wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Walimu wanawekwa ndani, wanadhalilishwa sababu ya ujenzi wa madarasa wakati si wakandarasi wala mafundi ujenzi. Nini maoni ya CWT kama chama?

    Kwa hili TAMISEMI kaeni mfikiri upya mzigo mnao watwisha walimu ukiachilia mbali mzigo wa vipindi walio nao si haki na si sawa Na CWT mpo kimya hata hamfuatilii mkaona ni madhila gani walimu walio chini ya chama chenu wana nyanyasika na kusurubishwa kwa kazi ambayo hawakuisomea na wala hawana...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Utamfanyaje mwanamke anayekuambia ana mimba wakati hana?

    Wadau maoni muhimu, imagine umekuwa ukiamini unahudumia mimba yako. Kila siku unatoa pesa ya matumizi hadi bajeti za vifaa vya kujifungulia, halafu mwisho wa siku unakuja kuambiwa mimba haikuwepo
  3. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Clubhouse katika mjadala wa wazazi na walimu kuhusu kuwapa wanafunzi kazi za shuleni wakati wa likizo

    Baadhi ya Wachangiaji ndani ya JamiiForums wamezua Mjadala kuhusu 'Homeworks' nyingi wanazopewa Watoto toka Shuleni hasa kipindi cha likizo Ikiwa wewe ni Mzazi, Mlezi au Mwalimu ungana nasi katika Mjadala huu utakaofanyika leo Desemba 2, 2021 kupitia Clubhouse. Kushiriki mjadala huu bonyeza...
  4. JamiiForums Tanzania Fatuma Karume aambiwe sheria za Asili (za Mungu) hazipitwi na wakati

    FATUMA KARUME LAZIMA UJUE SHERIA ZA ASILI(ZA MUNGU) HAZIPITWI NA WAKATI. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Tahadhari; Andiko hili huenda likawa limetumia lugha Kali. Ikiwa unatatizo na Lugha Kali na zinakudhuru Kwa namna moja ama nyingine basi nakusihi ishia hapahapa kusoma. Na endapo umekaidi...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Wakati wa wazee wa CCM kumshauri Rais Samia

    Hivi Karibuni Mzee Mangula amewashangaa viongozi wa Serikali wanaojadili kuhusu Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Bila shaka hata Samia ni mmoja ya hao viongozi. Nina hakika kabisa kama Kutakuwa na majadiliano yenye manufaa ya nchi, Mradi wa Bagamoyo hauwezi kuanza hata Hadi 2025, otherwise...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Watanzania zindukeni kujua malengo na muelekeo wa Rais Samia

    SEHEMU YA NUKUU ZA KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA ITIKADI NA UENEZI SHAKA HAMDU SHAKA WAKATI AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO "Watanzania zindukeni kujua malengo na muelekeo wa Rais Samia katika kujituma kwa juhudi, bidii na maarifa, kazi iwe...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati ndugu zetu wanaconsume 1,400 MW, Kenya ina-consume 2036 MW ya umeme na haturingi

    Yaani Kenya kwa mara ya kwanza tumeweza kutumia umeme wa zaidi ya 2,000 MW. Ukanda huu Ethiopia pekee ndio wanaotumia umeme mwingi kutushinda. Wenzetu wa kusini bado wapo nyuma kwenye matumizi ya umeme. ===== Power consumption reaches all-time high MONDAY NOVEMBER 29 2021 By BRIAN NGUGI...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi TBC mnajielewa kweli? Saa 4 usiku mnaonyesha cartoons wakati watoto wameshalala

    Kwa kweli mna bore muda huu hata mngeweka picha ya Bushman ingependeza mnaweka cartoons kweli Kodi zetu ndio mnazitumia hivyo?
  9. JamiiForums Tanzania Wakati unatafuta maisha usisahau kuishi

    WAKATI UNATAFUTA MAISHA USISAHAU KUISHI Endelea kupambana lakini usisahau yakua unapaswa kuayaishi maisha yako maana siku zikiisha kuhesabika na hazito rudi nyuma Kadiri ya mda na siku zinavyo endelea kusogea basi na wewe unapunguza muda wako wa kuwapo hapa duniani hili ni suala ambalo liko...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uhuni wa DAWASA, Maji hakuna lakini wanaleta bili kubwa kuliko wakati wowote ule

    Nimechoka mno baada ya DAWASA KIBAHA kunitaarifu bili ya maji. Kwa muda wa mwezi sasa maji ni shida, Yanatok mara moja ndani ya siku tatu au nne, lakini cha ajabu sasa eti bili imekuja kubwa mara mbili kuliko kipindi maji yanatoka kila siku Naomba nitume meseji ifuatayo kwa uongozi wa DAWASA...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mzee Bakhresa, Gharib wa GSM na Mo Dewji: Wakati mkiwekeza katika michezo, isaidieni jamii pia kwenye mambo mengine ya maana

