Ujerumani yaiomba msamaha Namibia kwa mauaji ya kimbari

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,022
2,000
Ujerumani imekiri rasmi kufanya mauaji ya kimbari enzi za Ukoloni wa Namibia. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Heiko Maas ameomba radhi kwa Taifa pamoja na walioathiriwa na matukio hayo.

Watawala wa Ujerumani waliua maelfu ya watu kutoka Jamii za Herero na Nama mwanzoni mwa Karne ya 20. Katika kutambua athari za mauaji hayo, itaiunga mkono Namibia kupitia programu ya maendeleo yenye thamani ya Dola za Marekani Bilioni 1.34.

=====

Germany has officially acknowledged that it committed genocide during its colonial-era occupation of Namibia and has agreed to pay financial support.

German colonisers killed tens of thousands of Herero and Nama people there in early 20th century massacres.

Foreign Minister Heiko Maas on Friday acknowledged the killings as genocide.

"In light of Germany's historical and moral responsibility, we will ask Namibia and the descendants of the victims for forgiveness," he said.

Mr Maas added that Germany would, in a "gesture to recognise the immense suffering inflicted on the victims", support the country's development through a programme worth more than 1.1 billion euros (£940m; $1.34bn).

The agreement will reportedly see funding paid over 30 years through spending on infrastructure, healthcare and training programmes benefiting the impacted communities.

But some traditional leaders have so far refused to endorse the deal, the state-owned New Era newspaper reported.

Friday's statement came after five years of negotiations with Namibia - which was under German occupation from 1884 to 1915.

Then known as German South West Africa, the atrocities committed there have been described by historians as "the forgotten genocide" of the early 20th Century.

The UN defines genocide as a number of acts, including killing, committed with the intent to destroy, in whole or in part, a national, ethnic, racial or religious group.

The killings began in 1904 after a Herero and Nama rebellion over German seizures of their land and cattle.

The head of the military administration there, Lothar von Trotha, issued an extermination order and the Herero and Nama were forced into the desert.

Any who were found trying to return to their land were either killed or put into concentration camps. There is no agreed figure of how many died but the death toll was in the tens of thousands - decimating the populations of the indigenous groups.

The atrocities have long-plagued relations between Germany and Namibia, with years of negotiation between their governments on how to reconcile the legacy of the genocide.

In 2018 Germany handed back some human remains which had been used as part of now-discredited research to prove the racial superiority of white Europeans.

Foreign Minister Maas said the negotiations had aimed to find "a common path to genuine reconciliation in memory of the victims" with members of the Herero and Nama communities closely involved in talks.

"We will now officially refer to these events as what they are from today's perspective: genocide," he said in Friday's statement.

Vekuii Rukoro, a Herero paramount chief who tried to sue Germany for compensation in US court, has said the deal is not enough to cover the "irreversible harm" suffered at the hands of colonial forces.

"We have a problem with that kind of an agreement, which we feel constitutes a complete sell-out on the part of the Namibian government," he told the Reuters news agency.

German media reports say a declaration is expected to be signed by the German Foreign Minister in the Namibian capital, Windhoek, next month before being ratified by each country's respective parliaments.

President Frank-Walter Steinmeier is then expected to travel to the country to officially apologise in person.

Source: BBC
 

Prodigal Son

JF-Expert Member
Dec 9, 2009
1,008
2,000
Nasisi tunataka waje watuombe msamaha na kutulipa fidia.

ya unyama waliotutendea

kwanza kwa kuharibu mfumo wetu wa asili tuliokuwa nao na kutuletea mifumo yao

pili kwa kuwauwa viongozi wetu mfano Mkwawa mangi meli na wengineo

tatu kwa kupora rasilimali zetu

kwasasa sijamuo na mtu wakulisimamia hili
 

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
6,276
2,000
... mwarabu ndio funga kazi. Akina Tipu Tipu walikuwa balaa!
Kwanza muarabu hakutawala Tanzania bara, ametawala Tanzania visiwani na watu walikua wanaishi maisha mazuri tu na Zanzibar walikua wanakiti chao UN na walikua na Passport yao, ilikua ni nchi ya kwanza kuwa na maendeleo mazuri miongoni mwa nchi za Africa mashariki mpaka pale 1964 yalipoenda majeshi ya bara na kupindua Serikali na kuanza kuuwa watu kiholela.

kuna mkanda ulivuja ukionyesha jinsi wakaazi wa Zanzibar walivyouliwa baada ya mapinduzi nenda YouTube andika revolution of Zanzibar utajionea unyama alioufanya mtu mweusi kwa hao majirani wenu kitu ambacho hakitakiwi kujulikana na pia kinafichwa, jisomee fuatilia habari na sio unabwabwaja tu kutokana na mihemuko yako ya kidini, kuna mambo mengi tu yalifanyika na yanaendelea kufanyika.

Screenshot_20210528_120603.jpg
 

Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
6,293
2,000
Ujerumani imekiri rasmi kufanya mauaji ya kimbari enzi za Ukoloni wa Namibia. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Heiko Maas ameomba radhi kwa Taifa pamoja na walioathiriwa na matukio hayo....
Herero na Nama walichinjwa kama kuku,

Hawakuchaguliwa wazee na kubakizwa WATOTO.....wote walifyekwa.

1)Ufaransa ilikataa kushiriki mauaji ya kimbari ya RWANDA....ukakamavu wa Kagame umewalazimisha KUKUBALI KUHUSIKA KWAO na juzi MACRON alikuwa huko.

2)Ujerumani ilikataa katakata KUHUSIKA na mauaji yake kwa watu wasio na hatia huko Namibia....leo UKWELI UMEWAZIDI NGUVU.....

Babu yao HITLER na HIMMLER waliwaua WAYAHUDI MILIONI 6 kule AUSWITCHZ ,BERGEN na BIRKENAU kwa KUWACHOMA katika matanuri ya GESI(gas Chambers).

HILO NDILO DOLA LA KIJERUMANI
 

Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
6,293
2,000
Ujerumani hakufanya unyama sana kama waliofanya awamu ya tano
Mkuu unafurahisha genge eee?!!!

Yaani kuwaua WAYAHUDI MILIONI 6 katika gesi za sumu haukuwa unyama wa mno ?!!!

Yaani kuwaua babu zetu kuanzia kusini mwa Tanganyika mpaka masharika katika Vita vya majimaji na yale maviboko waliyokuwa wakichapwa mababu zetu na KUWANYONGA katika miti mikubwa kule Songea na Pangani unafanyia MASKHARA kweli ?!!!

Yaani kuwaua watoto wa HERERO NA NAMA unalinganisha na siasa za vyama vyetu ?!!! Khaaaa
 

Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
6,293
2,000
Huoni wanachoendeleza sasa Palestina, kile wanachokifanya kule sio tu ugaidi bali pia ni Unanzist
Wayahudi wengi wako ULAYA na KWINGINEKO zaidi ya hao walioko ISRAEL.

Wa huko kwingineko wanawaua wengine kama usemavyo?

Ugomvi wao huko mashariki ya Kati ni ARDHI sawa na migogoro ya wakulima na wafugaji mahali pengineko.....

Unategemea nini kwa mahasimu wawili wagombeao ardhi?

Tatizo ni mmoja tu kuwa na SILAHA NZITO ZAIDI YA MWINGINE....hebu fanya kuwa HAMAS wangekuwa na SILAHA walizonazo Israel...unadhani matokeo YANGEKUWAJE?
 

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
40,468
2,000

FRIDAY MAY 28 2021​

Nama people

German colonial settlers killed tens of thousands of indigenous Herero and Nama people in 1904-1908 massacres -- labelled the first genocide of the 20th century by historians. PHOTO | AFP

Summary

  • While Berlin had previously acknowledged that atrocities occurred at the hands of its colonial authorities, they have repeatedly refused to pay direct reparations.

Germany for the first time on Friday recognised it had committed genocide in Namibia during its colonial occupation, with Berlin promising financial support worth more than one billion euros to aid projects in the African nation.

