wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Mwajiri wako anapokupangia Mshahara hakufikirii katika haya

    Kwema Wakuu! Hili uliweke akilini mwako kabisa mapema ili baadaye usiyejekulia Lia Kama mtoto. Mwajiri wako anapopanga Mshahara wako kitu anachokiwaza ni kupata faida maradufu. Pia anawaza ni namna gani utamsaidia kupata faida kubwa zaidi na kufikia malengo yake, na sio kuwaza kukusaidia...
  2. Angetile Osia (Katibu Mkuu wa TFF uliyetumbuliwa) na Rais wa TFF Karia tumekuchoka na Chuki

    Angetile Osiah (Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa) umekuwa na tabia za Kipuuzi na Kishamba mno hasa za kupenda Kujitokeza kutolea Ufafanuzi wa Hukumu na Sheria za TFF na Kamati za Maadili hasa pale ikiwa inaihusu Klabu ya Yanga. Angetile Osiah (Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa) kama kweli una...
  3. Nakupongeza Hussein Bashe kwa uamuzi wako kuhusu kuuza vyakula nje

    Nimekusikia ukisema kuwa hutafunga mipaka kuzuia chakula kuuzwa nje. Nakupongeza sana kwa hili. Kwa miaka mingi hilo suala limekuwa likimnyonya sana mkulima. Limedhoofisha na kilimo chetu. Uamuzi wako unaweza pandisha bei ya chakula. Unaweza leta lawama, lakini ni uamuzi sahihi. Kilichobaki...
  4. K

    Utamjibu vipi Ex wako anayetaka mrudiane baada ya wewe kuyapatia maisha?

    Utakuta mdada ulikuwa ukimpenda sana na kumtimizia mahitaji yake kadri ya uwezo wako lakini ghafla huyo keshakugaya anakwenda kujishikiza kwa kamsela kimbaumbau kisa kanamiliki visilver vya kubadilishia mboga. Eti leo maisha yameninyookea uanze kunitumia vitext vya kuomba turudiane, nitakujibu...
  5. SoC02 Changamoto ya Magonjwa ya Afya ya Akili: Tuchukue hatua

    Habari Tanzania, leo nina habari njema sana, lakini kabla haujajua nini hasa nataka kukueleza ni muhimu ukajua kwamba habari hii huenda unaifahamu , unaishi nayo, unaiona kwa watu wengine ama ndio kwanza, unaisikia kutoka kwangu . Natumia wino huu kukujulisha juu ya ‘AFYA YA AKILI’ . Mwaka...
  6. N

    Kitaalamu Yanga wako sawa hawana ushamba

    Pre season ni ushamba kuwachosha wachezajina mechi zisizo na kichwa wala miguu ni ushamba tu, hakuna cha kubadili hali ya hewa wala saikolojia kwa sababu kwa sasa saikolojia ya wana yanga iko heaven kabisa juu mbinguni hukoo wana morale kubwa na kujiamini mno *wana uhakika wa kutetea ngao ya...
  7. L

    “Uwatendee Raia Kama Wazazi Wako” - Rais Xi Jinping wa China

    Mwezi Januari, 2008 Mji wa Guizhou ulipokumbwa na maafa ya mvua, theluji na barafu, Xi Jinping alipokuwa mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama na Katibu wa Ofisi ya sektretarieti ya Kamati Kuu ya Chama alikwenda nyumbani kwa mwanakijiji Tang Shaowei kuwapa pole “Ni lazima...
  8. NSSF kudhamini ndoa ya Billnas na Nandy: Kweli Rais Samia hili ndilo unalotaka kwa ajili ya watu wako? Siamini

    Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF. Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya...
  9. T

    Unapokuwa kiongozi wa Kitaifa kwanini lazima uwe makini na ulimi wako kutunza siri

    Taifa lolote duniani ni lazima liwe na siri na siri hizo lazima zilindwe hata kwa damu. Yes sio kila kitu unapokuwa kiongozi unapaswa kukiongea hata kama unachosema ukweli ila kikatiba na kimuongozo kama mtunza siri wa wa kwanza ktk taifa hupaswi kusema nini unakijua au kinaendelea ktk taifa...
  10. Kupokea simu asubuhi ukiwa umelala na mpenzi wako.

    Ukiwa na mpenzi au mwenza wako kwenye marital bed, ni busara kuweka simu kwenye vibration. Mihangaiko ya mchana kutwa inachosha, na usingizi ni njia pekee Mwenyezi Mungu alituwekea kupunguza uchovu bure bila gharama. Kuna wale wanaotegemea simu za biashara ya kazi na nyingine huingia hata saa...
  11. Wanawake wa kitanzania wana tabia zipi kwenye ndoa?

