wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi kwanini nyie wake zetu hamsemi Asante

    Daah. Yaani hata ufanye nini huwa wanakuwa kama ni haki yao vile. Sura kaavu.
  2. Kenya: Hakuna pasu kwa pasu tena, Mahakama imeamua wanandoa wanaoachana kila moja achukue chake au kuonyesha ushahidi wa mchango wa mali ya kugawana.

    Mahakama ya Upeo Nchini Kenya leo Januari 27, 2023 imetoa Uamuzi kuwa Wanandoa wanaoachana hawatagawana Mali nusu kwa nusu (50/50) kama ilivyokuwa awali bali kila Mmoja ataondoka na kitu chake, tena kwa kuonesha ushahidi kuwa ni Mali yake halali. Uamuzi huo ni Marekebisho ya Ibara ya 45 (3)...
  3. Nikioa mwanamke mwenye mtoto nitamlea mtoto wake kwa sababu zifuatazo tu!

    1. Baba yake Kafa 2. Alimtelekeza tokea akiwa Tumboni 3. Baba yake akitaka Kumuua 4. Baba yake kasema haikuwa Mimba yake 5. Ndugu za Baba yake wamemkataa Ila nje ya sababu hizi au kama huyo Mwanamke nitakayemuoa hatonipa hizi sababu Tano ( 5 ) tajwa hapa juu basi atafute kwa kumpeleka huyo...
  4. M23 wakamata mji FARDC na washirika wak wakimbia

    M23 wakamata mji wa Kishanga tena, Jeshi la Congo na washilika wake FDLR,MAIMAI NYATULA,CODECO,MAIMAI YAKUTUMBA NA WAZUNGU MERCENARIES waliopewa kazi na DRC wakimbia. M23 yatangaza vita rasmi kupambana na hivo Vikosi kwa kuwa wanafanya Mauaji ya kuwalenga Watusi,Hema na wanaozungumza...
  5. Ufaransa yamwita nyumbani balozi wake nchini Burkina Faso

    Wizara ya mambo ya nje ya Ufaransa ilisema Alhamisi kuwa inamwita nyumbani balozi wake nchini Burkina Faso, ikitaja muktadha wa matukio ya hivi karibuni, siku moja baada ya Paris kutangaza kuwa itaondoa wanajeshi wake katika nchi hiyo. Tumeamua kumrudisha balozi wetu mjini Paris ili kufanya...
  6. Mdogo wake Elton John, Jeoff Dwight

    Baba Yao ni mmoja lakini mama tofauti. Jeoff hana pesa kama kaka yake, ni mbangaizaji tu lakini haja left the group of men.
  7. Bibi kizee anyofolewa masikio na mtoto wake wa kumzaa wakati akiwa amelala

    Mkazi wa Kitongoji cha Kalilangwa Kijiji cha Mchangani Kata ya Ikola, Tarafa ya Karema Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi Winfrida Athanas (63) amenyofolewa masikio yote na mtoto wake wa kumzaa mwenyewe baada ya kumvizia wakati akiwa amelala usingizi chumbani mwake. Tukio hilo la kusikitisha...
  8. Maisha yangu ya upangaji na wake za watu na niliyowahi kuyashuhudia

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri wapendwa.... Tarehe 29 Mwezi september, mwaka huu natimiza miaka 24. Nataka kushare niliyokumbana nayo na wake za watu pamoja na niliyowahi kuyashuhudia. Mara ya kwanza kuishi wilaya ya Bunda niliishi mtaa mmoja uitwao Nyamakokoto kutokana na ugumu wa maisha kazi...
  9. Tanganyika ilipata uhuru wake 09 Dec 1961. Tanzania 🇹🇿 tukajitwalia uhuru wetu tarehe 17th March 2021

    Kuna mahali nchi ilipita kwenye bonde la uvuli wa mauti. Matajiri wakaambiwa wataishi kama mashetani, masikini wakaambiwa watalimia meno. Nchi ikakosa furaha, kiwango cha huzuni kikawa kikubwa na kutamalaki hadi nchi jirani. Unyama na ukatili tu, uliwaendea hadi vifaranga na ng'ombe. Ni...
  10. Mbona kuoa wake wengi kama hoja kuu ni ulafi wa ngono tu?

