Wanawake wa kitanzania wana tabia zipi kwenye ndoa?

Msafiri456

New Member
Apr 17, 2022
4
4
Mimi ni Mkenya na niko na jamaa wameoa mabinti toka Tanzania.

Nimependezwa sana na ukarimu na unyenyekevu wao. Wanawake wengi huku Kenya ni Magaidi, kiburi, wanapenda kushindana na wanaume kwa ndoa na wanajifanya wazungu kuliko hata wazungu wenyewe, ukijaribu kujadiliana nao wanaforce accent ya kizungu. Wengi wetu tumechoka sana na hawa dada zetu hasa wanaotoka mlima kati Kenya.

Huku Mtwapa wamegandamiza wazungu hadi utapata wazungu ombaomba walioibiwa mali yao yote na mabibi wa Kikenya.Hata Benpol alijaribu bahati yake Kenya akapata "character development" kali sana.

Wanawake wa kiTanzania wako aje kitabia kwa ndoa kijumla?
 
Wee usijidanganye kabisa wanawake ni wale wale tuu mkuu.

Mie nilisha date na wazungu wasouth na wahindi nikaja kugundua wanawake ni wale wale....wee ukiwa na hela utawafaidi na hata siku moja hatakudharau
Future husband..sisi tunajua kuwandle bana usiseme wote wale wale
 
Hatujakataa mnajua kutuhandle vizuri pale tukiwa na pesa mbona mnavumilia hadi kuchepuka kwetu ila tatizo ukikosa pesa, rangi zote za dunia utazijua.
😂😂😂😂😂 Jamani..mengine Sirini
 
Wee usijidanganye kabisa wanawake ni wale wale tuu mkuu.

Mie nilisha date na wazungu wasouth na wahindi nikaja kugundua wanawake ni wale wale....wee ukiwa na hela utawafaidi na hata siku moja hatakudharau
Naelewa wan awake ni wale wale lakini wanaotoka maeneo mwingine ni wazuri kidogo kuliko wengine.Huku kwetu waKenya wanatoroka wan awake kutoka maeneo ya kati
 
Mkuu karibu Tanzania upate katoto kazuri, kuna mkenya niliwahi kudate nae hahaha hawako romantic kabisa
Ah wee kuna wanawake wakenya romantic, mie nilikuwa na mkikuyu yule mwanamke alikuwa mkarimu na anajua kutoa uno balaaa and she was very understanding
 
Zimwi likujualo halikuli ukakwisha achana nao kiongozi kwa afya ya akili zako we pambana na wakenya unaowajua maana unajua utajihami vipi

Ila hawa dada zetu wa kitanzania hawafai labda zamani huko kwanza wanaolewa kupunguza ugumu wa maisha

Sahiv huku tz vijana tuna slogan ya hakuna kuoa

Mwenyekiti wetu akiwa Liverpool VPN
 
Mimi ni Mkenya na niko na jamaa wameoa mabinti toka Tanzania.

Nimependezwa sana na ukarimu na unyenyekevu wao. Wanawake wengi huku Kenya ni Magaidi, kiburi, wanapenda kushindana na wanaume kwa ndoa na wanajifanya wazungu kuliko hata wazungu wenyewe, ukijaribu kujadiliana nao wanaforce accent ya kizungu. Wengi wetu tumechoka sana na hawa dada zetu hasa wanaotoka mlima kati Kenya.

Huku Mtwapa wamegandamiza wazungu hadi utapata wazungu ombaomba walioibiwa mali yao yote na mabibi wa Kikenya.Hata Benpol alijaribu bahati yake Kenya akapata "character development" kali sana.

Wanawake wa kiTanzania wako aje kitabia kwa ndoa kijumla?
Wanawake wa kitanzania ni wavumilivu na wanajua kupenda hakuna mfano na hautajuta kuwa nao katika mahusiano.
 
Naelewa wan awake ni wale wale lakini wanaotoka maeneo mwingine ni wazuri kidogo kuliko wengine.Huku kwetu waKenya wanatoroka wan awake kutoka maeneo ya kati
Ata hukunutakutana nayo hayo utaambiwa usioe mchaga sijui mmachame, mara ukitaka misambwanda ila sura peso nenda mbeya wengine watakwambia ukitaka mapenzi nenda tanga( by the way this true tena jipatie mdigo nakwambia utatomber mpaka ukojoe upepo)
 
Inategemea suala la ndoa lina mambo mengi sana.

Kuna mambo ya hobbies ku match bila kujali anatokea wapi

Kuna mambo ya dini na mila na zenyewe zinachangia kudumu kwa ndoa

Tanzania kama ilivyo ni li dude kubwa sana ambalo limebeba mchanganyiko wa mila nyingi na desturi nyingi kwa pamoja.

Sisi Watanzania tunajuana kila mtu anachagua vile vitu ambavyo angalau ni tolerable, nio maana unakuta kabila moja lina mafundisho ya asili kuwa wasioe kabila fulani au hata kabila moja unakuta makatazo usioe/ kuolewa kwenye koo fulani.Angalau Umoja wetu na Lugha ya pamoja ya kiswahili utandawazi na usasa zimefanya mchanganyiko katika ndoa na makabila yanafutika, ila kwa mbali matatizo bado yanatokea kutokana na malezi tofauti na mafunzo ya ndoa tofauti baina ya watu tofauti

Mimi Mtanzania naweza kuchukua tabia general za wakenya kuwa wapo hivi lakini ninyi mkawa mnajuana , Angalau mila za wajaluo, wamasai tunaushi nao tunawajua lakini hao wakamba, wakikuyu, wataita nk ninyi mnafahamiana.

