wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. sanalii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu tunafurahia sana ndoa yetu, ijue maana ya kumuita mwanadani wako "Baby"

    Watu wengi walio katika mahusiano hutumia sana neno baby (mainly in happy times) lakini ni wachache sana wanajua maana ya kumuita mwanadani wako "baby". ukishaelewa maana ya kumuita mwenza wako baby basi utafurahia maisha ya mahusiano yako, hasa wote mkiwa mnafahamu hilo Sasa je nini maana ya...
  2. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Unamkumbuka Mwalimu wako aliyekufundisha Elimu ya Awali?

    Mimi namkumbuka Mwl. Minja. Yule mama Mungu ampe maisha marefu, kuna siku moja nilitaka kujisaidia haja ndogo ila zipu ya mkaputura wangu ukagoma kushuka chini! Yule mama aliponiona nalia kwa kuhofia nitajikojolea akaja akanituliza kwanza. Akaniuliza shida nini, nikamwambia zipu imegoma...
  3. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kwanini 'unatufichaficha' wananchi wako hata tunayotakiwa kuambiwa?

    Nasema kwakuwa najua na nimekitumikia ninachokisema. Nimekuwa kiongozi kwenye vyombo vya ulinzi; chamani na serikalini. Najua kuwa yapo mambo ya kusemwa hadharani na yale ya kuhifadhiwa na kumalizwa sirini. Yale ya hadharani ni ya kusakia 'support' kwa wananchi. Wananchi wasikie na...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamaa niliyekuibia mpenzi wako jifunze, mwanamke mzuri hafokewi

    Wikendi jana nilikuwa zangu kanda ya ziwa. Nikafikia lodge moja yenye sehemu nzuuuri ya kutulia na kula kinywaji. Nyakati za jioni nikatoka nje kupunga upepo,kunywa wine huku nikipitia nyuzi za wakuu Jamiiforums. Pembeni kidogo kulikuwa na mtoto mzuri lakini anaonekana mapepe kama wale watoto...
  5. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania List ya wasanii wa Bongo ambao walipata umaarufu na mafanikio makubwa, lakini leo wako juu ya mawe

    1) Mr Nice - huyu Afrika mashariki nzima na baadhi ya nchi za kusini kama vile Malawi, Msumbiji na Zambia hakuna mtu ambae alikuwa hamjui. Mpaka watoto wadogo huko vijijini Malawi walikuwa wanaimba kidali poo. Miaka ya 2002 mpaka 2005 alipiga hela sana lakini akaishia kushusha zipu, leo hii...
  6. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Waislamu tumekatazwa kuwaudhi wanawake, Abunuwasi na Vitimbi vya wanawake

    Ilikua jioni moja tulivu, mwanamke mmoja alielekea kisimani kuteka Maji.. Alipokuwa Huko Kisimani Mara Akatokea Mwanaume Mmoja Na Kumuuliza Yule Mwanamke "samahani Dada yangu Hivi Unaweza Kunitajia visa vya mwanamke?". Yule mwanamke ghafla Akaanza Kulia Huku Anapiga Makelele Kwa Sauti Sana...
  7. JITU BANDIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siri 5 ambazo hupaswi kumwambia mwenza wako/mume ama anaetarajia kuwa mwenza wako hata iweje

    Sio Kila point ya JITU BANDIA NI BANDIA! Wahunii!.... Niaaje! Siku hizi mazee ndoa nyingi zinaishia kuvunjika tu kimasihara...msemo wa rickyboy... kutokana na sababu shazi tu ( nyingi), hususan kutokana na ugomvi ndani baina ya wanandoa. Japo haipaswi kuwa siri kiviile baina ya wanandoa...
  8. Ndondombi Mulin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume, acha tabia ya kutembea na Wake za watu.

    Wanaume, Nipo hapa kuwakumbusha kukaa mbali sana na Wake za watu. Leave them alone. Haijalishi ni yeye ndio amekupenda au anakusumbua sana. Unapaswa KUACHANA NAE. hata mazoea nae yakatae. Bado kuna Wanawake wengi warembo/wazuri wako single na wapweke. Na wanahitaji sana Upendo, Mapenzi na...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mama wa watoto wako ameishikilia hatma yako

    MAMA WA WATOTO WAKO AMEISHIKILIA HATMA YAKO! Anaandika, Robert Heriel Shahidi. Ujumbe huu ni Kwa Watibeli, wanaume na Wanawake wanaohitaji kuishi Kwa furaha katika Ulimwengu huu. Unapochagua MKE sio tuu unachagua Kiburudisho cha kukupa utamu kila usikiapo hamu ya ngono. Mke ni zaidi ya...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua? Unaweza kulipa Tsh. Milioni 468 kugandisha mwili wako baada ya kifo ili uje kufufuliwa baadaye

