wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Watoto mjini Nantong mkoani Jiangsu China wapata mafunzo yenye furaha shambani wakati wa mapumziko ya majira ya joto

    Agosti 8, 2022 watoto huko Nantong mkoani Jiangsu China walijifunza ujuzi kuhusu kilimo katika uwanja wa mazoezi wa “shamba la furaha” katika kijiji cha Hangqiao mjini Rugao. Kwenye mapumziko hayo ya majira ya joto, shamba hilo lilifunguliwa bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, na...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wakati wanazi wa simba tunasikitika kuanzia chekechea na utopolo embu wafikirie Zamalek jamani

    Tulifanya maombi ya nguvu kuombea njaa Orlando pirates, Etoile du sahel zifeli na against all odds zikafeli mambo yakatarajiwa kwamba simba itaingia kwenye favour ya zile teams 10 kuanzia round ya kwanza Mambo yameenda ndivyo sivyo tuaanzia round ya awali pamoja na waliostahili kuanzia round...
  3. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Ukifika wakati wa kuachana sio lazima mgombane

    Kuna wakati itabidi uachane na mbia wako (Business Partner) wa biashara ambaye mlipanga kufika mbali sana. Kuna wakati itabidi uachane na bosi wako ambaye ndiye alikusaidia kukufundisha kazi hapo mwanzo. Kuna wakati itabidi uachane na mtu uliyekuwa unampenda sana na ulidhani utakuwa naye kwa...
  4. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni wakati sasa wa kumaliza vita hii ya vijana dhidi ya ukuaji wa sayansi na teknolojia

    VITA YA VIJANA DHIDI YA MAENDELEO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA. Chemsha bongo! Je! Umewahi kujiuliza kuwa licha ya maendeleo ya sayansi na teknolojia kusaidia katika kuboresha maisha ya binadamu kiujumla lakini bado yameacha malumbano makubwa dhidi ya vijana mbalimbali? Ukweli ni kwamba vijana...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wote mnaonyanyaswa na Marekani huu ni wakati wenu

    Ziko nchi ambazo haziridhishwi na sera za Marekani na Magharibi kuhusu mataifa Yao. Tanzania inasema ni nchi ya kijamaa huu ndio wakati wake wa kuonyesha kuunga mkono wajamaa wenzake kokote waliko kwa vitendo. Mataifa kama China, Korea, Iran, Syria, Zimbabwe, Venezuela, Argentina, South Africa...
  6. Tanzania wani

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nakushangaa unaiomba Serikali wakati ni kazi yao

    Serikali wajibu wake ni kujenga na kuboresha barabara zote nchini na hili jambo si la siasa ni la kiuwajibikaji!! Eneo hili sijapenda! Awamu ya 5 inaalama 86% awamu zengine 13.2% Serikali wajibu wake ni kuhakikisha maji safi na salama popote nchi penye kijiji mpk jijini pana 99%ya maji safi na...
  7. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika jamii kuunga mkono juhudi za Serikali

    Licha ya kejeli na dhihaka alizofanyiwa Rais Samia Suluhu Hassan, na wapinga maendeleo wa nchini juu ya utekelezaji miradi mbali mbali ikiwemo ya Uviko-19 lakini bado hakurudi nyuma kuleta mabadiliko. Aliweka pamba masikio na kusonga mbele juu ya kusimamia miradi mikubwa ya uwekezaji pamoja na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Askari wa barabarani wakati mwingine wanatuokoa na foleni

    Askari wa barabarani tusiwabeze sana pamoja na mapungufu madogo madogo ambayo wetu wengi tunayo huku maofisini. Askari wanatuokoa sana foleni za Dar. Hebu imagine askari waondoke barabarani si balaa hasa hasa Dar Mwanza na Arusha. Madereva wengi nao kichomiiiii
  9. C

    JamiiForums Tanzania Jaji Makambara: Hakuna Sheria mbovu, kuna Sheria zilizopitwa na wakati

    Maneno haya yalizungumzwa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria akizungumzia hayo katika Mkutano wa Miaka 30 ya Demokrasia ya Vyama Vingi. Mkutano uliohudhuriwa na baadhi ya viongozi wa serikali na vyama vya kisiasa kama vile ACT, Chadema na wengine lakini Chama Tawala kilitoa Udhuru kutokana na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Changzhou: Watalii wafanya manunuzi kwenye mtaa wa kibiashara wakati wa usiku

    Julai 31, huko mjini Changzhou mkoani Jiangsu, China, wakazi na watalii walikuwa wakifanya manunuzi kwenye maduka mbalimbali katika mtaa wa kibiashara wa Hanjianglu uliopambwa kwa taa za rangi wakati wa usiku.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Baada ya kutenguliwa Ukuu wa Mkoa, Kafulila amshukuru Rais Samia kwa kumpa nafasi ya kulitumikia Taifa

