kukodi mwenye nayo anicheki 0672704891
  10. JamiiForums Tanzania Tazameni Msafara wa RC Singida ,ni zaidi ya ufujaji wa Kodi za Watanzania, Hawa ndio CCM,ni lazima iondoshwe madarakani ili Taifa Liinuke

    Unaweza dhania ni Msafara wa mawaziri Kadhaa wa Kadhaa lakini la Hasha!! Huyo ni RC tu yaan MKUU WA MKOA.
  11. JamiiForums Tanzania Dada katoa Code kwetu wanaume, mnakubaliana naye au mnabisha wakuu?

    Dada katoa Code kwetu wanaume, mnakubaliana naye au bado mnabisha? Huyu dada mpaka anazungumza haya anafahau ukweli wa wanawake wenzake Binafsi nakubaliana naye kwasababu nimeona mengi sana
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu Kwanini ufanye mauaji/kujiua kisa uchi. WHY?

    Ni huzuni Kuona Vijana wengi wanaua/wanajitoa uhai na wengine kuishia kwenda jera au kupoteza ndoto zao kisa pussy. Vijana inatakuwa mtambue kuwa hiyo pussy ya mkeo/mpenzi wako is not yours it's just your turn hata Kama akikusaliti mpaka kukuzalia mtoto ambaye sio wako na ukajua usiue au...
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu wa Kaya, hivi tatizo ni mshahara mdogo au matumizi mabaya ya fedha?

    Wakuu wa KAYA hivi mbona hadi nae muona ana mshahara mzuri nae analalamika mshahara mdogo hautoshi hivi tatizo nini haswa? Mshahara mdogo? Matumizi mabaya ya fedha? Au kuto kuwekeza?
  14. JamiiForums Tanzania Wakuu hapa nachomoka vipi

    Message kama hii unachomoka vipi
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu kweli pum pum na kitambaa cheupe zikufanye usijenge hata haka

    TUPAMBANE!
  16. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje gari moja ikawa na number plate zaidi ya moja?

    Habar wakuu polen na majukum! Ivi inakuwaje gar moja kuwa na na namba 3 tofaut za usajili yan 1 ya kawaida T nyingine S ya selikali na nyingine nyekundu!
  17. JamiiForums Tanzania Naomba mnipe maoni na ushauri juu ya hili wakuu

    Mambo vipi wakuu... Niko na hii platform ambayo inakwenda kwa jina la ulumbi.com ni marketplace ambayo inamuunganisha mwandishi na msomaji. Kwa maana iko na milango miwili ya kwamba unaweza kujisajiri kama user au writer na ukijisajiri kama writer utapata dashboard ya writer na huko ndio...
  18. JamiiForums Tanzania Tupunguze Siri Wakuu

    Habari wana JF. Tuache Siri kwenye vitu muhimu wakuu hasa kwenye family issues. Kuna partner wangu mmoja hapa kariakoo wiki mbili zilizo pita tulikuwa tunazungumzia kuhusu usiri wa pesa tunazo weka Bank . Jamaa akanambia kahifadhi milioni 28 bank na mke wake hajamwambia hivyo katika familia...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu hiki kigezo cha " awe amefaulu somo la hatimkato ya Kiswahili na kingereza Maneno 100 kw dakika 1.

    Habari zenu. Naomba kuuliza kw MTU ambae ana diploma ya Business Administration kw mfano hizi nafasi za mwandish mwendesh ofisi au MTENDAJI ambazo sifa Zake ni Kam ifuatavyo " Mwenye stashahada ya uhazili au Cheti cha NTA level 6 ya uhazili . Aidha awe amefaulu somo la hatimkato ya Kiswahili...
  20. JamiiForums Tanzania Wakujiita manabii si wakutane wote pamoja wakusanye 50% ya mapato yao wasaidie masikini, waingie kila hospitali wawatafute wagonjwa mahututi wawaponye

    Until then, mimi bado nitaendelea kuwaita hustlers walioweza kuishinda system kufanya shughuli za uchumi bila ya kulipa makato. HONGERA KWAO! YESU SIO DINI, DINI SIO YESU, YESU NI NJIA.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…