German colonial settlers killed tens of thousands of indigenous Herero and Nama people in 1904-1908 massacres -- labelled the first genocide of the 20th century by historians -- poisoning relations between Namibia and Germany for years.

While Berlin had previously acknowledged that atrocities occurred at the hands of its colonial authorities, they have repeatedly refused to pay direct reparations.

"We will now officially refer to these events as what they are from today's perspective: genocide," said Foreign Minister Heiko Maas in a statement.

He hailed the agreement after more than five years of negotiations with Namibia over events in the territory held by Berlin from 1884 to 1915.

"In light of the historical and moral responsibility of Germany, we will ask forgiveness from Namibia and the victims' descendants" for the "atrocities" committed, Maas said.

In a "gesture to recognise the immense suffering inflicted on the victims", the country will support the "reconstruction and the development" of Namibia via a financial programme of 1.1 billion euros ($1.34 billion), he said.

The sum will be paid over 30 years, according to sources close to the negotiations, and must primarily benefit the descendants of the Hereo and Nama.

However, he specified that the payment does not open the way to any "legal request for compensation".

Rebellion, reprisals​

Namibia was called German South West Africa during Berlin's 1884-1915 rule, and then fell under South African rule for 75 years, before finally gaining independence in 1990.

Tensions boiled over in 1904 when the Herero -- deprived of their livestock and land -- rose up, followed shortly after by the Nama, in an insurrection crushed by German imperial troops.

In the Battle of Waterberg in August 1904 around 80,000 Herero, including women and children, fled and were pursued by German troops across what is now known as the Kalahari Desert. Only 15,000 survived.

German General Lothar von Trotha, sent to put down the rebellion, ordered the peoples' extermination.

At least 60,000 Hereos and around 10,000 Namas were killed between 1904 and 1908.

Colonial soldiers carried out mass executions; exiled men, women, and children to the desert where thousands died of thirst; and established infamous concentration camps, such as the one on Shark Island.

'Overcome the past'​

The atrocities committed during colonisation have poisoned relations between Berlin and Windhoek for years.

In 2015, the two countries started negotiating an agreement that would combine an official apology by Germany as well as development aid.

But in August last year, Namibia said that Germany's offered reparations were unacceptable. No details of the offer were provided at the time.

President Hage Geingob had noted Berlin declined to accept the term "reparations", as that word was also avoided during the country's negotiations with Israel after the Holocaust.

But in an effort to ease reconciliation, in 2018 Germany returned the bones of members of the Herero and Nama tribes, with the then foreign minister Michelle Muentefering asking for "forgiveness from the bottom of my heart".

 

King_mwanamalundi

JF-Expert Member
Mar 27, 2019
224
500
Wayahudi wengi wako ULAYA na KWINGINEKO zaidi ya hao walioko ISRAEL.

Wa huko kwingineko wanawaua wengine kama usemavyo?

Ugomvi wao huko mashariki ya Kati ni ARDHI sawa na migogoro ya wakulima na wafugaji mahali pengineko.....

Unategemea nini kwa mahasimu wawili wagombeao ardhi?

Tatizo ni mmoja tu kuwa na SILAHA NZITO ZAIDI YA MWINGINE....hebu fanya kuwa HAMAS wangekuwa na SILAHA walizonazo Israel...unadhani matokeo YANGEKUWAJE?
Hamas hawawezi kuwa na siraha nzito sababu ya ugaidi wa wazungu.

Palestine haitambuliki kama sovereignty state hivyo ni marufuku kuwa na jeshi, huon ni kama kufanyiwa ugaidi?

Harafu miaka 200 ijayo, at the time Palestine imefutika na kubaki "kakikundi" kaliko under control. Israel watawaomba watakiri kufanya genocide na kulipa fidia, lakin sio kurudisha ardhi yao.

Hata sasa, wajeruman bado wanamiliki ardhi ya wanamibia walioipataga kwa dhurma. Warudishe ardhi, kulipa pesa ni kama wananunua ardhi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom