wakulima

Alliance for Tanzania Farmers Party (AFP) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Singida: DC Mwenda ashiriki kongamano la wakulima

    MHE MWENDA ASHIRIKI KONGAMANO LA WAKULIMA-SINGIDA Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ametembelea Kongamano la wadau wa Alizeti lililofanyika Singida Mjini na kuzungumza masuala mbalimbali ikiwemo kuwaeleza wadau wote kuwashirikisha wakulima wengi zaidi katika...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tunduru, Ruvuma: DC Mtatiro anusurika kushambuliwa kwa mawe, wakulima wa mbaazi walalamikia zao hilo kuingizwa kwenye mfumo wa stakabadhi

    Wakulima wa mbaazi wailaya ya Tunduru Kijiji cha Tulieni, juzi tarehe 5/7/2021 walimshambulia DC wa Tunduru kwa mawe mpaka akalazimika kuwahita polisi toka mjini Tunduru. Wakulima wengi wanalalamikiia kuingizwa zao la mbaazi kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani tafauti na ahadi ya naibu waziri wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kisa cha Panya, Wakulima na Mbegu za Mpunga (Tozo, Wafanyabiashara na Watuamiaji)

    Hapo sio zamani sana kulikuwa na jamii ya Panya iliyopenda sana kula mbengu za mpunga, hali ilikuwa mbaya sana kwa wakulima, panya wenyewe na hizo mbegu, sababu kutokana na wingi wa panya ilipelekea kupunguza idadi ya mbegu za kupanda hali iliyopelekea wakulima kufa kwa njaa na kupunguza nguvu...
  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Shina moja la Mahindi hulipwa Tsh 60/= mifugo inapokula mazao fidia inayowatesa wakulima

    Ripoti ya wizara ya mifugo kwa mwaka 2019 inaonesha kwamba sekta ya mifugo inachangia 6.9% ya pato la taifa,na kwa upande wa taarifa ya wizara ya Kilimo ya mwaka 2020 inaonesha kwamba sekta ya Kilimo inatoa robo tatu ya mauzo ya nje ya bidhaa,inachangia 95% ya mahitaji ya chakula nchini,26.8% ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Igunga, Tabora: Wananchi wauza Pamba kwa bei nzuri kadiri ya maelezo ya Wizara

    Jimbo la Igunga Waendelee na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 - 2025 kwa kuwasimamia vizuri wakulima wa zao la Pamba katika kuhakikisha wanapata Soko na bei nzuri ya zao hilo muhimu chini ya Maelekezo ya Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana kwa Karibu na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia, wakulima wa Miwa wanatishia kukibomoa Kiwanda cha Sukari cha Mbigiri

    Salaam kwa jina la jamhuri ya muungano Mama Samia Suluhu Hassan! INGILIA KATI KWENYE HILI WAKULIMA WANATAKA KUKIBOMOA KIWANDA CHA SUKARI MBIGIRI. Kiwanda cha sukari Mbigiri ambacho haijulikani ni lini kitaanza kazi kuokoa mamilioni ya pesa yatayopotea kwa kuaribika kwa miwa iliyofikia...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Alama ya Nyundo na Jembe kwenye bendera ya CCM ni ya kuwamaliza Wakulima?

    Alama ya nyundo na jembe kwenye bendera ya CCM ni ya kuwamaliza Wakulima. Nyundo inawagonga kichwani na jembe linawafukia kabisa. Marais Wastaafu wanajengeana nyumba baada ya kugawana nyumba za serikali na kupeana benzi, wakulima wamesahaauliwa. Mama yetu tafadhali sikia kilio cha Wakulima...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kwani Wakulima waliikosea nini Serikali ya CCM?

    Nilimsikia waziri wa fedha akisema, kwa ajili ya kukuza kilimo cha umwagiliaji vikundi vya skimu za umwagiliaji, vitatozwa ada ya kuendeleza miradi ya umwagiliaji. Hivi ni kweli kwamba serikali imeshindwa kubuni mbinu za kuwatafutia ruzuku wakulima wetu hata kwa kukopa toka mabenki mbalimbali...
  9. JamiiForums Tanzania Bundi ni muhimu sana kwa wakulima

    BUNDI ni ndege mwenye sura inayotisha kidogo kulinganisha na ndege wengine hasa kutokana na kuwa na uso mkubwa wa mviringo, macho makubwa ya mviringo na masikio makubwa. Unaweza kusema ndege huyu ambaye hupenda kula nyama na wadudu ana kichwa mithili ya paka. Bundi hufanya mawindo yao nyakati...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku wanunuzi kukopa pamba za wakulima

    Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Mnunuzi yeyote anapochukua Pamba katika Chama cha Msingi, ni lazima Mkulima awe amelipwa ndani ya muda usiozidi saa 48, na watakaoenda kinyume watafutiwa Leseni. Kauli yake imekuja baada ya Mbunge Robert Maboto kuhoji ni kwa namna gani Wizara...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe wakulima wa zao la korosho madeni ya mwaka 2018

    Nawasalimu kwa jina la JMT.. Kama kichwa kinavyojieleza. Kwanza nianze kwa kusema kwmba mimi sio mkulima wa zao hilo, lakini pia sio mwenyeji wa mikoa yenye umaarufu wa kilimo cha zao hilo. Hivyo naandika haya sio kwamba nina maslahi yangu, hapana..! Nimeona niwasemee wahusika kwani nina amini...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara wakubwa wakutane na Rais Ikulu badala ya Waziri husika Wizarani?

