Winga dalali
Senior Member
- Jul 20, 2021
- 192
- 263
Habari, wana JF ninaomba kupata ufahamu wa kuhusu elimu ya vyuo tanzania kuanzia vyuo vya kati na vyuo vikuu.
Je, inawezekana mtu akasoma degree au diploma mbili tofauti (course) kwa wakati mmoja au tofauti. Kwa mfumo rasmi kabisa wa TCU au NACTE
Mfano. Mr Frank anasoma degree ya sheria UDSM akamaliza akaaply degree ya HR TIA?
Pia je anaweza akasoma maybe degree ya engineering DIT na diploma ya uhasibu CBE at the same time?