Barcelona ya Mwaka 2009 - 2011 ndio timu bora ya wakati wote kwa upande wangu

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,029
Barcelona iliyoundwa na Valdes golini.

Mabeki kama Dani Alves, Puyol, Mascherano na Eric Abidal.

Viungo walikuwepo Sergio Busquets, Xavi na Mtaalam Iniesta.

Safu ya ushambuliaji ikiongozwa na Leo Messi, David Villa na Thiery Henry.

Pia benchi unawakuta akina Pique, Keita, Pedro, Bojan, na wengineo.

Hiki kwa upande wangu ndio kikosi bora kwa ngazi ya klabu kuwahi kutikisa ulimwengu. Man Utd walifungwa Fainal mbili za Uefa.

Real Madrid walikuwa wakinyanyaswa mno, Messi angeweza kupiga chenga ukuta mzima wa Madrid yenye Xabi Alonso, Sami Khedira, Pepe, Sergio Ramos na angefunga pasipo na wasiwasi.

Iniesta angeweza kuvunja mistari miwili ya timu pinzani na akatoa assist maridadi.

Xavi angeweza ku-dictate tempo ya mchezo kwa dakika 90 huku akiweza kupiga pasi nyingi kuliko timu pinzani kwa ujumla.

David Villa angeweza kuzungusha michomo fulani ba kumuacha kioa asijue la kufanya.

Udhaifu mkubwa wa timu hii ilikuwa safu yao ya ulinzi.
1571B105-34E7-4081-BC50-D72C9848706D.jpeg
 
Barcelona alikuwa anabebwa bebwa sana na marefa pamoja na ubora wao

Fainali walifika kwa kupendelewa sana

Nakumbuka mechi yao na chelsea ile ya kina ballack
Ile mechi Mpaka Leo mashabiki wa Chelsea wanaumia vibaya mno goal la dakika za mwisho la iniesta liliwaagisha mashindano.

Bora goal la ugenini lilifutwa tu limeziponza timu nyingi sana.
 
Villa hakumkuta Henry ,kwangu.mimi kali zaidi ile ya Etoo,Messi, Henry maka Yaya Toure yupo Real anapigwa 5-2 kama sikosei ..
 
Umeusahau UTATU MTAKATIFU ULE WA MSN (MESS,SUAREZ,NEYMAR).......


PSG WANAELEWA NN MAANA YA COMEBACK NGUMU KUWAHI KUTOKEA KATIKA ULIMWENGU WA UEFA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom