wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Dar unayafahamu vizuri maisha ya wananchi wako? Ushauri uliotoa ni pumba tupu

    Kwa kuwa ndugu Amos Makalla wewe ni pedeshee ndio unajifanya hujui maisha ya Dar yalivyo? Hijui kuwa alismia 90 ya wakazi wa Dar wanaishi kwa kubanana na wengi wanaishi mitaa ya madongo poromoka. Hujui kuwa wengi wa wakazi wa Dar wanaishi nyumba moja familia zaidi ya mbili? Huku wengi wakikaa...
  2. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Nahitaji Busara Kuuongoza Mkoa wa Mwanza

    MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amewaomba wakuu wa idara na watendaji wa Serikali mkoani humo kumuazima busara akidai za kwake pekee hazitotosha. Chalamila ametoa ombi hilo leo Jumatatu Mei 24, 2021 wakati akizungumza na watendaji, wafanyabiashara, wakuu wa idara, viongozi wa dini na...
  3. JamiiForums Tanzania Kama hujajenga na mshahara wako ni wa kuunga unga, usipite karibu na Tumaini ya Dar!

    Asikwambie mtu chuo kinapendezaa. Hawa 1st year walioshushwa hapa ni wa kiwango cha kimataifa. Nimeshazunguka kwenye major varsities kama UDSM, IFM, SUA, UDOM, Iringa University na SAUT kwa hiyo nazijua standards za vyuo vikuu. Yaani kama nyumba yako sijui ndio kwanza iko kwenye lenta au...
  4. J

    JamiiForums Tanzania CCM imebadilisha wenyeviti mara 4 lakini wenzao CUF na Chadema wako wale wale Prof Lipumba na Mbowe

    Kama unataka kujishirikisha na chama kinachoheshimu demokrasia basi nenda CCM na kamwe usiguse CUF, Chadema wala Nccr Mageuzi. Rekodi ya Mbowe na Prof Lipumba kukaa muda mrefu madarakani haijawahi kuwekwa na mwenyekiti yoyote wa chama cha siasa hata Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa CCM kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ulitumiaje Mshahara wako wa kwanza?

    Nakumbuka baada ya kumaliza chuo 2015 nlikuwa na mategemeo makubwa sana ya ajira ila hali haikuwa kama nlivyowaza. Nlipitia msoto wa kama mwaka mzima hivi na 2016 nilibahatika , kiukweli ilikuwa ni bahati + vi connection. Mshahara wangu wa kwanza kuupata baada ya makato ulikuwa Milioni 1 na...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Mama Maria Nyerere

  7. D

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli: Kukiwa na dharura ya mchango kwa haraka, wewe na ndugu zako mnaweza kukusanya kiasi gani mkichangishana?

    Katika maisha ya binadamu mara zote kimbilio kuu huwa ni ndugu katika kutatua jambo la dharura! Kwa unavyowajua ndugu zako, wewe na ndugu zako kukiwa na jambo la dharula na mkaamua kuchangishana hapo kama wana ndugu ndani ya siku moja au mbili mnaweza kupata top top Tsh ngapi ile Maximum...
  8. JamiiForums Tanzania Leo nitakutajia mchawi wako hapa. Ungana nami

    Ni kawaida kwa nchi za Afrika ikiwemo Tanzania kila mtu kuwa na mbaya wake au kwa lugha nyingine tunaita mchawi. Mtu ambaye hufurahia anguko lako, mtu ambaye huumia moyo unapoinuka. Mchawi mwingine anaadvance mpaka anaamua kutumia ulozi kukukwamisha. Mwingine hutamka maneno mabaya juu yako akiwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania UVCCM wako kimya sana Eid El Fitr hawajaenda hospitalini kutoa zawadi kwa wagonjwa kama ilivyozoeleka, kwanini?

    Kila kona wanasikika Bavicha tu mara wamepeleka tende kwa wale Uamsho kwa ajili ya sikukuu mara wanasindikiza malori ya TBL yanayopeleka bia wilayani Hai, lakini wenzao wa UVCCM hawasikiki kabisa sikukuu hii. Ni kawaida ya UVCCM kutembelea wagonjwa na watoto yatima wakati wa Eid El Fitr na...
  10. JamiiForums Tanzania Ulifanyaje kuendelea kumla x gilrsfriend wako mlio achana kwa ugomvi mkubwa

    Naombeni mipango mikakati ya kuendelea kula tunda kwa X girlfriend, mkiwa mmeachana kwenye ugomvi mkubwa (assume yeye ndio alio-kuacha)... na hamuwasilini ila umemiss kumla mzigo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maadui walioizunguka Israel wako zaidi ya million 500 ni nini kinachowashinda kuifuta Israel?

