Mtakie mema rafiki/mpenzi wako

Upo kwenye mahusiano ya aina gani ?


  • Total voters
    9

Mbagala stendi

JF-Expert Member
Nov 8, 2020
289
266
Assalamualaikum.
Katika maisha kuwa katika mahusiano ya kimapenzi, ni Jambo la kawaida kwa kila kijana, ni muda wa kumtafuta yule wa ndoto yako wa kujenga nae maisha ikiwezekana mfunge ndoa.

Katika harakati za kimahusiano vijana wengi ujikuta wakianguka katika seheme siziso sahihi na kujikuta wakijipatia majuto na maumivu hapo badaye.

Tulio wengi tumepitia magumu na visanga vingi katika mahusiano ya kimapenzi unayempenda na kumjali yeye haoni thamani yako kwake.

Leo niwatakie heri na furaha kwa wale waliosimama imara katika mahusiano na walio bahatika kupata mtu sahihi kwao pia nina wahurumia na kuwatia Moto wale wote waliopo kwenye mahusiano ambayo hayaeleweki waendelee kupambana ikiwezekana wa move on wakatafute right one.

Walio single pia sijawasahau nanyi pia endeleni kujipa moyo ipo siku utampata atakaye kufaa maishani.
asanteni.

Mtakie mema rafiki/ mpenzi wako mimi naanza na rafiki angu kipenzi sana.
 
Back
Top Bottom