wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukiona daktari wakati wa kukutibu anababaika babaika na anatumia google, mheshimu sana

    Ukiona unaenda kwenye matibabu na daktari anakuwa kama hajiamini hivi, anababaika-babaika katika kutafuta ugonjwa wako, na hata anatumia google jua kuwa upo kwenye mikono salama. Magonjwa ni mapana sana na yanaingiliana sana dalili. Ukiona Daktari anakudiagnose fastafasta jua kuwa hafahamu...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania tunapenda kulalamika sana wakati ni waoga wa kupindukia kuingia barabarani

    Imagine Lissu alipigwa lisasi tena 32 na Mungu akamkingia kifua yule mwovu akaaibika akafa yeye lakini hakuna mtanzania hata mmoja ambaye alionesha kukerwa na jambo lilo kwa angalau kuonesha demonstration barabarani au kulaani tu. Eti Leo Lissu anapambana na maisha yake wanashangaa kwamba...
  3. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa tunanunua simu na laptop zenye uwezo mkubwa na pesa kubwa wakati matumizi yake ni madogo

    Ili jambo watanzania tunajikuta tunapoteza sana pesa kwa kununua kitu chenye uwezo mkubwa kuliko matumizi.yani mtu ana nunua laptop yenye uwezo wakufanya kazi za production,game na injinia alafu yeye anaenda kutumia kwa ajili ya kuandikia barua na kazi za ofisi. Tuje kwenye simu huku ndio...
  4. JamiiForums Tanzania Nguruwe hafugiki jangwani iweje mseme haramu wakati ngamia kwetu hafugiki sehemu zisizo na jangwa

    Tukiseme dini tumletewa ila kuna watu watakimbilia sijui kimeshushwa sijui kimeleta sayansi wataki hiko kitabu kimekuta sayansi teyari na mapiramidi yashajengwa. Jambo lilonileta hapa kila mnyama aliyepo duniani anaishi kulingana na eneo la kijografia alipotoka tokea dunia kuanza ndio maana...
  5. JamiiForums Tanzania Haya maneno bado yapo vyuoni? Wazee wa Madesa, Simbi, Vizenga, Missile, Bombshell. Simulizi waliokamatwa au kushuhudia matukio wakati wa UE

    Hello lads and ladies. Legends! Tupitie flashbacks zetu tukiwa campus notes zina majina yake, vikaratasi vya kuibia majibu kwenye Tests na UE na majina yake. Wakali wa vizenga, dessa, simbi kwenye soksi , chooni, network collabo za chooni, signal kama zote. Wale ambao hawakuwahi kutumia desa...
  6. JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa kukubali lugha za Taifa ni mbili, Kiswahili na Kiingereza

    Sijui tunakwama wapi. Ila deep inside Kiswahili ni lugha dhaifu sana yaani sio stable hata hivyo sio romantic hata kibiashara ni weak sana. Hata ukitongoza demu kwa Kiswahili na jamaa mwingine akatongoza kwa English; yule wa Kiswahili ni likely kupigwa chini mara elfu zaidi na kukubaliwa wa...
  7. JamiiForums Tanzania Usukani ku vibrate wakati wa kufunga brke

    Habarini wandugu, Gari yangu ina tatizo niki apply brake basi usukani una vibrate sana na vimilio vya swiswiswiswi, vibration hii naihisi pia hadi kwenye mguu pale ninapokanyaga brake pad. Tatizo huenda likawa nini?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya kichina “The Knockout” yajizolea umaarufu mkubwa wakati China ikiendelea na vita dhidi ya ufisadi bila kusita

    Siku hizi, tamthilia ya kichina “The Knockout” inayosimulia vita kati ya uovu na uadilifu imendelea kupata umaarufu mkubwa, na hadi sasa idadi ya watazamaji wa tamthilia hiyo katika China bara pekee imezidi milioni 320. Utayarishaji bora na ustadi mkubwa wa waigizaji ndio sababu zinazofanya...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mliokuwepo wakati 'bana ba cameroon' inatoka naomba uzoefu wenu!

    Ndo hivyo! Sijazaliwa kipindi hicho, lakini haki ya nani huu wimbo huwa sichoki kuusikiliza. Waheshimiwa mliokuwepo kipindi unatoka naomba mnipatie picha tu la vibe Lake lilikuaje maana hiki kibao si cha mchezomchezo!
  10. JamiiForums Tanzania Hakikisha unafanya kwa ukubwa Biashara yako wakati unaanza

    Hakuna jambo gumu katika biashara kama mwanzo, biashara nyingi hufa mwanzoni si kwasababu hamna wateja ila ni kutokana na ufinyu wa mtaji na na kwa wenye mitaji kutojua nini cha kuuza na kipi kianze kipi kifate. Leo nataka nimsaidie mawazo mtu mwenye mtaji anaetaka kuanza kufanya biashara ila...
  11. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mtu akasoma degree au diploma mbili tofauti (course) kwa wakati mmoja au tofauti?

