Neema Kipanya: Masoud Kipanya ana Watoto 15 na Wake 4

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
1687942638907.png
Nina miaka 12 kwenye ndoa na Masoud Kipanya na nina watoto saba, lakini pamoja na wake wenzangu watatu jumla tuna watoto 15" amesema Neema Kipanya, mke wa mtangazaji maarufu wa redio Masoud Kipanya wakati akielezea masuala ya uzazi katika kipindi cha Sasambu cha TBC FM.
 
Hapo na bado anazaa,watafika 50.Malezi mema kwao..Neema kazaa saba.Mara nyingi kwenye uke wenza,wengi mnazaa sana sababu ya wivu tu,kukomeshana n.k
 
Hongera bwana Masoud Kipanya Kwa kututoa Kimasomaso Wanaume.Unastahili Maua.❤️❤️💕💕👩‍❤️‍👩💐🌹🥀🌺🌺🌷🪷🌸🏵️🌼🍁🪻🌿🌲

---
Nina miaka 12 kwenye ndoa na Masoud Kipanya na nina watoto saba, lakini pamoja na wake wenzangu watatu jumla tuna watoto 15" amesema Neema Kipanya, mke wa mtangazaji maarufu wa redio Masoud Kipanya wakati akielezea masuala ya uzazi katika kipindi cha Sasambu cha TBC FM.

My Take
Tuache uvivu wa kuzaa na kuogopa maisha.
 
Back
Top Bottom