Wakristo Bethlehem alipozaliwa Yesu wabomoa mapambo yote kuomboleza wanaouliwa Gaza na kuunga mkono mashahidi wa Palestina

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,184
10,921
Baraza la mji wa Bethlehm alipozaliwa nabii Issa (Yesu) limeamua kubomoa mapambo yote ya krismas yaliyopo eneo hilo ili kuomboleza vifo vya watoto huko Gaza na mauwaji yanayoendelea maeneo yanayowazunguka.

Huku mainjinia wa mji huo mtakatifu wakiendelea na kazi ya kubomoa aina zote za mapambo yaliyowekwa karibu na miaka iliyopita maafisa wa jiji waliandika kwenye kuraza zao za facebook, X(twiter) na mitandao mengine ya kijamii kuwa hakuna sababu yoyote ya kuwepo alama za sherehe na furaha wakati watu wetu walio Gaza na miji yetu mingine wakiwa wana huzuni na wanauliwa na jeshi la Israel.

"The reason is the general situation in Palestine; people are not really into any celebration, they are sad, angry and upset; our people in Gaza are being massacred and killed in cold blood,"

Birthplace of Jesus dismantling all Christmas decorations 'in solidarity with our people in Gaza'

1700366093385.png
 
Baraza la mji wa Bethlehm alipozaliwa nabii Issa (Yesu) limeamua kubomoa mapambo yote ya krismas yaliyopo eneo hilo ili kuomboleza vifo vya watoto huko Gaza na mauwaji yanayoendelea maeneo yanayowazunguka.
Huku mainjinia wa mji huo mtakatifu wakiendelea na kazi ya kubomoa aina zote za mapambo yaliyowekwa karibu na miaka iliyopita maafisa wa jiji waliandika kwenye kuraza zao za facebook ,X(twiter) na mitandao mengine ya kijamii kuwa hakuna sababu yoyote ya kuwepo alama za sherehe na furaha wakati watu wetu walio Gaza na miji yetu mingine wakiwa wana huzuni na wanauliwa na jeshi la Israel.
"The reason is the general situation in Palestine; people are not really into any celebration, they are sad, angry and upset; our people in Gaza are being massacred and killed in cold blood,"

Birthplace of Jesus dismantling all Christmas decorations 'in solidarity with our people in Gaza'

View attachment 2818388
Kumbe kufanya mauaji na kuteka watu, ili watu wako wafe na miji kuharibiwa ni
 
Mbona hatuoni hayo mapambo yaliyobomolewa zaidi tunaona mapambo yaliyopambwa vzr,pia acheni upotoshaji Yesu kristo ni mwana wa Mungu aliye hai sio huyo fiction character wa kwenye kurwani(isa).

N.B: Source ya taarifa ni Madrasut magomeni mapipa.
Ukiambiwa mahakama imemkumu fulani kwa kufanya ulawiti halafu ukaoneshwa picha ya mahakama kwanii lazima umuone hakimu na umuone huyo aliyehukumiwa kulawiti.
Hizo picha ni hayo mapambo yatakayobomolewa.
 
Nenda ukapambane na IDF kule kwenye mahandaki.Achana na mapambo.Malalamiko tu wakati ngendembwe walileta wenyewe Hamas!
Mahandaki yamebaki matupu.Wanapigana na vivuli vyao wenyewe. Hakuna Hamas wala mateka.Binadamu ukiwa si shoga unakuwa na akili kali sana.
 
israel need to remove all arabs.. ndio wanaleta shida... these people zinawivu and kuishi na muslim wanawajenga chuki asili ya dini yao cult
 
Mahandaki yamebaki matupu.Wanapigana na vivuli vyao wenyewe. Hakuna Hamas wala mateka.Binadamu ukiwa si shoga unakuwa na akili kali sana.
Akili wawe nazo Hamas?Akili za kujificha kwenye mawowowo ya wanawake na kutanguliza watoto kwenye mapambano?Haupo serious ustaadh!
 
Kujificha kwa wanawake unawasingizia tu.Ama kujificha kwenye mahandaki kumkimbia adui halafu ukatokea mlango wa pili ukaja kumpiga kwa nyuma ni moja ya akili bora kabisa
 
Ndiyo wajitokeze sasa ili tushuhudie utumiaji wao wa akili.
 
Ukiambiwa mahakama imemkumu fulani kwa kufanya ulawiti halafu ukaoneshwa picha ya mahakama kwanii lazima umuone hakimu na umuone huyo aliyehukumiwa kulawiti.
Hizo picha ni hayo mapambo yatakayobomolewa.
Kumbe yatakayobomolewa na bado hayajabomolewa kweli nimeamini chanzo cha habari ni madrasa ya magomeni mapipa
 
Huyu anayepiga ndio atumie akili yake aseme wako wapi.Kama hajui walipo asilazimishe na kubahatisha kila unayemuona unadhani ndiye.huko ni kupigana na vivuli.
Waliambiwa ambao si Hamas na hawana mafungamano nao waondoke hapo Gaza.Kubaki ni kujinasibisha nao.Wacha wadundwe tu.
 
Kumbe yatakayobomolewa na bado hayajabomolewa kweli nimeamini chanzo cha habari ni madrasa ya magomeni mapipa
Habari ni tangu juzi.Hivi tukizungumza itakuwa tayari.
Vitu vilvyokamatwa na TBS vikioneshwa na kuahidiwa kuchomwa moto haina maana kuwa wanaonesha picha tu.Wanaonesha kitu ambacho hapo baadae kitakuwa majivu na pia kama kuna anapenda kuhifadhi hizo picha asikose fursa.
Hivyo na wewe ni nafasi yako kuweka kumbukumbu ya mapambo ya kumsherehekea Yesu yalivyokuwa kabla kubomolewa.
 
Weka picha sasa tuone vimeharibiwa Sio unakuja na stori😂😂😂💊
 
Back
Top Bottom