    Tunavutia wawekezaji lakini njia za kuwekeza na Sheria za uwekezaji haziko Ikulu. Tunazo Wizara na ofisi zinazohusika. Kwa kuwa marais wetu wameamua kuwa ni waalikaji wa wawekezaji, nawaona Mawaziri na wahusika wengine wakikaa pembeni na kufanya kazi za sekretari, kukopi kumbukumbu za mikutano...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Kwa sasa hakuna mazao ya Wakulima na Wafanyabiashara yanayozuiwa kwenye mpaka wetu na Kenya

    Waziri wa kilimo Prof Adolf Mkenda amesema hali ni shwari kabisa katika mpaka wetu na Kenya na kwa taarifa za leo hakuna mzigo wowote uliokwama mpakani. Mkenda amesema watanzania wasiwe na wasiwasi kwani sasa biashara kati yetu na Kenya imeimarika sana labda kuliko wakati mwingine wowote...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Dhahabu ya Kijani (GREEN GOLD) Itakayokuza Uchumi wa Wakulima wa Tanzania

    Dhahabu ya Kijani (Green Gold) ni zao linalostawi vizuri katika maeneo yenye milima zenye mvua nyingi angalau nusu mwaka. Afrika mashariki linastawi vizuri katika nchi za Tanzania, Uganda Burundi na Rwanda zina utajiri mkubwa kutokana na ardhi yake kukubali kustawi kwa wingi Matunda ya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu bei ya kilo moja ya vanila inauzwa sh. ngapi?

    Umofya kwenu wadau humu ndani. Twende kwenye maada ! Ni hivi wakuu mimi nipo huku Njombe na ningependa niwashirikishe juu ya uvumi wa bei ya zao tajwa hapo juu,kuna kikundi cha watu huku kimejitanabaisha kuwa ni taasisi(jina kapuni)kinapita kikiwahamasisha wakulima kulima zao la vanila wakidai...
  16. JamiiForums Tanzania Hasunga: Ushirika unalazimisha wasio wanachama kuuza mazao yao kupitia Vyama. Serikali ina mpango gani kuruhusu Wafanyabiashara kununua kwa wakulima?

    Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga amesema kwa mujibu wa Sheria, Ushirika ni kwa Wanaushirika wenyewe lakini hali ilivyo sasa, Ushirika umekuwa ukiwalazisha watu wasio Wanachama kuuza mazao yao kupitia kwenye Vyama vya Ushirika. Akiwa Bungeni Dodoma, Hasunga ambaye amewahi kuwa Waziri wa Kilimo...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaokula mnofu wa Tanzania

    WANAOFAIDI KEKI YA TAIFA Na Thadei Ole Mushi. Kwa Mwezi anapokea Milioni 11,000,000 Kwa mwaka atapokea 132,000,000 Kwa miaka mitano atapokea Jumla 660,0000 Huu ni mshahara tu hujaweka kiinua Mgongo, bado Sitting allowance, bado Posho mbalimbali nk. Tuachane na mawaziri na manaibu waziri...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi CCM bado chama cha wakulima na wafanyakazi? Polepole alikidhalilisha chama

    CCM ilipo asisiwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi. Ndio maana nembo yake kwenye bendera kuna nyundo kwa wafanyakazi na jembe kwa wakulima. Filosofia ya CCM ni ya kiujamaa pamoja na kuukaribisha uchumi wa biashara huru. Siku hizi ndani ya CCM hakuna Political Theorists wa kuelezea mlengo...
  19. JamiiForums Tanzania Mtu binafsi anaweza kumiliki soko?

    Kwa jina la jamhuri, Wakuu hivi kama nina kiwanja naona kimekaa sehemu nzuri naweza kukifanya kiwe soko? Yaani hapo kati nijenge au niwape watu wajenge meza za kuweka mambo ya mbogamboga, nafaka na vyakula vingine halafu pembeni nijenge furemu kuzunguka. Kama tu yalivyo masoko mengi. Hapo...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA si chama rafiki kwa wakulima

    Kwa muda mrefu nimekuwa naona kama CHADEMA kikiwa ni chama cha kimjinimjini sana. CHADEMA sijawahi kukisikia kikitetea mkulima wa Tanzania kwa nguvu nyingi, sijawahi kukiona kikitumia muda mrefu kuelezea sera zake juu ya kilimo. Ukulima ndiyo kazi ya watu wengi nchi hii lakini CHADEMA iko mbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…