wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Yapi ya kufanya na kutofanya wakati mnajadili malipo ya mshahara

    Mambo ya kufanya wakati Mnajadili kuhusu Mshahara na Mwajiri wako Mosi, fanya utafiti kujua je Kwa nafasi uliyoomba wanalipa level ya Mshahara kiasi gani? Hii itakuwezesha kushawishi ulipwe shilingi ngapi kutokana na taarifa ambayo unayo tayar. Pili, Ni Jambo jema kushukuru ofa ya Mshahara...
  2. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Miaka ya 30 ya vyama vingi, Ondoeni ruzuku tufanye mambo ya maana

    Katika kipindi cha miaka 30 ya vyama vingi, tumetumia mabilioni ya pesa za walipa kodi ili kusaidia vyama ambavyo vingine haviko tena mitaani. Vingine vipo kama maboya tu ya kupitishia ajenda za watawala. Kwa umri huu vyamna hivi vinatakiwa vijisimamie. Ni aibu kuendelea kuwa na wacheza siasa...
  3. Execute

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya redio kwa ajili ya habari na burudani yameshapitwa na wakati

    Mwishoni mwa miaka ya 1930s ndio redio zilianza kutumika na ilikuwa teknolojia maarufu sana wakati huo. Wanasiasa kama Hitler na wengineo wakaitumia kueneza propaganda. Kwa sasa redio hazina jipya, zimeshapoteza wafuasi. Hakuna mtu atakayefanya uwekezaji mpya kwasababu taarifa na burudani...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Wakati tunaingia 2023 Watanzania wenzangu tuzidi kujipa moyo Mungu yupo

    Heri ya mwaka mpya 2023. Ndugu zangu watanzania tuzidi kujipa moyo Mungu yupo kutufuta machozi ktk kila nyakati. Tupunguze manung'uniko na lawama ili Mungu afanye kazi yake. Hakuna chama wala mtu anaweza sema yeye ndio mwenye hati miliki ya hili Taifa ila kila mtu ana haki sawa ya utanzania...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka mitatu aliwa na fisi Mwanza wakati akienda kuoga kwenye dimbwi

    Mtoto Emanuel Marco Nyagela mwenye umri wa miaka mitatu mkazi wa Kijiji cha Mwangika kata ya Mwabomba wilayani Kwimba mkoani Mwanza amefariki dunia baada ya kuliwa na fisi wakati akienda kuoga kwenye dimbwi akiwa na wenzake. Tukio hilo jana Desemba 27 saa 12 jioni kijijini hapo baada ya mtoto...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini waonya tabia ya Viongozi wa Serikali kupenda kusifiwa

    Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo wametoa ujumbe wa Krismasi kwa waumini wao, ukiwemo unaowataka viongozi wa Serikali kuwa makini na sifa wanazopewa na wateule wao kwa kuwa ni mbinu ya kuficha udhaifu. Vilevile, wamewataka viongozi pamoja na watendaji watumie sikukuu hiyo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ni Wakati wa Serikali kuacha Ubaguzi wa Sisi Wakazi wa Oysterbay. Nimekasirishwa sana na hili jambo

    Nimekuwa nikitumiwa jumbe na wananchi walioko Tanzania mi nikiwa huku Argentina ( bado jamaa wanasherehekea kuchukua kombe la Dunia So nikaona nikae kwenye moja ya nyumba ambazo mzee alijenga huku. Hii nyumba inafanana sana na Ikulu ya Dom leo ndo nimegundua) Juzi wakati Mlinzi wangu...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huu ndio wakati rasmi wa kuongea ukweli kuhusu Fiesal

    Nianze kwa kutoa lawama zangu KWA uongozi wa Yanga kwa sababu nimesikia eti Feisal amejiunga na kambi ya Yanga. Ni kwamba mashabiki wa Yanga hatumtaki Feisal. Tumeshakubali kwamba ameondoka. Hatumuhitaji please. Msije kushangaa akizomewa.. Na kwa wewe unaesema msimponde Fei kutaka kuondoka...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Feit toto asipangwe mechi yoyote kwa sasa hata akiwa tayari kucheza wakati swala lake linashughulikiwa

    Huu ndio ushauri wangu kwa kocha na uongozi mzima wa Yanga. Yanga mtakeni Fei na Azam wafuate taratibu kisha mumuruhusu aende zake huyu hawezi tena kuitumikia club ya Yanga kwa moyo kwani hata mkimuongeza mshahara, kesho anaweza kushawishiwa kwa mshahara mkubwa zaidi hivyo atawasumbua tu...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nyakati za sikukuu ni wakati ambao wanaume wawe makini

    Kwenye hizi nyakati za sikuu kuu watu huwa wanachakatiwa mbususu mno,walahi ukiomba mbususu ya mke wa mtu wakati huu na ukinyimwa nenda ukaoge baharini, kwenye kipindi Kama hiki mwanamume Kama huna fungu la kutosha jiandae kisaikolojia. Kuna Mambo Kama manne hivi huwa yanashughulisha sana...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Miradi inakamilika kwa wakati, mnyonge myongeni haki yake mpeni

    Jana Tanzania tuliandika Historia kwa ufunguzi wa bwawa la Nyerere (JNHPP) kuanza hatua ya kwanza ya ujazaji maji hii ni hatua kubwa kwa taifa letu na kitu kingine nilichogundua ni kwamba Rais Samia Suluhu aliahidi atamaliza miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake amemaliza miradi mingi...
  12. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Muungano unatutafuna! Iweje bara Umeme uwe shilingi 350 kwa unit wakati Zanzibar ni shilingi 130?

