Kuchora tatoo ya mpenzi wako ni kipimo sahihi cha upendo au ni ulimbukeni wa mapenzi?

Screenshot_20230505_071527_Instagram%20Lite.jpg
 
Sisi mataita wa zamani tulichoraga na korosho,niliandika Amina mkono mzima ila kilichonikuta,nlikula stiki sana kipindi kile si shule si home,na hapo nipo la sita
 
Back
Top Bottom