Hofu yangu ni kuwa waweza kwenda Dar ukakuta ma celebrates wa kike wanaoolewa kila siku na kuachika, wanaoishi maisha fake na kufanya birthday kila mwaka ya kurudisha miaka nyuma, wanaokwenda uturuki kufanya plastic surgery ili kuonekana ni visichana kumbe vizee vikongwe, ukabeba hayo ukajisifu umepata MTZ kumbe umechukua jini la kukunyofoa roho mwisho wa siku ukaleta lawama kuwa Watanzania wako hivyo kumbe umejiongoza vibaya

Natambua kuwa kataka hali ya kawaida( achilia mbali uzalendo wa nchi na upinzani ) kati ya vijana wa Tanzania na Kenya, Wakenya wanafuatilia zaidi yanayoendelea Tanzania na wanaiga na kuwafanya Watanzania kama roll remodel wao kwenye nyanja za Burudani , Dini na Siasa lakini hili la ndoa

Fanya tafiti yako vizuri,kaa na mtu unayetaka kumuoa uangalie zile tolerable traits, oa at your own risk ila usioe nchi wala kabila tafuta ubavu wako popote duniani(CAVIANT EMPTOR)
 
Caveat Emptor.
"Let the buyer beware".
Inategemea suala la ndoa lina mambo mengi sana.

Kuna mambo ya hobbies ku match bila kujali anatokea wapi

Kuna mambo ya dini na mila na zenyewe zinachangia kudumu kwa ndoa

Tanzania kama ilivyo ni li dude kubwa sana ambalo limebeba mchanganyiko wa mila nyingi na desturi nyingi kwa pamoja.

Sisi Watanzania tunajuana kila mtu anachagua vile vitu ambavyo angalau ni tolerable, nio maana unakuta kabila moja lina mafundisho ya asili kuwa wasioe kabila fulani au hata kabila moja unakuta makatazo usioe/ kuolewa kwenye koo fulani.Angalau Umoja wetu na Lugha ya pamoja ya kiswahili utandawazi na usasa zimefanya mchanganyiko katika ndoa na makabila yanafutika, ila kwa mbali matatizo bado yanatokea kutokana na malezi tofauti na mafunzo ya ndoa tofauti baina ya watu tofauti

Mimi Mtanzania naweza kuchukua tabia general za wakenya kuwa wapo hivi lakini ninyi mkawa mnajuana , Angalau mila za wajaluo, wamasai tunaushi nao tunawajua lakini hao wakamba, wakikuyu, wataita nk ninyi mnafahamiana.

Hofu yangu ni kuwa waweza kwenda Dar ukakuta ma celebrates wa kike wanaoolewa kila siku na kuachika, wanaoishi maisha fake na kufanya birthday kila mwaka ya kurudisha miaka nyuma, wanaokwenda uturuki kufanya plastic surgery ili kuonekana ni visichana kumbe vizee vikongwe, ukabeba hayo ukajisifu umepata MTZ kumbe umechukua jini la kukunyofoa roho mwisho wa siku ukaleta lawama kuwa Watanzania wako hivyo kumbe umejiongoza vibaya

Natambua kuwa kataka hali ya kawaida( achilia mbali uzalendo wa nchi na upinzani ) kati ya vijana wa Tanzania na Kenya, Wakenya wanafuatilia zaidi yanayoendelea Tanzania na wanaiga na kuwafanya Watanzania kama roll remodel wao kwenye nyanja za Burudani , Dini na Siasa lakini hili la ndoa

Fanya tafiti yako vizuri,kaa na mtu unayetaka kumuoa uangalie zile tolerable traits, oa at your own risk ila usioe nchi wala kabila tafuta ubavu wako popote duniani(CAVIANT EMPTOR)
 
Mimi ni Mkenya na niko na jamaa wameoa mabinti toka Tanzania.

Nimependezwa sana na ukarimu na unyenyekevu wao. Wanawake wengi huku Kenya ni Magaidi, kiburi, wanapenda kushindana na wanaume kwa ndoa na wanajifanya wazungu kuliko hata wazungu wenyewe, ukijaribu kujadiliana nao wanaforce accent ya kizungu. Wengi wetu tumechoka sana na hawa dada zetu hasa wanaotoka mlima kati Kenya.

Huku Mtwapa wamegandamiza wazungu hadi utapata wazungu ombaomba walioibiwa mali yao yote na mabibi wa Kikenya.Hata Benpol alijaribu bahati yake Kenya akapata "character development" kali sana.

Wanawake wa kiTanzania wako aje kitabia kwa ndoa kijumla?
Wanawake waki Tanzania wao wanapenda kupewa pesa pesa tu ukiwapa pesa wanakupenda wao pamoja na ndugu zao na uta eshimiwa sanaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom