wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Fahamu uwazi katikati ya Mapaja unaakisi nini Kuhusu Ustadi wako wa kufanya Mapenzi

    Hii ndio tafsiri yake... Kila mtu ana njia tofauti linapokuja suala la ngono lakini je, unajua kwamba uwazi kwenye mapaja yako unaweza pia kusema mengi kuhusu ujuzi wako wa kufanya mapenzi? Jua zaidi uwazi kwenye mapaja yako unaashiria nini kuhusu mtindo wako, na uchague kutoka kwa aina 4...
  2. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Mama Samia yule mteule wako wa NIMR ilimshinda Hospitali ya Mloganzila

    Mtafiti yupo kule NIMR Center. Anakesha kuandika tafiti mbalimbali ili apate ufadhili, pasipo msaada wowote toka NIMR HQ. Kwa jasho na damu anapata ufadhili na kupeleka pesa kituoni kwake ambazo zinasaidia hata kuendesha kituo. Halafu from nowhere anakuja mteule mmoja wa Rais anataka hizo pesa...
  3. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa was Dar es Salaam tuma watu wako Mbezi Louis

    Tahadhali ubungo stendi ya daladala si salama. Stend ya daladala njia ya ngazi inayounganisha stend yq juu na chini sio salama. Sio usiku mchana Wala jioni watu ni wengi sana. Lete watu wenu wananusalama wasaidie yaani msongamano madhara makubwa yatatokea. Wizi. Magonjwa. KERO. Nktafadhalini
  4. Ms eyes

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumuacha mpenzi wako kwasababu ameku-cheat?

    Hey Guys! Mnaendeleaje, Poleni na majukumu, naomba mawazo yenu juu ya hii changamoto hapa. Hivi ni sahihi kumuacha mpenzi wako aliyekucheat na kama ukiamua kumsamehe ni muhimu kufahamu kuwa mahusiano yao na huyo aliyecheat nae yameishia wapi?
  5. mfate42

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Same na Maafisa wako mjitafakari. Je, mnatosha kuendelea kuwepo kwenye Ofisi zenu?

    Kiukweli naandika kwa machungu sana post hii huku ndugu zangu wa karibu kabisa wakiwa wameacha kazi kwa uzembe tu wa viongozi wachache wa halmashauri ya Same kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao. Barua za watumishi hamtaki kuzisaini. Mkisaini huwa mnakomenti vibaya mno. Na mbaya zaidi...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shukran Waziri Mkuu Majaliwa kujumuika nasi Karimjee Hall Kumuaga Wakili Mzee Mkono, ila hiki cha FFU wako sijakipenda

    Haingii Akilini na pia si tu ni Ushamba pia ni Upumbavu ( Ujuha ) Watu tuko Ukumbini tena Karimjee Hall Msibani halafu Askari FFU Mwenye Silaha yake ya Kivita na Makolokolo yake Mwilini mwake akiwa ameielekezea Kwetu Waombolezaji huku akiwa Katukunjia Sura yake utadhani labda tuna Ugomvi nae...
  7. Desierto

    JamiiForums Tanzania Leta ushuhuda wako wa watoto walioonekana wa maana kwa wazazi wako kuliko wewe wakati huo, lakini sasa...

    Kusema ukweli iko hivi kwenye familia yetu tuko watoto 27 ukitoa walio tangulia, wakati niko mdogo baba yangu alinipenda sana ila cha ajabu ni mm pekee nilikuwa naongoza kwa kupigwa hata kwa makosa yasio stahili kupigwa. Kuanzia chekechea mpaka la darasa la 3 nilikuwa nashika nafasi ya 2 mpaka...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dalili nne zinazoonesha mtoto wako anaweza kuwa katika shida

    Dalili 4 zinazoonesha Mtoto anakabiliwa na Matatizo Kuchukia Shule au kufanya vibaya Darasani Kujitenga na Familia/Wenzake Kuwa na Tabia zisizo Njema ghafla Kupenda Ugomvi na kuonea wenzake Malezi ya Mtoto yanahitaji umakini mkubwa na ukaribu ili kuweza kubaini mabadiliko yoyote yasiyo ya...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Simba 2012: Wako wapi na wanafanya nini kwa sasa?