    Mimi ni Mkenya na niko na jamaa wameoa mabinti toka Tanzania. Nimependezwa sana na ukarimu na unyenyekevu wao. Wanawake wengi huku Kenya ni Magaidi, kiburi, wanapenda kushindana na wanaume kwa ndoa na wanajifanya wazungu kuliko hata wazungu wenyewe, ukijaribu kujadiliana nao wanaforce accent...
  12. Rafiki yako akimtongoza mke wako umfanye nini?

    Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja. Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa. Miezi...
  13. M

    Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

    Nakumbuka huyu mzee mke wake alisafiri baada ya kupata msiba Mbeya sasa, hii nyumba yake ina vyumba vinne vya ndani na vina wapangaji, sasa kuna mpangaji mmoja wa kike anaishi singo, basi bhana mimi ninapolala napakana na chumba chake na mkewe, na havina ceiling board, basi nikasikia mlango simu...
  14. Eng. Hersi usipigie debe mgombea mmoja kiti Cha makamu wako

    Inaonekana kuwa unampenda Arafat moyoni kwako, lakini kwenye kazi sio hivyo. Tuache sisi wanachama tukupatie makamu wa rais wako wa club. Kupigia debe mgombea mmoja na kumuacha mwingine sio afya sana kwa club, hasa yule unaempigia debe akiangushwa kwenye kisanduku cha kura. Wacha kila mtu...
  15. M

    Kituko gani alikufanyia mtoto wa mwenyeji wako ulipokuwa ugenini huwezi kukisahau hadi leo hii?

    Mimi nakumbuka siku moja nikiwa ugenini, huyu mtoto wa mwenyeji wangu aliing'ang'ania radio yangu na mwenyeji wangu akaniambia tumsubirie asinzie watamnyang'anya nakumbuka walinipatia radio yangu saa nne usiku toka saa 12 jioni Niliwamindi familia yote ila basi tu hawakujua Weka na wewe cha...
  16. Rafiki yangu kampa mimba mwanamke mtu mzima

    Hapo awali alikuwa akisifia sana kwamba anajua mahaba na anakata mikato yote mpaka za samaki akipiga reverse!! Sasa nature imefanya yake, mshangazi wa watu kanasa mimba na kagoma kuitoa!.. kakomalia kuzaa na kwa vile jamaa hana mtoto bado lishangazi limemwambia atulie walee mtoto!. Mchizi...
  17. Hivi mpenzi wako kama ni mwanga/mchawi anaweza kuja kwako night kukufumania?

    Habarini za asubuhi, Inawezekama mpenzi wako kama ni mwanga kuja kwako night akakukuta na mwanamke mwingine, kesho yako akakasirika au kukuwashia moto au kufanya jambo lolote mpenzi analoweza kufanya akimfumania mwenzi wake? Maana si ana uhakika na alichokiona? Au akija anakuona wewe pekee...
  18. M

    Ni upi wakati sahihi wa kuwasaidia wazazi wako?

    Wakati sahihi ni sasa maana ukisema unatafuta maisha mazuri kwanza ndo ukawasaidie vizuri ukumbuke time yao inakatika. Hivo utazipata lakini wao hawatafaidi maana watakuwa wameshakwenda kwa muumba hivo ni vema ukaanza sasa hivi hata kama ni kidogo. Wape hakuna wakati mwingine zaidi ya huu wa sasa.
  19. Je, Unatakiwa kumwambia mwenza wako idadi ya uliowahi kufanya nao ngono?

    Kumuuliza mpenzi wako kuhusu historia yake ya ngono inaweza kuwa kama kutazama filamu ya kutisha, unataka kujua kinachoendelea lakini pia hutaki kujua. Wataalamu wa mahusiano wanaeleza kuwa kufanya hivi kunaweza kuwa na faida lakini pia hasara kwa upande mwingine. Hizi ni faida na hasara za...
  20. Pick up lines weka wako lengo kila mtu atabasamu

    wakuu hakuna kitu kizuri kama tabasamu katika uso wa binadamu uzi huu ktk coment weka line ambayo mtu akisoma atatabasamu au aki pick up line akamtumia mtu lazima atabasamu lugha yoyote mfano ' hakuna kitu kingine cha gharama ninachokipata buree kama upendo wako, Nahisi umemwambia Mwenyezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…