wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kama mwanaume: Jitahidi mazingira yako ya nyumbani yawe bora kuliko mazingira ya nyumbani kwa mke wako

    Kuna hili suala la watu kusema hata ukioa mwanamke ambaye kwao wana uwezo kukuzidi sio tatizo. Huko ni kujidanganya. Inakuwa sio tatizo labda mwaka wa kwanza wa ndoa yenu, wakati wa honeymoon period. Ndani ya moyo wake, mkeo ambae ataishi na wewe katika mazingira duni kuliko ya nyumbani kwao...
  2. Area 56

    JamiiForums Tanzania Wako wapi waliokuwa walinzi wa hayati Magufuli?

    Je walistaafu? Je walipangiwa majukumu mengine kama inavyotokeaaga kwa wanasiasa? Sio mbaya kujua walipo Watanzania wenzetu
  3. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Hakuna Biashara Mpya, Angalia loopholes za wengine Kisha Angalia Mfuko (mtaji) wako

    Mwaka unaisha leo ndio tunafunga Nov kesho ndio 1st Dec zinabaki siku tu sio mwezi tena wala miezi tufunge 2022 and if God wish ikimpendeza tuingie 2023 tukiwa na Mipango na mikakati mipya ya nguvu mno. Nadhani hii itakuwa Funga mwaka yangu ya 2022, tangu huu mwaka uanze tumepiga story za...
  4. Sijali

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wako, tunaendelea au tunarudi nyuma?

    Vigezo vya maendeleo vikiwa: Pato la mtu binafsi. Lishe, angalau milo miwili yenye virutubisho vyote kwa watu wa mjini, mitatu mashambani. Urahisi wa kupatikana elimu inayokidhi na huduma za afya angalau za msingi (basic health services) Maji safi, umeme, angalau kwa 50% ya Watanzania...
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking...
  6. amadala

    JamiiForums Tanzania UCHAWA Hadi lini? Shigongo tupumzishe na huu UCHAWA wako

    Hello 👋 Katika nchi zinazotumia wizi kama nguzo kuu Kuna vitu very common miongoni mwao kama KUTUKUZANA, KUBANA VYOMBO VYA HABARI, KUBANA UHURU WA UMMA NA KUOGOPA KUKOSOLEWA. Viongozi wetu wanaingia bungeni kwa lengo la kutengeneza pesa na sio kutatua shida za wananchi, HAWAPIGI KELELE...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia niazimishie 'Recorder' ya TISS ili nikurekodie Wateule wako ambao Kutwa wanakusema vibaya sana Vijiweni

    Halafu wakiwa nawe katika Hafla zako wanajifanya Kukupenda na Kukusifu. Na ni hawa hawa wakipelekewa tu Mic na Waandishi wa Habari wanajitutumua Kukupongeza huku wakisema kuwa Unaupifa mwingi. Tena kuna hawa Saba (7) kila nikibahatika Kuwasikia wakiwa Vijiweni Kwao (Mwao) pale Bahari Beach...
  8. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Wekeza kesho yako iwe Njema Kwa Mola wako

    Ndugu zangu kama heading inavyojieleza. Kuna ndugu yetu katika Imani yeye ni hafidh WA Qur'an na yupo huko Magore jijini Dar es Salaam,ana madrassa anafundisha vijana wetu. Lengo lake kubwa ni kujiendeleza kielimu ili walau afikie ngazi Fulani,mara ya Kwanza alipokuja dar kutoka kwao mkoani...
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kama mbingu ipo Pompeo na Hanspope wako wanazichapa ngumi kavukavu huko mbinguni

    Visa vya John Pompeo viko zaidi ya milioni Mwaka 2013 ,bosi wa chama cha wamiliki wa malori aliingia kwenye mikwaruzano na waziri wa ujenzi enzi hizo.bwana Pompeo Iko hivi kulikuwa na sheria kuwa malori yakizidisha uzito kwenye mzani kama uzito huo hauzidi asilimia tano basi yangesamehewa,ila...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania NAKAZIA: Acha ujinga, usimpe pesa mwanamke ambaye si mke au mchumba wako

    Wanaume, Acheni kutoa pesa kirahisi kwa wanawake. Wanawaona mapimbi tu mkiwapa pesa. Penzi huja automatically, halinunuliki. Unaweza kupewa mpaka maku lakini hupendwi, just unaonjeshwa tu utelezi ili akuchune zaidi. Wanaume wengi waliyodhani wanapendwa kumbe wanaliwa tu, baadaye hufilisika na...
  11. Faana

    JamiiForums Tanzania ONYO: Abood Bus waonye Madereva wako, Mwendokasi unaua abiria wasio na hatia