    Mwenye kujua walipo wachezaji wa Simba 2012 walioifunga Yanga 5 - 0 ashushe data hapa kwa heshima ya hawa Legends walioipa Yanga adhabu isiyovumilika. Wapo wapi na wanafanya nini kwa sasa?
  10. deals smart hapa

    JamiiForums Tanzania Tunakuletea Kamera kibunifu ya Balbu ya CCTV - ongeza Usalama Wako wa Nyumbani! 🏠💡📷

    Tangazo la Kusisimua! 🌟 wana jf leo kijana wenu nawaletea bulb cctv original sio fake za kkooo 🌟 Habari zenu! nafurahi kuwapa habari ya kushangaza na ninyi nyote leo. Je, umewahi kutamani kamera ya uchunguzi ipo kama taa za ya nyumba yako? Kweli, basi swala la ulinzi dukani au nyumbani...
  11. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Badili mtazamo wako kuwa hivi ili usipate shida kuhusu wanawake

    Tangu unaanza kumtongoza jiwekee akilini kuwa wewe ndo kiongozi. Inamaana utaongoza mazungumzo, mahusiano na ngono kiujumla. Hata kama upo kwenye mahusiano ya miaka 40, endelea hivyo. Hilo ni jukumu lako, hivyo kuanzia sasa badili mtazamo juu ya kuwa na mwanamke. Badili kutoka, Nawezaje kumpata...
  12. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Kuishi Geita na Mara ni hatari kwa usalama wako na mali zako

    Hiii mikoa ni kama imelaaniwa kila kukicha utasikia Mauaji Geita Mauaji Mara imekua kama wimbo sasa. Kuna muda nafikiria kwanini tusiifute hii mikoa tuifanye misitu watu waneuliwa, watu wamevamiwa biashara zao. Polisi wapo ila wapo busy kula rushwa na kuchora ramani na majambazi. Kuishi Mara na...
  13. comte

    JamiiForums Tanzania Ma Baba Askofu wote wa TEC wako hija Vatican

  14. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Linda roho na mwili wako, ili ufanikiwe

    ACHENI KUGONGAGONGA HOVYO!!! Vijana wengi wanapambana sana lakini hawafanikiwa, kila wakijitahidi kujitoa kwenye janga la umasikini wanashindwa kabisa. Unashangaa tu mambo yako wala hayaendi, unafanya hivi na vile lakini hakuna kitu. Umekuwa na ndoto zako za muda mrefu, unaamini zitakupa sana...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania UDSM, Mzumbe wana Business School lakini katika Sakata la Kariakoo wako kimya. Hapa ndio Kishimba huwa anachukua alama

    Hii nchi ina faculty ambazo zinaitwa za biashara, zikiwa na wasomi kedekede, kwa nini hawatoi muda wao kufanya research kwenye maeneo nyeti ya nchi kibiashara? Imagine, eneo linalokusanya Kodi karibu 150 billions kwa mwezi, Chuo Kikuu hakijichimbii kufanya tafiti au monitoring. Wao wanamjua...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa uwezo mkubwa wa Mayele ni Mwehu tu ndiyo atasema Phiri na Baleke wako juu yake

    Fiston Kalala Mayele ni Mshambuliaji mwenye kila Kitu ambacho Kocha atakipenda. Kwanini GENTAMYCINE nampenda mno Fiston Kalala Mayele kuliko Wengine Wanaojitafuta akina Phiri na Baleke? 1. Mayele ana Akili nyingi 2. Mayele ni Mpambanaji 3. Mayele anajituma vilivyo 4. Mayele ana Nguvu 5. Mayele...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Mshauri wako Mkuu alikuwa Mtu wa hovyo enzi zake unategemea Wewe ndiyo uwe Bora?

    Yaani kabisa Dr Matola PhD awe Boss wangu Himayani na amesfaafu ( na najua aliharibu mno kuanzia mfano mwaka 2005, kisha Mimi GENTAMYCINE nimekalia Kiti changu ( alichokikalia Yeye ) kisha niwe namsikiliza Yeye kwa kila Kitu hata kama ni Pumba na mambo yasiyofaa Himayani. Nitakachokitoa a ni...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Lala salama Hayati Magufuli hukuwahi Kudharaulika na Watendaji wako, Uliogopwa Kiufanisi, nchi ilienda na tulinyooka vilivyo

    Wewe Mwenyewe kwa kutaka Sifa kwa tuliokuwa tukikusikiliza na kumuonyesha aliyekuwa Juu yako alikuwa hafai ulisema hutokuwa Mkali na Bandidu na utatudekeza sasa leo unalialia nini kuwa Unadharaulika na Watendaji wako tena uliowateua Mwenyewe? Wenye Akili Kubwa hapa tunaona unatupigia tu Kelele...
  19. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufungua kufuli ufunguo wako ukipotea

  20. Kamulimuli

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuolewa/kuoa tena Na Mume/Mke wako kwenye Maisha Mengine.

    Kwa walioko kwenye ndoa na walio wahi kuwa kwenye Ndoa..Ikitokea Muda ukarudi nyuma..au kukawa na Maisha mengine baada ya haya.Je utakubali kuolewa/kumuoa tena huyo mwenzi wako?
Back
Top Bottom