wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wakati Marekani ikiitaka China ishiriki kudhulumu mafuta ya Urusi, China imeikebehi Marekani kuhusu uelewa wake kuhusu "Jumuiya ya Kimataifa"

    Wakati Marekani ikiwa katika harakati za kuishirikisha China ikubali kudhulumu mafuta ya Urusi, ikidai kuwa hilo ndilo takwa la "jumuia ya kimataifa", China imeikebehi Marekani kwa kuweka ramani mbili za dunia zinazoonesha jumuiya ya kimataifa: Moja ambayo ndiyo jumuiya halisi ya kimataifa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine imejikuta katika wakati mgumu wa kulazimika kuzikubali ndoa za jinsia moja. Misaada ya mabeberu ni sumu

    Kwa kawaida Ukraine ilikuwa na msimamo kama wa Urusi wa kutokuruhusu ndoa za jinsia moja. Lakini mabeberu wa nchi za magharibi wametumia kipindi hiki ambacho Ukraine inataka kuingia kwenye Umoja wa nchi za Ulaya EU, na iendelee kupata misaada ya kijeshi katika vita yake na Urusi, kuibana ukraine...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kiasi gani kikubwa cha pesa umewahi poteza, au kuokota?

    Fungua huu uzi usome komenti unaweza kumpata aliyeokota pesa yako humu humu Mimi kiasi kikubwa nimewahi okota ni 15,000 na kupoteza ni 10,000
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani ulimpenda Mungu kwa kukiweka kifo?

    Mimi nilimpenda baada ya mtesi wa watu kufa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Material hizi zimepitwa na wakati

    Ni hulka ya binadamu kujaribu kufanya vitu vizuri, watanzia tulio wengi tunajipima na tunapimwa mafanikio kimaisha kupitia ujenzi, ukionekana pesa inapita mikoni mwako lakini huna nyumba inayoonekana ni nzuri utakosolewa sana na kupuuzwa kwa kiwango fulani, katika kuzunguka kwangu tanzania...
  6. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Wakati Turkey ikiwapa "msaada" wa drones 4 Ukraine Iran inatarajiwa kutoa mamia ya drones kwa Russia

    The United States said Monday that it has intelligence indicating Iran may soon supply Russia with hundreds of unmanned aerial vehicles, including “weapons-capable” drones, to use in its war with Ukraine, a move that would underscore the growing cooperation between two American adversaries...
  7. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Yanga iliyoacha rekodi Kampala wakati Onyango akizaliwa Kenya

    Yanga iliyoacha rekodi Kampala wakati Onyango akizaliwa Kenya KAMA utani imetimia miaka 27 tangu vinara wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Yanga ilipoandika rekodi ya aina yake jijini Kampala. Kwa waliosahau ni kwamba Januari, 1993 mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania, iliyosafiri kichovu kwenda...
  8. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Gael Bigirimana wakati yupo Newcastle, Simba ilikuwa na kikosi hiki...

    Haya pimeni wenyewe huyo babu wakati yupo kijana na wenzake vijana walikuwa hawa kikosini Simba...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Wakati Waingereza wakiwafurusha viongozi wabovu, sisi tunashinda na kuwatukuza wa kwetu

    Waingereza wameonyesha umakini wa kulinda na kuimarisha maendeleo na ustawi wa taifa lako. Hawako tayari kukaa na kiongozi mbovu bila kujali itikadi za vyama. Tanzania tumekuwa na utamaduni wa kuwasifia na kuwatukuza viongozi wetu hata wale ambao dhahiri ni wabovu. Sina haja ya kuwataja...
  10. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tanzania trusted in God. Siku nchi ilipomuabudu Mungu wakati wa COVID-19

    TANZANIA TRUSTED IN GOD;SIKU TANZANIA ILIPOMUABUDU MUNGU WAKATI WA COVID 19. Leo 20:15hrs 06/07/2022 Mungu alimwambia Baba yetu Ibrahim,"Hata akiwepo mtu mmoja mcha Mungu katika nchi ya Sodoma na Gomola basi sitaichoma moto" Kwa mtu mmoja na neno lake,Tanzania ilipata neema na rehema mbele za...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Urusi yasema haitokubali kuadhibiwa kwa jinai za vitani wakati US anazo kibao, yaahidi vita ya nyuklia kwa nchi zitazojaribu kuiadhibu Urusi