    Nipo kwenye Abood Bus T 818 DXJ linalotoka Dar - Morogoro, dakika chache zilizopita tumenusurika ajali kugongana uso kwa uso na lorry karibu na Imperial Sec School Chalinze kisa ni dereva wa Abood kuwa kwenye mwendo mkali na kuovertake lorry lenye namba T662 DEM sehemu isiyoruhusu wakati mbele...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama hauna Elimu usije ukathubu kujiingiza katika siasa utapoteza muda wako bure

    Kama hauna Elimu kaa mbali na kitu kinaitwa siasa hautoelewa unapigania nini Siasa inahitaji Elimu ukitaka kuifaidi hapa nazungumzia Elimu Kuanzia Degree na Masters au Angalau hata PHD Mimi mjomba wangu ni Darasa la saba yupo Uvccm mwaka wa 10 kama katibu wa vijana huu lakini Mambo yake Ni 0-0...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mtaje mshikaji wako ambae akipata Mil 1, una uhakika wa kupata laki moja,au hata Afutatu tu

    Mtaje mshikaji wako ambae akipata Mil 1, una uhakika wa kupata laki moja,au hata Afutatu tu Tuonyeshe love,kwa rafiki zetu wanaotupenda na kutupigania!
  14. masai dada

    JamiiForums Tanzania Mume/mke wako. Anasifa zile ulikua unaziwaza enzi za u-teenager?

    Hivi zile sifa ulizokua unazitaja Za handsome,tall,dark Financial stable Na kwa mke (mnazijua nyie) Ndo anazo sasa hivi Au Ndoa ni upendo Hahahaha Nyie acheni kabisa Ningemshauri mtu yoyote anaetaka kuoa/kuolewa Make sure unawaza vitu vifuatavyo 1.mcha Mungu 2.ana upendo wa dhati. 3.anapenda...
  15. MSONGA The Consultant

    JamiiForums Tanzania Shirikisha Watu Wafuatao Kwenye Utafutaji wa Fedha Kwa Ajili ya Taasisi Yako

    Utafutaji wa fedha kwa ajili ya Taasisi yaani "Fundraising Process" ni jambo muhimu sana kwa ustawi wa Taasisi. Kupitia "fundraising process" Taasisi itaweza kupata fedha kwa ajili ya; kutekeleza miradi, kugharamia shughuli za uendeshaji n.k. Jukumu la utafutaji wa fedha kwa Taasisi nyingi za...
  16. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ishi kijamaa kwenye mtaa wako, na usiishi kibepari

    Kuna baadhi ya watu huwa wanakubalika sana, kwenye mitaa wanayoishi; kutokana na kujichanganya kwao au kushiriki kwenye matukio ya hapa na pale yanayohusu mitaa waliopo. Ila kuna wengine, wanajulikana kama vipanga; hawajulikani kama mtaani wapo ama hawapo; kutokana na kila mmoja kuishi kivyake...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Msimamo wako Kalemani utakufikisha mbali sana, Mungu akutunze sana!

    Afrika tu ambapo haitoi nafasi Kwa viongozi wake watangaze kujihudhuru huku wakimlikwa na vyombo vya habari na kuelezea kila kimewasibu! Kwa Africa na Tanzania, hiyo ni dhambi kubwa na adhabu yake yaweza kuwa ni kuuwawa Kwa amri ya viongozi wa juu! Ilikuwa vigumu sana endapo ungeling'ang'ania...
  18. Surya

    JamiiForums Tanzania Kiukweli natamani sana kuishi maisha bila ya watu kunishangaa na kuniuliza kwanini

    "No one judge me" Kiukweli ndugu zangu natamani sana kufanya vitu vingi vya binafsi lakini nikifikiria watu watanionaje nguvu zinaniisha na kuamua kuacha tu na kujificha au kujibana, na ni mambo ambayo natamani niyafanye kwa uhuru wote na kwa kujiachia kabisa. Binafsi mimi ni mtoa huduma za...
  19. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Ratiba mgao wa maji: Aweso na watendaji wako punguzeni uongo

    Waziri wa maji majuzi mlitoa ratiba ya mgao wa maji. Ratiba yetu ilikuwa leo tupate. Kulikoni mpaka muda huu hapaeleweki na ulijifanya kusisitiza kuwa mgao utekelezwe as planned? Punguzeni janja janja mbele ya camera na uwongo, watanzania siyo wajinga siku hizi. Kujiuzulu pia ni option.. Kama...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Zitto na vijana wako acheni kuwananga CHADEMA kisa tu kufungua ofisi ya makao makuu

Back
Top Bottom