Mapato ya mkeo/mpenzi wako yamekusaidiaje katika uhusiano?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,355
40,237
Mapato ya mkeo/mpenzi wako yamekusaidiaje katika uhusiano wako? Wengi tunapenda kuoa wanawake wenye kazi au wenye vipato, Je kwenye mahusiano yenu, wewe mwanaume unayatumiaje mafao/fedha zake, au fedha zake zimekusaidiaje katika kuimarisha uhusiano wenu?

Hela.jpg

Ogopa Mwanamke Mwenye Kipato chake wengi Dharau ndipo zinapoanzia na Usitegemee pesa ya Mwanamke. Wakizipataga Huwa Wanaanza Kuingia Mitandaoni kuangalia Mitindo na Mishoni ya kusuka na Kushona Nguo, Matumizi na Mambo ya Msingi utaambiwa wewe ndio Mwanaume
 
Ogopa Mwanamke Mwenye Kipato chake wengi Dharau ndipo zinapoanzia na Usitegemee pesa ya Mwanamke. Wakizipataga Huwa Wanaanza Kuingia Mitandaonj kuangalia Mitindo na Mishoni ya kusuka na Kushona Nguo, Matumizi na Mambo ya Msingi utaambiwa ww ndio Mwanaume
Kuna ukweli, inawezekana wapo wachache wanaofurahia mapato yao
 
Ogopa Mwanamke Mwenye Kipato chake wengi Dharau ndipo zinapoanzia na Usitegemee pesa ya Mwanamke. Wakizipataga Huwa Wanaanza Kuingia Mitandaonj kuangalia Mitindo na Mishoni ya kusuka na Kushona Nguo, Matumizi na Mambo ya Msingi utaambiwa ww ndio Mwanaume
Kuwa na kipato si shida. Shida akuzidi kipato. By any means mzidi kila kona. Otherwise is date nae kabisa
 
Back
Top Bottom