Mkutano wa Dunia kuhusu Vyama vya Siasa vinavyofuata itikadi ya Umaksi umefanyika hivi karibuni lwa njia ya mtandao, na mkuano huo haukupata umaarufu sana kwenye habari za kimataida, kwa sasa.
Hata hivyo, ni mkutano ambao utafuatiliwa kwa karibu katika siku zijazo wakati nchi nyingi, hususan...