Yesu alikuwa mfanyabiashara, Mohammed alikuwa mfanyabiashara: Kwanini wafanyabiashara wakristo na waislam wengi sio waaminifu?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,570
15,319
Tujadili kidogo.

Wafanyabiashara wengi Kama sio waislam ni wakristo.

Lakini wengi sio waaminifu. Wanatumia juju na uchawi, wanaforce kupata faida isivyo halali, kukwepa Kodi na kukwepa taratibu rasmi

TATIZO linatoka wapi ikiwa Yesu alikuwa mfanyabiashara wa samani(furniture) lakini hakutenda dhambi?

Marko 6:3
[3]Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni? Na maumbu yake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake.

Is not this the carpenter, the son of Mary, the brother of James, and Joses, and of Juda, and Simon? and are not his sisters here with us? And they were offended at him.

Mtume Mohammad SAW alikuwa mfanyabiashara muaminifu Sana chini ya Khadija. Akifanya Biashara Kati ya saudia na Syria. Alikuwa amenyooka.

Tunafeli wapi wakuu.

Karibuni
 
Tujadili kidogo.
Wafanyabiashara wengi Kama sio waislam ni wakristo.

Lakini wengi sio waaminifu. Wanatumia juju na uchawi, wanaforce kupata faida isivyo halali,kukwepa Kodi na kukwepa taratibu rasmi

TATIZO linatoka wapi ikiwa Yesu alikuwa mfanyabiashara wa samani(furniture)lakini hakutenda dhambi?

Mtume Mohammad SAW alikuwa mfanyabiashara muaminifu Sana chini ya Khadija. Akifanya Biashara Kati ya saudia na Syria. Alikuwa amenyooka.

Tunafeli wapi wakuu.

Karibuni
Yesu alkua anafanya biashara Gani???
 
TATIZO linatoka wapi ikiwa Yesu alikuwa mfanyabiashara wa samani(furniture)lakini hakutenda dhambi?
....
Tunafeli wapi wakuu.
Umeanza kufeli kwa kututapeli Yesu alikuwa mfanyabiashara. Utakuwa mfanyabiashara mmojawapo kati ya wanaolalamikiwa na wewe. Anza kwanza kuwa mwaminifu na unayosema na kuandika kwanza...

Mathayo 8:18-20
"Naye Yesu alipoona makutano mengi wakimzunguka, aliamuru kuvuka kwenda ng’ambo. Mwandishi mmoja akamwendea, akamwambia, Mwalimu, nitakufuata ko kote uendako. Yesu akamwambia, Mbweha wana pango, na ndege wa angani wana viota; lakini Mwana wa Adamu hana pa kulaza kichwa chake"
 
Ni Yesu au Issa , Alikuwa mfanyabiashara ? Mana hao ni tofauti

Weka Bible verse ya Yesu alifanya biashara
Marko 6:3
[3]Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni? Na maumbu yake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake.

Is not this the carpenter, the son of Mary, the brother of James, and Joses, and of Juda, and Simon? and are not his sisters here with us? And they were offended at him.

Selemala lazima ajue marketing vinginevyo majochi, sofa, vigoda au top za Milango zitamdodea.

Yesu alikuwa smart Sana. Haijaandikwa kufeli katika industry yake hiyo ya kuuza bidhaa za mbao
 
Yesu alikuwa Mwalimu,
Muhammad alikuwa Mfanyabiashara, weka Sawa Kwanza hapo.
Ualimu na urabi alianza baadae Sana.

Ukienda mtaani kwao wanamjua ni fundi na mfanya Biashara mkubwa wa furniture.

Hata Paulo alikuwa mfanya Biashara mkubwa wa kujenga mahoteli. / Tents zile kwa sasa ni Kama nyumba za kulala wageni.

Pamoja na wakina Pricilla
 
Mimi ninavyojua kuna mmoja alianza kwa kuwa "marioo" halafu akatapeli mtaji kwa sugar mammy wake na kuanza misafara ya biashara za uharamia.Balimi zimeanza kunizidi akili.🤔🤔🤔🤔🤔
Yule alikuwa mfanyabiashara muajiliwa. Ila alikuwa muaminifu Sana Sana. Alipewa msingi na aliyekuja kuwa mkewe baadae.
 
Marko 6:3
[3]Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni? Na maumbu yake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake.
Is not this the carpenter, the son of Mary, the brother of James, and Joses, and of Juda, and Simon? and are not his sisters here with us? And they were offended at him.

Selemala lazima ajue marketing vinginevyo maochi, sofa,vigoda au top za Milango zitamdodea.

Yesu alikuwa smart Sana. Haijaandikwa kufeli katika industry yake hiyo ya kuuza bidhaa za mbao
Alijua useremala
Ni Yesu au Issa , Alikuwa mfanyabiashara ? Mana hao ni tofauti

Weka Bible verse ya Yesu alifanya biashara
Sijaona sehemu alipelekwa mahakamani/kwa kuhani kwa kula dinari za mbao au kuingia mitini kwa kula advances za wateja.Aje na mistari.
 
Alijua useremala

Sijaona sehemu alipelekwa mahakamani/kwa kuhani kwa kula dinari za mbao au kuingia mitini kwa kula advances za wateja.Aje na mistari.
Maselemala wengi matapeli Sana.
Naamini kabisa walikuwa na showroom ya bidhaa zao pale nazaret au branch maeneo ya Kana.

Sasa ni kumdhalilisha Yesu kuwa mfanyabiashara mkristo mchawi , tapelitapeli hujanyooka.

Mwokozi hakuwa mjanjamjanja.
 
Acha utapeli lete hayo maandiko. Unalalamikia utapeli nawe unatutapeli mchana kweupe?
Nimetoka hapo juu alikuwa katika industry ya uselemala au furniture

Alikuwa hachongi vigoda na mabenchi ya kupelekwa sinagogi bure.

Alikuwa anafanya bizness mkuu. Unafeli wapi
 
Marko 6:3
[3]Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni? Na maumbu yake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake.
Is not this the carpenter, the son of Mary, the brother of James, and Joses, and of Juda, and Simon? and are not his sisters here with us? And they were offended at him.

Selemala lazima ajue marketing vinginevyo maochi, sofa,vigoda au top za Milango zitamdodea.

Yesu alikuwa smart Sana. Haijaandikwa kufeli katika industry yake hiyo ya kuuza bidhaa za mbao
Onesha sehemu alifanya biashara. Hilo tu!
Kama ni la kuitwa hivyo ni kwa sababu ilikuwa kazi ya baba yake mlezi
"Is not this the carpenter’s son? Is not his mother called Mary? And are not his brothers James and Joseph and Simon and Judas?" Matt 13:55

Lete mstari unaoonesha kuwa alifanya biashara. sio maneno yako binafsi.
 
Back
Top Bottom