wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hizbulah wabomoa kamera za Israel huku washirika wake wakizidi kukasirika

    Israel imezidi kuonesha unyama wake na kibri kilichopitiliza ada kwa kukataa kufungua mpaka wa Rafah ili raia wa nchi rafiki zake waweze kuondoka Gaza. Waziri wa mambo ya nje wa Misri amesema malori mengi ya misaada ya kibinadamu yapo mpakani tayari kuingia Gaza na upande wao uko wazi kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Nini utafanya mke wako akimpa jina la ex wake mtoto wenu?

    Habari wa JF. Hiki kisa ni cha kweli kilitokea huko Ulaya au USA nafikili. Walikuwa mke na mume na mtoto wao wa kiume. Siku moja walitoa kwenda shopping yeye na mkewe. Walipofika wakakutana na rafiki ya mke wake, mke wake akamwambia rafiki yake kuwa nina mtoto wa kiume, rafiki nae akamuuliza...
  3. JamiiForums Tanzania Nitashangaa kumuona mwana Simba SC akipoteza muda wake Kuiangalia Mechi ya Marafiki Wapuuzi na Wanafiki Jumapili wakati imeshakwisha Kitambo tu

    Yaani Timu ina Kiongozi mwana Avic Town Kigamboni FC, ina Kaimu Afisa Habari Mnafiki mwana Avic Town Kigamboni FC na Mtaalam wa Ufundi mwana Avic Town Kigamboni FC halafu kabisa wana Simba SC mnajipa Moyo kuwa itafungwa ili tofauti ya Alama iendelee kuwa Kubwa? Nawashauri msipoteze kabisa muda...
  4. JamiiForums Tanzania Mchimbaji mdogo akiwa na mgodi wake.....

    Mmoja wa wachimbaji wadogo wadogo akiwa kanaswa na Camera yetu kwenye mgodi wake.
  5. JamiiForums Tanzania Misri yaruhusu wageni watumie mpaka wake kuitiroka Palestina, ila imezuia Wapalestina wasithubutu

    Wapalestina wajifie huko wasithubutu kuingia Misri kwa Waarabu wenzao, ila wageni wasio Wapalestina wapite tu shwari. https://www.youtube.com/watch?v=qGBuzavPCf4
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania kuwarejesha nyumbani raia wake waliopo Israel

    Serikali ya Tanzania imetangaza kuwa inapanga kuwarejesha nyumbani raia wake waliopo Israel ili kuwanusuru na athari za Mgogoro unaoendelea baina ya Israel na Palestina.
  7. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Norway kufunga Ubalozi wake nchini Uganda

    Norway imetangaza kufunga ubalozi wake nchini Uganda mwaka ujao kama sehemu ya mageuzi ya kina katika huduma zake za kigeni. Taarifa iliyotolewa na ubalozi huo siku ya Ijumaa ilisema kuwa mabadiliko kadhaa yanaendelea katika uwepo wa kidiplomasia wa nchi hiyo nje ya nchi. "Kuzingatia na...
  8. JamiiForums Tanzania Unapokosea lazima Mungu akuhukumu ili kuleta haki kwa viumbe wake

    Yaani wewe uue wenzako Mungu akuache tu! Yaani wewe uonee wenzako Mungu akuache tu! Kwani wewe ukiwa umejifugia kuku wako huwezi kuwachinja? Kwani kama kuku mmoja ana mdomo wa kula mayai ya kuku wengine, utakuwa unamwacha tu aendelee kusababisha madhara? Mungu ndio hakimu wa viumbe vyake...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar haipewi uhuru wake toka kwa Watanganyika?

    Jambo linalonisikitisha na kunishangaza na kuacha swali juu yangu. Ni kwa nini ZANZIBAR haipewi uhuru wake na kutoka mikononi mwa makucha na ukoloni wa Tanganyika na kuendesha mambo yake kivyake kama nchi huru? NB: Hivi ni kweli Nyerere aliuchukia ukoloni na utumwa au ilikuwa kinyume chake?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe kila mtu anaona raha upande wake

    Nilizani mnaona raha aina moja kumbe kila mtu yupo na muelekeo wake,ila sasa sijui nani zange ni raha zaidi/ wadau dadavueni hadi kufikia kileleni
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia kasafiri hadi na mtoto wake?

    Kweli Magufuli aenziwe Daima, "Nchi hii ilichezewa sana" in Magufuli's mara gafla imeanza kuchezewa. Sasa mama Samia kusafiri na Mawaziri Buku, Waandishi Buku, Wanasiasa buku, wachekeshaji jero na wasanii jero haijatosha kumbe kasafiri hadi na watoto wake. Yani mpaka familia yake inaenda kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa mtu mweusi alivyodanganywa, kudhalilishwa na kubaguliwa kweli bado anahitaji ukristo na uislam au utaahira wake?