    Kama ulidhani Baridi kali inatumika kuhifadhi Bidhaa pekee ili zikae muda mrefu bila kuharibika, fikiria upya. Teknolojia mpya iitwayo 'Cryonics' imeanza kujipatia umaarufu kwa kutunza Miili ya Watu waliofariki huku wakiwa na matumaini ya kufufuliwa siku zijazo. Gharama za kugandisha Kichwa...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mzazi unapaswa kutambua dalili kama Mtoto wako ana Tatizo la Afya ya Akili

    Mtoto mwenye tatizo la #AfyaYaAkili anaweza kuwa na changamoto mbalimbali zinazomfanya awe na Tabia zisizo za kawaida au hali ya kutokuelewana na wengine katika jamii yake. Baadhi ya matatizo ya Afya ya Akili yanayoweza kuathiri Watoto ni pamoja na kuvurugika Kihisia kama vile kuongezeka kwa...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Umri wako ni tabia yako! Hivi ndivyo ilivyo jifunze tabia 14

    Kila umri una mawazo na tabia yake tofauti 1. Miaka 1~5 ni umri wa kujifunza chochote kwa kuiga wakubwa 2. Miaka 6~10 ni umri wa msingi wa uadilifu unaodumu maishani 3. Miaka 11~17 ni umri wa makuzi na matamanio (haudumu) 4.miaka 18~25 ni umri wa ndoto kubwa za nia njema na matarajio makubwa...
  13. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tafadhali pitia huku uokoe maisha ya mwananchi wako anaepambana kuokoa uhai wake

    Rais wetu, kwa heshima na taadhima napenda kutanguliza salam zangu za dhati kwako na kwa Watanzania wote, waliopo humu na wale wasiokuwepo humu nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia leo katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao yetu ya kijamii ili kupata habari mbali...
  14. Tate Mkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weka utabiri wako hapa wa mechi ya marudiano wiki chache zijazo kati Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania

    Karibuni wadau wote wa michezo kutabiri matokeo ya huu mchezo wa marudiano kati ya hizi timu mbili kubwa kabisa Barani Afrika; Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania. Ikumbukwe timu zote mbili tayari zimeshafuzu hatua inayofuata ya robo fainali, Kombe la Klabu Bingwa Afrika. Na katika...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwana FA jishushe kidogo unapokuwa na bosi wako

    Ni ukweli usiopingika jina la MWANA FA ni kubwa sana kutokana na kupata mafanikio katika tasnia ya Muziki na kuwa miongoni mwa Magwiji wa Bongo Flavour. Pamoja na umaarufu wake lakini ni Kijana ambaye kichwa chake kiko vema sana ndio maana hata ngazi kuu za Maamuzi zimemuona . Hakika anafaa...
  16. Logikos

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) akishinda mechi 9 Kati ya hizi 10 Ubingwa ni wako

    Leeds (home) Liverpool (away) West Ham (away) Southampton (home) Man City (away) Chelsea (home) Newcastle (away) Brighton (home) Nottingham Forest (away) Wolves (home) Hii ndio inaitwa its in their own Hands (Hata wakishindwa Six - Pointer na Man City)
  17. Ancient Resident

    JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kupata mchongo mzuri wa kukuinua kimaisha ila tamaa zako zikakuharibia?

    Rejea mada tajwa hapo juu, nia ni vijana kujifunza ni jinsi gani tamaa zetu binafsi zinapoteza uaminifu wetu kwa wengine na vile zinarudisha maisha yetu nyuma. Karibuni.
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwamposa huyu mtoa shuhuda wako anayejifanya ni Mkongo amekosea Script ya uongo na maelekezo yako ya Kitapeli?

    Kaanza kwanza Kujitambulisha kuwa Yeye ni Mkongo ( kutoka DRC ) kisha akaanza Kuzungumza kwa Lafudhi Feki ya Kikongo baadae akajisahau akarejea katika Lafudhi yake ya Asili ya Wanawake wa Kiuswahilini wa Temeke Mtongani. Mwamposa Mimi GENTAMYCINE nimekaa na kuishi na Wakongo na labda tu...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zaidi ya wanawake 1500 wapo Dar es salaam kumpongeza Rais Samia Machi 19, 2023. Hawana nauli za kurudi nyumbani na hawajui wale/walale wapi

    Njoo kwenye hoja. Leo kumetokea kituko Dar. Kuna wanawake zaidi ya 1,500 wamewasili Dar kutokea mikoa yote ya Tanzania. Nia ya wao kuja Dar ni Ili waweze kukutana Kesho asubuhi hadi saa nane Mchana Ili kumpongeza mama Samia. Kwa masikitiko makubwa na huzuni kubwa wamama hao wamelipa nauli kwa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu, Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Back
Top Bottom