    Urusi imeonya kuwa jaribio lolote la kutaka kuitumia mahakama ya ICC kuiadhibu Urusi dhidi ya jinai za vitani litakuwa ndio kufutwa kwenye uso wa dunia kwa hizo nchi zitazohusika. Imesema Marekani imeua mamilioni ya watu kibao kwenye nchi nyingi na haijawajibishwa kwa lolote, hivyo Marekani...
  12. Head prefect

    JamiiForums Tanzania Kero ya kusota vituo vya mwendokasi muda mrefu

    Wakuu Salaam. Sijui kama watu wengine wanakerwa na huu utaratibu. Kumekuwa na utaratibu abiria wanakaa sana vituo vya mwendokasi haswa Gerezani, Msimbazi B na Msimbazi A huku mabasi yamepaki Gerezani kule madereva wanapiga hadithi. Ni nini maana ya kuita Rapid Transfer ikiwa abiria anakaa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Wanaume gani watakubali kuingia na wanawake wao kwenye chumba cha kujifungulia?

    Nimemsikia raisi wetu SSH jana akiwa hospital ya CCBRT akisema kuna vyumba ambavyo vitatumika wakati wa mke akiwa kwenye kujifungua mume awe hapo akimtia moyo,akiona shughuli wanawake wanapitia😀😀 ili wapange uzazi,atoe mahitaji na vinavyofanana na hivyo. Mimi sipingi ni jambo zuri lakini tuwe...
  14. ragin

    JamiiForums Tanzania wakati unatumia chombo hiki ulikuwa wapi?

    nakumbuka hii ndo ilikuwaga inanikera kuniamsha tu. wenzangu mlikuwa wapi au darasa la ngapi, ata kazini?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni upi wakati sahihi wa kuwasaidia wazazi wako?

    Wakati sahihi ni sasa maana ukisema unatafuta maisha mazuri kwanza ndo ukawasaidie vizuri ukumbuke time yao inakatika. Hivo utazipata lakini wao hawatafaidi maana watakuwa wameshakwenda kwa muumba hivo ni vema ukaanza sasa hivi hata kama ni kidogo. Wape hakuna wakati mwingine zaidi ya huu wa sasa.
  16. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa nchi za Magharibi na US kubadilika dunia inabadilika

    E bwana nachoamini hizi nchi za magharibi zisipobadilika kibiashara ,kitechnology,na uzalishaji kiukweli hapo mbeleni tutaanza kuona nchi za ASIA zinaibuka kuwa na nguvu sana. Wenzetu wa mangharibi wanauza vitu vyao ghali sana ,alafu utendaji ni ulele ,tena sometimes wanazidiwa kete...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Hofu hii inasababishwa na nini na kwanini haikuwapo wakati wa kupigania uhuru?

    HOFU HII INASABABISHWA NA NINI KWANINI HAIKUWAPO WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA? KUSUPA HAPENDEZEWI NA KUSEMA KUWA CHIEF MKWAWA ALIKUWA MUISLAM ANASEMA: ‘’MOHAMED SAID USICHEZE NA HISTORIA YA WAHEHE, WAPO WANAOIJUA VILIVYO! ETI MKWAWA AJIITE ABDALLAH? HIVI KWELI WEWE UNAMJUA...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Tanesco Morogoro mnakera sana kwa kutowaunganishia wateja wenu umeme kwa wakati

    Mimi ni mteja wenu hapa morogoro. Nilianza kuanza process za kuomba kuunganishiwa umeme toka December mwaka Jana. Mwezi wa Tano nilifanikiwa kulipa huduma ya kupata umeme sehemu inaayohitaji nguzo Moja na nikapewa Muda wa mwezi mmoja Kuwa tayari nitakuwa nimeshafikiwa. Mwezi ukapita, nikaenda...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, walioibiwa na kuporwa Juzi wakati wa Maandamano ya Yanga SC wakashtaki kwa nani?

    Nimehudhuria mara nyingi 'Mapokezi' Makubwa ya Simba SC, ila sijawahi kusikia Watu wakiibiwa kama ya Yanga SC juzi.
Back
Top Bottom