    Kafulila amshukuru Rais Samia, awaaga wananchi wa Simiyu Siku moja baada ya kuachwa katika mabadiliko ya wakuu wa mikoa, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, David Kafulila amemshukuru Rais Samia Suluhu kwa kumpa nafasi ya kulitumikia taifa. Siku moja baada ya kuachwa katika mabadiliko ya...
  12. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Kutokwa na shahawa wakati wa kujisaidia haja kubwa

    Ikiwa mbegu za uzazi zitatoka kwenye uume wakati wa kujisaidia haja kubwa, inamaanisha kuna udhaifu kwenye tezi ya kiume "prostate''. Hii ni kwasababu ukanda wa pembeni wa tezi dume (peripheral zone of prostate)' uko karibu na sehemu ya puru ya haja kubwa, kwa hivyo unaposukuma kwa nguvu wakati...
  13. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Mtu kuwa Vice Chancellor wa Vyuo Vikuu 2 kwa wakati mmoja ni Tanzania pekee au na kwingine ipo?

    Bila kuchoshana,someni wenyewe👇 ''Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Dk Stergomena Tax amemteua Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Profesa Lughano Kusiluka kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma.''
  14. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania China itapata wakati mgumu sana kwa Taiwan kuliko Russia kwa Ukraine

    China kwanza wamechelewa sana kuivamia Taiwan ,wamezembea hadi US kajenga base yake pale,US ana marine combat's zaid ya 20,000 ,ndege za kivita zaid ya 200 ,manowari ,pia ana base nyingine kisiwa cha japani ambacho ni karibu sana na Taiwan ,yani kiufupi Taiwani wamejiweka sawa. Changamoto...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Huu Mgogoro na mzee unanipa wakati mgumu sana, Naombeni nanyi Mnishauri kama mmewahi kutana na changamoto kama hizi maishani

    Nadhani na umri nao umekuwa changamoto kwa mzee maana maamuzi yake yamekuwa kwa sasa hata hayaeleweki vizuri. Tumeingia mgogoro kwa jambo dogo sana. Lilianzia kwenye birthday yangu mwaka huu. Alitaka ninunulia gari ambalo kiuhalisia mimi niliona ningekuwa najichoresha sana. Lingekuwa gari pekee...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakati tukidanganywa kuwa Maambukizi ya 'VVU' yamepungua nchini, UN yasema sasa Maambukizi ya VVU ni Makubwa mno duniani

    Umoja wa Mataifa (UN) imesema kuwa kuna Ongezeko Kubwa sana na la Kutisha la Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (Dally Kimoko) duniani kuliko awali huku Waathirika Wakubwa wakiwa ni Wasichana na Wanawake. Taarifa: BBC Swahili Mwaka jana zaidi ya mara Mbili hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE...
  17. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Nipo katika wakati mgumu sana. Nimejaribu namna nyingi bado sijapatiwa Ufumbuzi

    Jumamosi nlikuwa na wife tunaenda Bagamoyo kutembea. Tukiwa njiani nilijikuta namsimulia wife habari ya mchepuko wangu ambaye kwa kweli ananisumbua sana kichwa. Amenichanganya sana. Tulikuwa tunazungumza tu mambo ya maisha na wanawake nikamwambia wanawake wa siku hizi pesa mbele. Hawana hata...
  18. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Serikali iache kutumia walimu kwenye zoezi la Uchaguzi Mkuu

    Ni wakati muafaka Sasa walimu waachwe wapumzike na mazoezi haya kama ilivyo kwenye sensa, post code na mazoezi mengine ya kitaifa serikali itumie Hawa vijana wasio na ajira ili kuinua vipato vyao. Tuache kuwatumia walimu kwenye uchaguzi Tutumie Hawa vijana wasio na ajira. Mwisho.
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Faida na athari za Mwanaume kuwepo katika chumba wakati mwenza wake akijifungua

    Hivi karibuni Rais Samia Suluhu Hassan alizungumzia kuhusu mpango wa Wanaume kuruhusiwa kuingia katika vyumba vya kujifungulia wakati wenza wao wanapokuwa katika mchakato wa kujifungua. Kuna mambo ambayo yanaweza kutajwa kuwa ni faida au hasara za suala hilo kama ambavyo inafafanuliwa na...
  20. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Kenyatta kupewa semina kabla ya kukutana na mama.

    Huwezi kukutana na mama Samia,rais wa nchi, Amiri jeshi mkuu, mkuu wa nchi na serlikali halafu unajiaachia tu ,unakaa Kama unasubiri githeri maeneo ya Kayore. Ebu angalia utulivu wa mama halafu linganisha na ule wa Uhuru Uhuru next time jitahidi brother.
Back
Top Bottom