    Inakuwaje wanajamvi! Israel kanchi kadogo tu kenye raia million 5 wayahudi ukiondoa milion moja waarabu. Imezungukwa na maadui zaidi ya milion 500wenye chuki kali na kuiombea mabaya na kutamani ifutike. Kitu gani kinawashinda hata kuvuka mpaka nakuingia Israel nakuifuta. Ni nini jamani...
  12. JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya, asante kwa utumishi wako

    Utawala mpya wa Rais Samia Suluhu Hassan leo umeangusha moja ya nguzo za katikati za urithi, legacy, ya aliyekuwa Rais John Pombe Magufuli kwa kutumbuliwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya. Kama ulipenda alichokisimamia John Magufuli pengine leo ni siku ya huzuni. Nilimwona kwenye...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Waislamu " original" wako Israel ( Palestina) au Saudi Arabia?

    Nauliza tu kwa wanazuoni na wabobezi wa maswala haya ya imani za kuabudu na kumtumikia Mungu. Kwa mfano hapa Tanzania hizi dini tuliletewa tu kutoka huko zilikoanzia, ndio maana nauliza Uislam wa " ukweli " ni ule wa Palestina, Saudi Arabia au Iran? Kuuliza siyo ujinga. Ramadhan kareem!
  14. E

    JamiiForums Tanzania Uzalendo ni nini?

    Wana jamvi, Haya tunahitaji maoni yenu jinsi ya kuweza kutoa elimu ya uzalendo kwa mafisadi na wananchi kwa ujumla Kwanza naomba mtambue nini maana ya uzalendo: UZALENDO ni ile hali ya mtu kuipenda na kuithamini nchi yake na kuweka maslahi ya taifa lake mbele. Uzalendo ni neno dogo lakini...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Mwanamke ama Mwanaume kama huna hela wewe ama Wazazi wako utaoa/kuolewa na maskini mwenzako

    Habari wadau. Nipo sehemu moja napata moja moto.. kuna jamaa katusua kapanda cheo kazini huko auditing firm moja kubwa , yupo early 30s anadai muda wa kuoa umefika, anadai lazima aoe mwanamke mwenye kipato kama chake ama amzidi yeye mwanaume kipato.. maana watu wanapenda sana kuvuna...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge wako anawasilisha matatizo ya jimbo lenu Bungeni? Wa Dodoma ni bubu, miradi ya kuboresha jiji inamsitiri

    Mbunge wa Dodoma jiji Mheshimiwa Anthony Peter Mavunde ni garasa hata sijui bungeni huwa anaenda kufanya nini,bubu si bubu,sijui mkimya sijui ni mpole yaani haeleweki. Bila hii miradi ya kuboresha Makao Makuu sijui hata ingekuwaje? Barababa nyingi bado hazipitiki, sehemu inayohitiji hata...
  17. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo njia ya uhakika ya kuongeza mshahara wako

    Je wewe ni mwajiriwa lakini mshahara unaoupata hautoshelezi kuyaendesha maisha yako? Je umekuwa kwenye ajira kwa miaka mingi, lakini kikubwa ulicho nacho ni madeni na mishahara haikutani? Je mwajiri wako amekuwa hakuongezi mshahara licha ya gharama za maisha kupanda? Na je ungependa kuwa na...
  18. O

    JamiiForums Tanzania PADI WUBONN mkenya huyu akiigiliziia wimbo wako anakupotezaaa kabisaaa

    Huyu mkenya comedian akiigilizia wimbo wako utanuna anakupoteza.drake Mwenyewe alinuna ule wimbo wake wa gods plan mpaka akamnunia huyu mkenya.ila kiukweli Jamaa in balaa
  19. JamiiForums Tanzania Furahia kila pumzi ya uhai wako na mshukuru Mungu kwa mambo yote yanayokufurahisha na yale yasiyokufurahisha yapishe kuepuka magonjwa yasiyoambukiza

    Nilikua napitia report ya afya nimesikitika kuona 34% ya vifo nchini hutokana magonjwa yasiyoambukiza na ugonjwa wa moyo ukiongoza. Magonjwa mengine sukari na cancer ambayo tunayaona yanavyozidi kutuvamia kwa kasi. Kwa tafakari ndogo maisha tunayoishi yamechangia hili kwa kiasi kikubwa...
  20. JamiiForums Tanzania Huyo mke sio wako...

    Ulifunga ndoa Kanisani, mkasherehekea sana harusi. Baada ya siku chache ukaachana na mke wako, kisha ukaoa mke mwingine. Haukupita muda mrefu ukampa talaka. Kwakuwa hukuweza kuishi peke yako ukaoa tena kwa mara ya tatu mke mwingine. Utafanyaje ukisikia sauti ya Yesu inakuambia "huyo mke uliye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…