wakongwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Je, wako wapi wakongwe hawa?

    Miongoni mwa sintofahamu inayoendelea ni kutojulikana alipo aliyekuwa staa wa Bongo Movies, Mikalla aliyeng’ara kwenye Filamu ya The Lost Twins akitumia jina la Anita; filamu iliyoandaliwa na aliyekuwa kinara wa tasnia hiyo, marehemu Steven Kanumba chini ya Kampuni ya Mtitu First Game Quality...
  2. mngony

    JamiiForums Tanzania Wakongwe wa siasa naomba mtusaidie kuwatambua wanasiasa hawa

    Habari za mwisho wa Juma wakubwa ma wadogo. Waswahili wanasema kuuliza si ujinga, jana kulifanyika kongamano la kumuenzi Mzee Moses Nnauye, Mwanasiasa Mkongwe na pia Brigedia Mstaafu katika safu ya mbele ya wasikilizaji ambao bila shaka ni viongozi wastaafu wako baadhi nimeshindwa kuwatambua...
  3. maroon7

    JamiiForums Tanzania Wakongwe wa JamiiForums tujuane

    Humu JF hakuna kiashiria chochote kutambulisha wakongwe. Sasa tutambuane wakongwe wenzangu ambao tunazaidi ya miaka 10 tangu kujiunga JF. Comment chochote kwenye uzi huu kama unaangalau miaka 10 ndani ya jukwaa hili. Kama sio mkongwe naomba upite kimya.
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wakongwe, mashabiki wawatetea chipukizi waliokosa penati England

    Wakati mashabiki wakiwatuliza wachezaji chipukizi waliopoteza penati zao na kusababisha England ishindwe kuondoa nuksi ya miaka 55 ya ukame wa vikombe, Gary Naville amemtaka winga wa Arsenal, Bukayo Saka kutembea kichwa juu licha ya kushindwa kufunga penati muhimu ya tano dhidi ya Italia. Saka...
  5. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Wakongwe wa Soka Tanzania unweza kuwatambua hawa?

    Wakuu, Kama mkiweza kuwatambua hawa, basi Nyie ni mkongwe ktk soka [emoji2]
Back
Top Bottom