    Wamisionari walitupeleleza na kupasisha habari kwa wakoloni waliotutawala na kutupeleka utumwani, Walinyakuwa ardhi yetu kwa kubadilisha na biblia, Walitupora majina yetu. Walitukana mila zetu na kuziita za kishenzi wakati wao ndiyo walioleta kila aina ya ushenzi kuanzia ubaguzi na usenge...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia haiwezi ingilia mgogoro haiwezi kubali uchumi wake na malengo yake yaangushwe

    Saudi Arabia haiwezi ingilia mgogoro haiwezi kubali uchumi wake, majengo na malengo yake ya muda mrefu yaangushwe. Kwa sababu ya kuingilia vita na watu waliokubali magaidi wawe sehemu yao. Week iliyoisha saudia Arabia, Israeli na Palestine walikuwa kwenye makubaliano ya amani.. Lakini kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Hamis Mwinjuma (Mwana FA) hapo zamani aliwahi kutoa ushauri wake kuhusu hali ya Umeme

    Hizi ni tweet za Naibu Waziri wa Michezo, Hamis Mwinjuma enzi hizo kabla ya kuingia kwenye siasa. Aliwahi kutoa mawazo yake kuhusu umeme.
  15. JamiiForums Tanzania TFDA tupieni macho Wilson bakery ya Bunda wanauza mikate iliyokwisha muda wake

    Kwa hili nawaomba mamlaka ya chakula na dawa kwa kushirikiana na serikali kukitupia macho kiwanda cha kuoka mikate kiitwacho Wilson Bakery kilichopo mjini Bunda Kwani kinahatarisha afya za walaji kwa kuwauzia mikate na keki zilizokwisha pita muda wa matumizi. Kwanza vifungashio vyake vingi...
  16. JamiiForums Tanzania Mkandarasi Reli ya SGR asema sababu za Wafanyakazi kutoingiziwa malipo ya NSSF ni kwa kuwa kuna makubaliano maalum

    Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika andiko akilalamikia juu ya Mkandarasi Mkuu anayejenga Reli ya SGR, Yapi Merkezi kutowaingizia wafanyakazi wake malipo ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa zaidi ya miezi 9, ufafanuzi umetolewa na Mkandarasi akisema kuna makubaliano...
  17. JamiiForums Tanzania Usikimbizane na 'mafanikio' maana hautayakamata utabaki tu kuyafuata. Mzunguko wa maisha hurudi mwanzo wake bila mwisho

    Ndivyo ilivyo sayansi ina mtindo wa kuadvansiiiiiiiiiii halafu inarudia vya mwanzo. Teknolojia pia huwa inaboreshwaaaaaa hadi inarudia vya mwanzo mifano; Tunaanza kwa kuwa na dawa za asili, baadaye viwanda vinaboresha vinaextract vinaunda sindano na vidonge. Watu wanahamia za kisasa halafu...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anatumia muda wake ndani na nje ya nchi kuwaza na kushughulikia matatizo ya watanzania

    Mhe. Rais amepanda ndege nje huko akiwa na majalada na documents akiendelea kuteua na kutengua. Ila wapo viongozi ambao wakisafiri na kazi zinisimama hadi arudi. Hii ni salam kwenu. Aidha ,Kuna watu wanaweza wasione juhudi na nguvu kubwa anayowekeza Mhe. Rais katika kufanya majukumu yake. Kuna...
  19. JamiiForums Tanzania RASMI: Belouizdad yamfuta kazi kocha wake Sven Vandernbroeck (Kishingo) aliyekuwa kocha wa zamani wa Simba

    Klabu ya CR Belouizdad ya Algeria Imetangaza Kumfuta Kazi Kocha wake Mkuu Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji Kufuatia Mwenendo Mbaya wa Timu hiyo katika mechi za Ligi kuu ya Algeria (League 1) ambapo Wikiendi hii Timu hiyo ilipoteza mchezo wake wa Ligi wakiwa nyumbani dhidi ya Klabu ya Khenchela...
  20. JamiiForums Tanzania Mbwa wa Biden aondoshwa ikulu kwa kung'ata ovyo mpaka walinzi wake

    Jibwa hili linalojulikana kama Commander ameshang'ata wafanyakazi wa ikulu karibia mara 15 Kabla ya Commander, Biden alikuwa na mbwa mwengine aliyeitwa Champ ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 13. Mkasa uliopelekea commander kuondoshwa ni pale mnamp septemba 25 mnyama huyo aliyemng'ata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…