Natafuta kazi au internship nipo Mwanza

Mrkaswahili

Member
Dec 17, 2021
65
43
Habari za wakati huu wakubwa zangu mawapa heshima yenu na vijana wenzangu natumai pia muwazima ahsante. Naomba muniwie radhi lakini mficha dhara kifo humuumbua.Naitwa Mhina nipo naishi Mwanza ni mhitimu wa stashahada ya uhasibu(Diplomoa in Accountancy).

Dhumuni la kuandika thread hii ni kuomba kupata kazi katika kampuni yeyote ikipatikana idara ya uhasibu natumai nawwza kufanya kazi kwa unadhifu % kubwa iwe ndani ya Mwanza au hata nje ya Mwanza. Kwq atakae wiwa na hili nipo tayari kuwa msaidiz ktk sector yeyote ile ya kiuhasibu Ahsante
 
Habari za wakati huu wakubwa zangu mawapa heshima yenu na vijana wenzangu natumai pia muwazima ahsante. Naomba muniwie radhi lakini mficha dhara kifo humuumbua.Naitwa Mhina nipo naishi Mwanza ni mhitimu wa stashahada ya uhasibu(Diplomoa in Accountancy) Dhumuni la kuandika thread hii ni kuomba kupata kazi katika kampuni yeyote ikipatikana idara ya uhasibu natumai nawwza kufanya kazi kwa unadhifu % kubwa iwe ndani ya Mwanza au hata nje ya Mwanza. Kwq atakae wiwa na hili nipo tayari kuwa msaidiz ktk sector yeyote ile ya kiuhasibu Ahsante
Mungu akutangulie
 
wacheki hao wapo Moshi


IMG_20220120_000340_141.jpg
 
Back
Top Bottom