Japokuwa Mwakipesile alikuwa anajiongelea mambo mengi yasiyokuwa na faida, angepuuzwa tu maana sio threat kwa utawala

BIG STONE AND CONER STONE

JF-Expert Member
Mar 11, 2023
320
495
Sina Mengi zaidi ya kusema sote tumesoma Habari za Mchungaji wa huko mbeya kuhukimiwa miaka 3 kisa tu.

Ni usajili wa kanisa( ilikuwa Bado/au alinyimwa)Hivi kweli Tumefika Hapa Tz.
Japo kuwa Mwakipesile alikuwa anajiongelea mambo mengi yasiyo Kuwa na faida Angepuuzwa tu maana sio threat kwa utawala Wala kwa jamii ila kwa kilichotokea ni Threat Kwa Ukristo maana imani ni Jambo binafsi haliusiani na utawala:

Wakianza na wachungaji wadogo watu wanakuwa kimya siku wakifika kwa wale wenye kundi kubwa ndio kelele zitaanza.
#wote wanathamani mbele za Mungu tukemee ukandamizaji wa viongozi wa Dini hata Kama Ana kundi dogo hata mtu 1 bado Aheshimiwe.
Nawasilisha.
 
Kwakuwa wanasheria wanashughulikia...tuache likae hivyo.... Lkn pia Tanzania huo umoja wa kukemea kwa viongozi wa dini haupo... Viongozi wengi ni wamba ngozi...huvutia kwao.... Labda Bagonza na yule wa anglican lkn inaonekana hilo halija wagusa
 
Sina Mengi zaidi ya kusema sote tumesoma Habari za Mchungaji wa huko mbeya kuhukimiwa miaka 3 kisa tu
Ni usajili wa kanisa( ilikuwa Bado/au alinyimwa)Hivi kweli Tumefika Hapa Tz.
Japo kuwa mwakipesile alikuwa anajiongelea mambo mengi yasiyo Kuwa na faida Angepuuzwa tu maana sio threat kwa utawala Wala kwa jamii ila kwa kilichotokea ni Threat Kwa Ukristo maana imani ni Jambo binafsi haliusiani na utawala:
Wakianza na wachungaji wadogo watu wanakuwa kimya siku wakifika kwa wale wenye kundi kubwa ndio kelele zitaanza.
#wote wanathamani mbele za Mungu tukemee ukandamizaji wa viongozi wa Dini hata Kama Ana kundi dogo hata mtu 1 bado Aheshimiwe.
Nawasilisha.
Kosa ni lake mbarikiwa mwenyewe kuwakashifu watumishi wenzake. Kusema Mwl Mwakasege anahubiri ushetani ni dhihaka kubwa sana Kwa Mungu na kanisa la Kristo kwa ujumla. Arubu na arejee Kwa Mungu.
 
Kosa ni lake mbarikiwa mwenyewe kuwakashifu watumishi wenzake. Kusema Mwl Mwakasege anahubiri ushetani ni dhihaka kubwa sana Kwa Mungu na kanisa la Kristo kwa ujumla. Arubu na arejee Kwa Mungu.
KANISA la kwanza linarudi mahala pake.
 
Back
Top Bottom