    Ndugu Gharib, Mzee Bakhresa na Mo Dewji Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nanyi Nichukue fursa hii kukupongezeni kwa jitihada zenu za kuinua michezo, hakika uwekezaji wenu utasaidia kuinua michezo nchini, kutoa ajira kwa vijana wetu wanaoshiriki ligi n. k Lakini pamoja na hayo, naomba niongee na...
  12. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika: Bevin Tipha Msowoya mpiga picha nguli wa wakati wa kupigania Uhuru wa Tanganyika

    MIAKA 60 YA UHURU: BEVIN TIPHA MSOWOYA MPIGA PICHA NGULI WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Leo ni siku yangu ya furaha kubwa sana kupita kiasi. Niko online na binti mmoja namjua kwa jina la Charming Girl kaniona akaniuliza kama namjua Bevin Tipha Msowoya? Nikamwambia naam namjua Msowoya...
  13. JamiiForums Tanzania Hii picha ilipigwa 1910 mitaa ya Poplar East London. Wakati huo si barabara zote za London zilikua na lami

    Gari ya Council ilimwaga maji barabarani kupunguza vumbi. Ilikua siku za kiangazi na vijana walijipooza kwa maji.
  14. JamiiForums Tanzania Hivi kuna ubaya gani tukifanya siasa za kuvumiliana pasi na kuumizana?

    Kwanini CCM hutumia gharama za aina yeyote ili tu kubakia madarakani kipi wanahofia endapo watapatikana wengine kuongoza nchini? Yanini tunakubali kujiandalia kisasi cha haja kwa mambo ambayo yanaepukika jsmani? Kwani leo akitawala CCM na kesho NCCR keshokutwa Chadema kuna ubaya gani? Hivi...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dar kuna shida ya maji wakati bahari ipo hapo hapo?

    Nimetanguliza neno sielewi kwamaana hiyo nimeuliza ili mnieleweshe. Dar kuna bahari ya Hindi imeizunguka sasa inakuaje mkoa huo unakua na shida ya Maji? Kama maji ya bahari labda yanahitaji kuchakatwa sana kuondolewa chumvi na kama ni ghali sana kununua mitambo hiyo, kwanini tunapoteza hela...
  16. JamiiForums Tanzania Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

    Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
  17. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo michango ya nini wakati mna ruzuku na mnaunda Serikali?

    Mkutano Mkuu @ACTwazalendo ⁃Kuchagua Mwenyekiti wa Chama Taifa ⁃Kuchagua Makamu Mwenyekiti wa Chama ⁃Kuzindua Mfumo wa kisasa wa uandikishaji Wanachama ⁃Kuzindua Mkakati mpya wa Siasa ili kuimarisha Demokrasia TUNAOMBA MCHANGO WAKO KUFANIKISHA MKUTANO WETU https://t.co/8e1AA2HLEz
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini ukienda Benki Hela yako huwa unaikuta wakati unasikia Benki inakopesha hela zako?

    Swali moja la Kizushi! Umeshawahi kujiuliza unapoweka hela benki, benki inafanyia nini Hela zako? Na je, kama inatumia kwenye kazi nyingine, je kwanini ukienda kuwithdrawal unaipata? Kuna Majibu mengi sana ndani mwake lakini Hii kuensure liquidity ya Bank inafanya na Kitengo kimoja Hatari...
  19. JamiiForums Tanzania Tambua mambo sita ya ajabu kutoka kwa jamii ya Aghori nchini India

    Habarini za Alhamisi natumaini mpo vizuri sana, poleni kwa wale wagonjwa Mungu awape afya njema. kama ilivyo kawaida yangu ya kuwaletea makala za kutambua mambo mbalimbali kuhusu jamii kadhaa hapa duniani. kuanzia utamaduni wao, mila pamoja na namna ya maisha yao kwa ujumla. Leo nitakuja...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kusheherekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania wakati tokea Uhuru hadi leo Taifa lina Changamoto za Kimsingi zifuatazo ni Uzuzu uliotukuka

    1. Ujinga uliochanganyika na Upumbavu. 2. Elimu mbovu na inayozalisha Mazuzu wengi na Ajira kuwa Janga la Kitaifa. 3. Umeme usio na uhakika nchini. 4. Kutopatikana Maji kwa Wananchi. 5. Ukabila, Udini na Ufisadi mkubwa. 6. Afya duni kwa Watanzania wengi. 7. Siasa mbovu na Demokrasia ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…