wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali itatue changamoto zilizojitokeza wakati wa uuzaji wa Mbolea ya Ruzuku

    Wananchi Wengi wa mkoa wa Ruvuma wampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mbolea ya ruzuku ambayo imewawezesha wakulima wengi kununua na kuongeza uzalishaji kwenye mazao yao, kwa bei ya Elfu 50,000 hadi 70,000 kwa mfuko wa Kilo 50. Mbolea ya Ruzuku imewasaidia wakulima kuondokana na...
  2. JamiiForums Tanzania Nilisema wakati unakuja kila kitu kitaanikwa hadharani

    Wacha inyeshe tuone panapovuja! Truly kama Taifa tulipita kwenye kipindi kigumu mnoo!! NB; kusema ukweli sio dhambi ingawa wanadamu hawataki kusikia ukweli! == "Ninachokiona kuna uwezekano wa Rais Samia Suluhu Hassan kupita bila kupingwa kwenye uchaguzi kwa jinsi mambo yanavyokwenda. Kwa halali...
  3. JamiiForums Tanzania Zumaridi yuko sahihi kujiita mfalme wakati ni mwanamke

    Bila kujali kama anajua au hajui, katika ufalme wa Mungu hakuna Malkia au princess. Kuna mfalme wa wafalme = Yesu na wafalme= Sisi wafuasi wake bila kujali jinsia. Ufunuo wa Yohana 5:10 ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi.
  4. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kuacha na mashaka juu ya Kennedy Musonda, He has already proven beyond doubt

    Ukiacha mukimbio ambayo tulimbeza nayo jamaa ana kasi ya kufika kwenye njia na kama si kuwa kwenye kivuli cha Fiston, mzambia ana MAMBO MENGI YA KUoFFER KWA WANANCHI. Anapenda kuassist (si mchoyo) lakini anaweza kutumika maeneo yote mbele yaani winga zote , mshambuliaji wa mwisho au...
  5. JamiiForums Tanzania Imefika wakati serikali iangalie mishahara ya watumishi wa "Local government" maana hali zao za mishahara ni ngumu na mbovu sana

    Salaam ndugu Wana JF, Naambiwa "Mama" yetu Rais wetu huwa anasoma humu JF. Kwa heshima na taadhima naomba asome na hii. Twende kwenye hoja.. Leo hii Kuna jamaa yangu kutoka halmashauri ya jirani kapata uhamisho kutoka halmashuri yake kwenda chuo cha Mandela (Arusha) yaani kwa huo mshahara...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia wakati ukisheherekea Miaka yako Miwili hiki ndicho anachokisema Mwamposa Kanisani Kwake sasa...

    "Hayati Dk. Magufuli ndiyo Rais pekee aliyefanya Kazi za Baraka zaidi na Watanzania tutamkumbuka na tunamkumbuka hadi sasa" amesema Mtume Wao ( siyo wangu ) Mwamposa Ibadani Kwake leo. Haya Rais Samia Kazi Kwako kwa Mtu ambaye umeshammilikisha eneo la Tanganyika Packers aendelee na Huduma yake...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba baadae awe mke

    Habari za wakati huu, Nahitaji mchumba miaka 23-27, awe mweusi, dini yoyote. Umri wangu ni miaka 22, mwanafunzi wa Degree.
  8. JamiiForums Tanzania Magomeni Kota - TBA fungulieni njia mbadala wakati huu wa ujenzi wa barabara

    Ni hivi, barabara zote za kuelekea barabara ya Morogoro zina marundo ya vifusi. Geti pekee kwa wakazi wenye magari la kuingia Magomeni Kota ni lile lililo mkabala na Turiani Sekondari. Kwa maelekezo ya TBA na walinzi wake, geti hilo sharti lifungwe saa 6 usiku. Hawa ni watu na siyo mifugo wa...
  9. JamiiForums Tanzania Barcelona ya Mwaka 2009 - 2011 ndio timu bora ya wakati wote kwa upande wangu

    Barcelona iliyoundwa na Valdes golini. Mabeki kama Dani Alves, Puyol, Mascherano na Eric Abidal. Viungo walikuwepo Sergio Busquets, Xavi na Mtaalam Iniesta. Safu ya ushambuliaji ikiongozwa na Leo Messi, David Villa na Thiery Henry. Pia benchi unawakuta akina Pique, Keita, Pedro, Bojan, na...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Auawa wakati akiamulia ugomvi wa wanandoa

    Kenya. Jumatatu ya Machi 13, majira ya jioni ni siku ambayo Dan Ouma aliaga dunia baada ya kuamua kuingilia ugomvi kwa kusudi la kuwatenganisha wa wanandoa ambao mume alikuwa akipigwa na mke wake, tovuti ya Tuko imeripoti tukio hilo. Matokeo yake Ouma mwenye umri wa miaka 24, alipigwa na kitu...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini biashara ya Figo inapigwa vita wakati wahitaji wa Figo ni wengi? Figo sio damu watu hawawezi kujitolea bure

    Hali yetu ya uchumi ni mbaya na ndio maana watu wetu wako tayari kufanyiwa lolote ili TU labda wajisogeze kidogo. Hata kama ni kwa kuhatarisha maisha Yao !! Kwanini wasiruhusiwe iwe na utaratibu maalumu namna na jinsi ya kujitolea. Figo ni kiungo ambacho wagonjwa wengi wanateseka kama Kuna...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wanachadema wote waliosimama na wananchi wakati wa JPM majimbo Yao yanawasubiri warejeshewe Ubunge wao. Wana CCM waliobweteka mtaa unawasubiri

    Kusimamia Haki kunalipa, kusimama na wanaoonewa kunalipa na siku zote wananchi awafundishwi kuchagua jema na baya Bali wanalazimishwa kuchagua wasichokitaka. Majimbo mengi ambayo wagombea Ubunge WA pande zote walisimama na wananchi hakuna changamoto ya wagombea hao kushawishi Sana wapiga...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Waliodai vyama vya upinzani kushirikiana na Magufuli ni uzalendo, wakati wa Magufuli, sasa wanalalamika Chadema haikosoi Serikali

    Wale wafuasi wa Magufuli leo hii wanalalamika kwamba Chadema haikosoi tena Serikali, imenunuliwa Lakini watu hawa hawa ndio waliokuwa wakisoma vyama vya upinzani havina umuhimu, inabidi viuawe kwa nguvu kwa kutumia mbinu za kuteka kufunga na kuua viongozi wake Hawa watu wana matatizo ya akili?
  14. JamiiForums Tanzania Si niliwaambia msioe! Kwanini mnaoa wakati Kuna kudhulumiwa humo?

    Introduction:- Hoya niaje wanaume wenzangu.. Kama nilivyoandika kwenye heading ""Kwanini mnaoa wakati Kuna kudhulumiwa humo?"" Scenario. Nazungumza na wewe baharia mwenzangu 1. Upo Halmashauri unakomaa na mishale ya DED/TED/MED wako bila kusahau mijeledi ya madiwani wako, yaani unajichanga...
  15. JamiiForums Tanzania Upi Wakati Sahihi Wa Kufanya Mazoezi, Asubuhi Au Jioni?

    Kwenye makala yetu ya leo tunaenda kujifunza na kujibu swali amabalo watu wengi hujiuliza upi ni wakati sahihi wa kufanya mazoezi kati ya asubuhi na jioni. Mara nyingi swali hili humjia mtu pindi anapoamua kuanza kufanya mazoezi ya mwili, sasa anakuwa anashindwa kuchagua wakati gani awe anafanya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya Mock isitungwe kiholela wakati syllabus haijaisha

    TAHOSA ni chama cha walimu wakuu wa shule hasa za Sekondari. Moja ya kazi zao ni kutunga mitihani ya majaribio kwa wanafunzi, yaani hii mitihani inayoitwa “Mock Examinations” au kwa kifupi kilichozoeleka “mock”. Shida yangu ninayowaeleza watanzania hasa sisi ambao ni wazazi wa wanafunzi ni...
  17. JamiiForums Tanzania Tunaamini katika kujiajiri lakini wakati huohuo tunawadharau wanaojiajiri

    Kutokana na uhaba wa ajira katika Zama hizi kumepelekea watu kuona umuhimu wa kujiajiri ili walau Maisha yaweze kusonga mbele, kwasababu uhitaji WA ajira ni mkubwa na nafasi zilizopo ni chache mno kuweza kukidhi mahitaji. Kwahiyo namna pekee ya kutatua changamoto hii ni kutafuta njia mbadala...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi sasa wa kutumia majina ya Vladimir na Sergei

    Ndiyo, sisi waafrika wenyewe si tumegoma kutumia majina yetu ya asili na kuyakumbatia majina fulani hivi enzi na enzi na sasa waliotukabidhi hayo majina sasa wanatuletea ushoga milangoni mwetu.........it gets nearer siku baada ya siku. Kutokana na hilo, nafikiria ni wakati sasa wa kutumia...
  19. JamiiForums Tanzania Walimu wa Meru DC watakiwa kujitokeza Jumapili saa 1:00 asubuhi Usa-river wakati Rais Samia atakapokuwa anapita eneo hilo

    Hii kada ni ya wanyonge na wananyongwa kweli. Mke wangu ametumiwa meseji na mratibu wao kuwa yeye (mwalimu mkuu) pamoja na walimu wake wafike bila kukosa eneo la usa-river jumapili saa 1:00 asubuhi bila kukosa ili Rais atakapokuwa anapita basi awapungie mkono. Cha kushangaza hakuna nauli wala...
  20. JamiiForums Tanzania Feisal kutoheshimu maamuzi ya TFF anaendelea kufanya makosa ya kiufundi yatakayomgharimu wakati Yanga wakiendelea kumlipa mshahara kama mtego

    Baada ya Fesal kuangukia pua tena kwenye Review ya hukumu iliyotolewa kati yake dhidi ya mwajiri wake klabu ya Young Africans sasa twende Moja kwa moja kwenye mada. Klabu ya Yanga inaendelea kumlipa Feisal mshahara kama mtego wa kiufundi utakaokuja kumgharimu baadaye kama hatotaka kutumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…