    Yaani Zanzibar wauziwe unit moja ya umeme kwa tsh.130 kama alivyoeleza Waziri wa Nishati na Madini Zanziber wakati sisi huku bara tunauziwa shilingi 350 na senti kadhaa. Na wale wataosema Zanzibar ni wanyonyaji wanakosea, Tukumbuke kwamba Bara ndio inang'ang'ania sana huu muungano matokeo yake...
  13. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Mwijaku: Ni wakati sahihi kwa Nandy kuanza kupeleka matumizi ya mtoto kwa Mobetto

    Mwijaku amedai ni aibu kubwa kwa msanii mkubwa Kama Nandy na mumewe kuendelea kusaidiwa kutunziwa Mtoto na msanii mwenzake Diamond. Mwijaku amemtaka Nandy akamshukuru ndg Diamond kwa kipindi chote alichomsaidia na malezi ,Kisha yeye kuendelea kutuma hela ya matumizi kwa Mobetto mpaka Mtoto...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Je, kusimama wima wakati wa kushusha na kupandisha bendera ni ibada ya sanamu?

    Eti wakuu, kulingana na mafundisho ya dini, kusimama wima wakati wa kushusha na kupandisha bendera ni ibada ya sanamu?
  15. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Wakati fulani watu hufa mara mbili

    Inatokea mfumo unaamua huyu mtu anapaswa aonekane amefariki. Mara nyingi huwa ni kwa ajali au kulazwa kwa muda flani n.k but mazishi ya huyu mtu hupotezwa kwa namna flani. Inawezekana sura yake isioneshwe au anaweza uawa kwa ajali na kuchomwa moto akapotezwa kabisa. Ilhali kiuhalisia anakuwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati wa Makamu wa Rais Mpango kuacha unyonge na kusimamia mikopo ya nchi?

    VP Mpango tuna kuhitaji kusimama na kumsaidia Raisi kwenye masuala ya mikopo ya nchi na wizara ya fedha badala ya kukaa kinyonge nyonge kila siku. Hauja chaguliwa kwasababu ya upole pekee lakini ni kwasababu ya uwezo wako mkubwa kwenye miradi na kujua fedha sasa hata kwenye miradi na mikutano...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mama na Mke Nani anapaswa kukaa Siti ya mbele wakati unaendesha Gari?

    KATI YA MAMA NA MKE NANI ANAPASWA KUKAA SITI YA MBELE WAKATI UNAENDESHA GARI? Anaandika, Robert Heriel Rafiki yangu Hosea amenipigia simu akaniuliza hivi; Kati ya Mama yake na MKE wake Nani anastahili kukaa SITI ya MBELE ya GARI wakati yeye(Hosea) anaendesha Gari? Nikaona niilete mada Hii...
  18. Gama

    JamiiForums Tanzania Wakati Zambia wakimlilia Kijana wao Nyirenda aliyefia vitani Ukraine; mzaliwa wa Rwanda aachiwa na majeshi ya Urusi

    Mzaliwa wa Rwanda Suedi Murekezi ambaye inasemekeana kuwa ni - US airforce veteran alikamatwa na majeshi ya urusi katika mwezi June akiwa nchini Ukraine ni mmoja kati ya askari 64 wa Ukraine walioachiwa na majeshi ya Urusi kupitia SWAP ya mateka wa kivita wa pande zote mbili. ===============...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wakati viongozi wa CHADEMA wakiwashawishi vijana waandamane, watoto wao wamewapeleka Marekani kuponda raha

    Akili mu kichwa, viongozi wa CHADEMA, Sasa ni dhahiri, watoto wao wote wamewapeleka kuishi ughaibuni na kuwachukulia uraia wa huko. Baada ya kuwapa makazi huko, wanarudi Tanzania na kuanza kuhamasisha watoto wetu waandamane ili wapigwe risasi.Tumewalea watoto hawa kwa gharama kubwa, lakini...
  20. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

    Kwasababu zangu binafsi ambazo sitapenda niziseme (but very reasonable) hua siui kiumbe yoyote aliye hai tofauti na mbu. Kiukweli siwapendi na nawaogopa sana nyoka ila hata wao imekua ikiniwea vigumu kuwaua hivyo pindi napokutana nao hua naishia kuwafukuza au kuwapotezea kama wameenda eneo...
Back
Top Bottom