    Wasalaam wana JF Hivi katika hali ya kijamii au kiimani mbona hiki kibali cha kuoa wake zaidi ya mmoja sioni mantiki zaidi ya starehe ya ngono, kama nguvu kazi ya kiuchumi mfano kilimo so unaweza kukodi vibarua, je, mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume? Kwanini yeye mwanamke pia asiwe na...
  11. M

    Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

    Wakuu Huko Millard Ayo karipoti kuwa jamaa mke wake wa South Africa anadai talaka na toka mwaka jana hawako pamoja, sasa yule alitufanya wanaume tuonekane hatuna mapenzi na wake zetu kumbe nae ndani kuna waka moto. Haya mambo tuulizane yale nafundisho yake tuyafuate au tumteme maana hata yeye...
  12. Inakuwaje mwanadamu ni mtawala asiye na nguvu juu ya hata viumbe viishivyo ndani ya utawala wake?

    Ni wazo tu nimepata kwamba mwanadamu ambaye inasadikika kutoka kwenye maandiko kwamba alipewa ukuu na umiliki juu ya vyote vilivyopo duniani, kipindi anapewa huo umiliki kulikuwapo na shetani ambaye kwa logic tu ya kawaida yuko most powerful 1000000000% than a huma siyo kiakili wala nguvu tu za...
  13. Sikatai Tundu Lissu kurejea Tanzania, ila je, ameshahakikishiwa na kujihakikishia pia Usalama wake akirudi rasmi?

    Je, wale Maadui zake wapo au labda wameshakuwa Executed na waliopanga ile Mission dhidi yake? Je, ana uhakika kuwa hakuna Mabaki ya Maadui zake waliomfanyia Tukio baya Dodoma yamebaki na kwamba huenda kwa Hasira walizonazo kwa Kumkosa basi Safari hii akirejea watahakikisha Wanamaliza Shughuli...
  14. Mbunge Nicholaus Ngassa apongezwa na CCM wilaya ya Igunga kwa mchango wake ndani ya Chama Cha Mapinduzi

    📍 Igunga, Tabora Habari Picha: Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Igunga Ndg. Mafunda Temanywa kwa ajili ya kutambua mchango...
  15. Serikali yaanza uchunguzi wanafunzi kufundishwa ulawiti

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Elimu ya Juu, imetuma timu maalumu mkoani Kilimanjaro kuchunguza tuhuma za wanafunzi kufundishwa vitendo vya ulawiti katika shule mkoani humo. Uamuzi wa Serikali unatokana na gazeti moja nchini kuripoti uwepo wa shule inayofundisha masuala hayo mkoani humo kitendo...
  16. D

    KKKT ni kubwa kuliko Mch. Kimaro, msihuzunike kuna jambo hamlijui, viongozi wake hawajakurupuka

    Naomba nianze kwa kuwapa pole waumini ambao walibarikiwa na mchungaji kimaro! Kazi ya kitume ni kama mvua, inanyesha kwa wakati wake na kupisha kwa muda ili shughuli zingine zifanyike, mpate muda wa kupanda, kuvuna, na hata kuezeka panapovuja. Yamkini mvua ya mahubiri ya mchungaji kimaro...
  17. Amber Lulu apigwa na mpenzi wake na kujeruhiwa vibaya

  18. L

    Ipo siku wapinzani watakubali ukweli kuwa CCM haina mbadala wake

    Ndugu zangu Watanzania, Siku yaja na miaka yaja ambapo wapinzani watakubali kuwa CCM ndio chama pekee kinachopaswa kuungwa mkono na kupewa ushirikiano katika kuliongoza taifa letu, watakubali kuwa Sera ajenda Dira na muelekeo wa CCm ndio sahihi na unatosha kutuvusha Watanzania kuelekea nchi ya...
  19. Zelensky wa Ukraine alia tena, asifu ujasiri wa watu wake

    Kwa mara nyingine Urusi imeendelea kupiga maeneo mbali mbali ya Ukraine ambapo jengo moja la ghorofa 9 limeporomoshwa huko Oblast ya Kherson. Katika hotuba yake ya usiku wa jana raisi Zelensky wa Ukraine amesifu uzalendo wa wananchi wake ambao wameshiriki katika shughuli ya uokoaji wa wahanga...
  20. Njia ipi ni sahihi kufikia uwepo wa Mungu na vipi unaweza kujifunza utukufu wake duniani

    Hivi kwanini bado Africa tupogizani kiasi hiki? 1: Mzungu katuletea dini 2: Mzungu katuletea mavazi 3: Mzungu katuletea utandawazi 4: Mzungu katuletea njia za mawasiliano 5: Mzungu katuletea taharuki mbalimbali na mafunzo juu ya mahusiano 6: Mzungu huyo bado anatumaliza kwa magonjwa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…