Kuombewa/maombi/maombezi - Kiini cha ulemavu wa kiroho kwa Wakristo

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,344
1,012
Mkristo anayejielewa anatakiwa kuweka sawa uhusiano wake na BABA yake aliye MBINGUNI na kuwa na ujasiri wa kuongea na Mungu kama "Abba".

Siku hizi kuna usanii wa maombezi na watu wahuni tu wanapiga pesa kwa kuwashawishi wajinga kwamba wana uwezo wa kuwaombea watu kwa Mungu. Upumbavu au niuite jina gani?

Kama huna uhusiano mwema na Mungu wako usitafute huduma ya Maombezi. Mungu anakuhitaji wewe. MOYO ULIOPONDEKA MUNGU HATAUDHARAU.

Epuka utapeli wa kuombewa. At the end of the day they want your money. Utaambiwa SADAKA, FUNGU LA KUMI, SADAKA MAALUM, MATOLEO n.k. UTAPELI !!! Huu sio Ukristo.

Mambo mengi wanayachukua kwenye dini ya Wayahudi ili kuchumia matumbo yao. WAYAHUDI HAO HAO WANAOCHUKUA VIFUNGU VYA MAANDIKO YAO HAWAMUAMINI YESU KRISTO KAMA MASIYA.

AJABU NI KWAMBA LINAPOKUJA SUALA LA ZAKA NA MATOLEO ambayo ni sehemu ya dini ya Kiyahudi hawa wachumia tumbo ndio ajenda yao kuu!!!
 
Magenge ya watu wa aina hii wengi siku hizi huombea marehemu, pia huwataka watakatifu waliokufa wawaombee, yani ni upuuzi mtupu. Siku hizi kanisa limegeuzwa kuwa pango la wamyang'anyi.
Nadhani hili hasa lipo kwa wakatoliki japo nao wana defense ( apologetics) yao na labda tunaweza kuiongelea kwenye uzi mwingine
 
Magenge ya watu wa aina hii wengi siku hizi huombea marehemu, pia huwataka watakatifu waliokufa wawaombee, yani ni upuuzi mtupu. Siku hizi kanisa limegeuzwa kuwa pango la wamyang'anyi.
Kuombea marehemu kwa wakatoliki sio jambo geni. Ni jambo lilikuwepo tangu ukatoliki uanze.
Kama linawapa amani mioyoni mwao let them be.
 
Magenge ya watu wa aina hii wengi siku hizi huombea marehemu, pia huwataka watakatifu waliokufa wawaombee, yani ni upuuzi mtupu. Siku hizi kanisa limegeuzwa kuwa pango la wamyang'anyi.
Na kama huhudhurii jumuiya zao na kulipa kodi zote kwa jina la zaka, malimbuko, ukombozi, mavuno, dhabihu nk hawatauzika mwili wako siku ukifa.
Hii hofu ya kutokuzikwa ndilo shaka kubwa la washiriki wa haya magereza yanayoitwa kwa jina la dhehebu.
Hawafikirii maisha baada ya kufa yatakuwa je bali baada ya kufa watazikwa je.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkristo anayejielewa anatakiwa kuweka sawa uhusiano wake na BABA yake aliye MBINGUNI na kuwa na ujasiri wa kuongea na Mungu kama "Abba".

Siku hizi kuna usanii wa maombezi na watu wahuni tu wanapiga pesa kwa kuwashawishi wajinga kwamba wana uwezo wa kuwaombea watu kwa Mungu. Upumbavu au niuite jina gani?

Kama huna uhusiano mwema na Mungu wako usitafute huduma ya Maombezi. Mungu anakuhitaji wewe. MOYO ULIOPONDEKA MUNGU HATAUDHARAU.

Epuka utapeli wa kuombewa. At the end of the day they want your money. Utaambiwa SADAKA, FUNGU LA KUMI, SADAKA MAALUM, MATOLEO n.k. UTAPELI !!! Huu sio Ukristo.

Mambo mengi wanayachukua kwenye dini ya Wayahudi ili kuchumia matumbo yao. WAYAHUDI HAO HAO WANAOCHUKUA VIFUNGU VYA MAANDIKO YAO HAWAMUAMINI YESU KRISTO KAMA MASIYA.

AJABU NI KWAMBA LINAPOKUJA SUALA LA ZAKA NA MATOLEO ambayo ni sehemu ya dini ya Kiyahudi hawa wachumia tumbo ndio ajenda yao kuu!!!
 
Kwani hili jambo limeanza leo??hizi akili ni utumbo kbsa nakupigwa vita mmeanza enzi na enzi lkn wala hatushtuki wala kanisa haliteteleki
 
Wale wanaoombewa na wanaona matokeo tuweke kundi gani?

Sent from my 2201117TG using JamiiForums mobile app
Tatizo ni kwamba watu hawana haja na Mungu. Wanamtafuta tu ili kupata haja zao. Kama wanaombewa wanapata hizo haja zao je ni kweli wamezipata kutoka kwa Mungu? Kama ni kutoka kwa Mungu basi ni kwa huruma yake tu. Mungu anatutaka tumpende kwa moyo wote na siyo kumtafuta tu kwa sababu tunahitaji hiki au kile. Hata kibinadamu tu ukiwa na rafiki wa aina hiyo unajua huyo hana upendo wa kweli.
 
Back
Top Bottom