    Habari, wana JF ninaomba kupata ufahamu wa kuhusu elimu ya vyuo tanzania kuanzia vyuo vya kati na vyuo vikuu. Je, inawezekana mtu akasoma degree au diploma mbili tofauti (course) kwa wakati mmoja au tofauti. Kwa mfumo rasmi kabisa wa TCU au NACTE Mfano. Mr Frank anasoma degree ya sheria UDSM...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Ilitokeaje mpaka makanisa yanaruhusu unywaji pombe wakati inaleta majaribu ya kutenda dhambi zaidi na kukusogeza karibu na ulevi?

    Habari zenu ndugu zangu, naombeni ufafanuzi Mungu alishakataza pombe agano la kale na hata Yesu katika ile sala ya baba yetu ulie mbinguni kuna sehemu ya kuomba tuepushwe na majaribu ili tuepuke uovu. Sasa inakuwaje tena kwamba hii pombe inabidi tuwe wanywaji na sio walevi? Pombe ni dawa ya...
  13. JamiiForums Tanzania Watu sahihi kwenye mapenzi nao wana akili wakati wa kuja wana kuja na wakati wa kuondoka ukifika wanaondoka pia

    Salaam JF Maisha ni raha sana kwenye mapenzi kuna watu wanakuja ili kuwa na wewe, na pia kuna watu wanakuja ili wawe na wewe maisha mwako na kuyajenga maisha na wewe. Na kuna wenye vybez wanaopita kama mwewe. Uhuru ni wako na Akili ni yako pia. Chagua wewe wakati hausubiri ila akili pungufu...
  14. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Afariki dunia wakati akiombewa Kanisani

    Polisi nchini Uganda wanachunguza tukio la mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 59, Rosette Najuma ambaye ameaga dunia siku ya Jumatano Februari 8 wakati akifanyiwa maombiKanisa la Christian Life lililopo Makerere. Kwa mujibu wa Msemaji Msaidizi wa Polisi wa Kampala, Luke Owoyesigyire amesema...
  15. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Nape Nnauye kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa

    Rais wa nchi anayetokana na CCM kuwa mwenyekiti wa CCM Taifa ni utamaduni tu ndani ya CCM na wala si takwa la kikatiba la chama hicho. Kwa sasa Mwenyekiti wa CCM ni Samia Suluhu Hassan kutokana na mwana CCM huyo kuwa Rais wa Tanzania. Lakini kabla ya kuwa Rais, Samia alikuwa ni mjumbe tu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Nguo alizovaa Lissu wakati anapigwa Risasi kukabidhiwa kwa wazee

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atapokewa kwa mila za kabila la Kinyaturu kwa nguo zake alizopigwa nazo risasi kutolewa rasmi, kufuliwa na kupewa wazee kwa ajili ya kuzivaa. Lissu alikuwa mbunge wa Singida Mashariki tangu mwaka 2010, alivuliwa ubunge Juni 28, 2019 akiwa kwenye...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Waziri Bashe kuhusu serikali kununua mazao wakati wa mavuno na kuyauza baadaye, tumemjua anayetuuzia maharagwe 3,800 kwa kilo

    Mawaziri wa CCM leo kwenye sherehe za CCM Morogoro mbele ya Karibu Mkuu wakijibu kero kwa wananchi wamedhihirisha kuwa maamuzi mabovu ya serikali yao ni chanzo cha matatizo Kwa Watanzania. Ona mifano hii. Waziri wa kilimo anasema serikali ya Mhe. Samia Ina nunua mazao ya wakulima wakati wa...
  18. JamiiForums Tanzania Bikira Maria aonekana live kanisani wakati ibada ikiendelea

    Tukio hili limetokea huko nchini Kenya wakati waumini wakiendekea na ibada mara ghafla tu bikira maria akawatokea. NB: Mpaka uwe na macho ya rohoni sana ndio unaweza kumuona 🤩🤩
  19. JamiiForums Tanzania Al Shabaab wapigwa mabomu wakati yanajiandaa kwenda kulipukia watu

    Wananchi wema walitonya uongozi kuhusu magaidi wa Al Shabaab yaliyokua yanajiandaa kwenda kulipukia watu, ghafla yakashushiwa mabomu na kuwahishwa mbele za haki. ===================== A suspected US airstrike destroyed a would-be suicide car bomb in central Somalia on Friday, an official said...
  20. JamiiForums Tanzania Kumbembeleza mwanamke wakati wa kumtongoza ni kujidhalilisha uanaume wako

    Wasalaam Zingatia mada, upendo na kumpenda mwanamke ni mgao wa baraka sio utumwa japo ni hiari isiyo hiari, siwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja yaani nivutiwe nae kwa hali chanya halafu nipate mrejesho hasi, kisha nijishushe nibembeleze, hio hapana. Namsujudu Mungu sio mbususu wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…