wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Salamu kwa mpendwa Anania,sononeko la nafsi na mapitio ya vita kubwa vya wakati huu

    Siku za hivi karibuni moyo wangu umegubikwa na simanzi nzito. Simanzi inayoletwa na kumbukumbu za zamani zenye kuhuzunisha sana. Kumbukumbu za wapendwa wangu waliotangulia mbele ya haki . Kumbukumbu za mambo yote tuliyofanya pamoja ambayo yalifanya maisha kuwa na maana. Kumbukumbu hizi...
  2. G

    Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa

    Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua. Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano: Ni nani? Katumwa na nani? Yuko na akina...
  3. J

    Ni wakati wa Rais Samia kufanya ziara mikoani

    Ni wakati sasa kwa Rais kufanya ziara mikoani kujionea wananchi wanataka nini kipindi hiki maana asilimia 60 ya Watanzania wanapitia kipindi kigumu kutokana kila mtu sasa hivi amejiachia kwenye nafasi aliyowepa watanzania sio wakupewa uhuru sana tena kwenye uongozi lazima uwe na roho ya...
  4. Dr Alinda Mashiku: Mtanzania anayeongoza kitengo cha NASA kinachosimamia Satelite zisigongane angani

    Wakati wanaume Tanzania hujisikia sana kuwa matraffic Barabarani kuongoza Magari Kutana na Mama mtanzania Dr Alinda Mashiku anayefanya Shirika La NASA Marekani anayeongoza Sattelite duniani zisigongane Angani .Wanawake wanaweza Huyu akija Tanzania Traffic waongoza magari Wanaume lazima wakimbie...
  5. M

    Wale Wanasimba SC Wanafiki kama Haji Manara na mliokuwa mkimtetea wakati wenye Akili tulishamshtukia mnahama nae au?

    Wengine tulikuja na Threads za kila aina hapa JamiiForums za Kumsema Haji Manara huku tukiwa na Taarifa za Kutosha tu kuwa alikuwa ni Msaliti ndani ya Simba SC tukadharaulika na Kupuuzwa hatimaye leo tumegeuka kuwa ni Mashujaa na huenda hata tunastahili Tuzo za Heshima. Haya wale wana Simba SC...
  6. Mada za mwaka huu na experience yangu humu wakati nipo single

    Humu mada nyingi nizakuachwa. Umri sio tatizoo tatizoo ni kuwa makini katika uchaguzi . Mke mwema huja mwenyewe asilimia kubwa tatizo hao mnawapuuzia mnaishia kupata wanawake ambao bila hela wewe sio kitu. Mwanamke anayekupenda niyule ambaye ukiishiwa anakujali hata kimawazo hakukimbii. Wakati...
  7. M

    Mwigulu hii Tsh 70 katika Makusanyo ya Tsh 48,489,225,670 imetoka wapi wakati Siku hizi hakuna Sarafu ya Tsh 20?

    Na kama Benki Kuu ilishaondoa katika Mzunguko matumizi ya Sarafu ya Tsh 20 imekuwaje katika Makusanyo ya Mwezi ya Tsh 48,489,225,670 kukawepo hii Tsh 70? Tsh 50 ya Sarafu najua ipo ila Tsh 20 ya Sarafu haipo tena je, hapa imeingiaje katika Mahesabu? Na kama Sarafu ya Tsh 20 haipo tena kwanini...
  8. CHADEMA wanajiita Chama Kikuu cha upinzani wakati walipata mbunge 1 wanatumia vigezo gani?

    Wanaukumbi. CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani? Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na...
  9. K

    IGP Sirro ana wakati mgumu kujifanya Mwanasiasa, ataishia pabaya

    Hatuta shangaa IGP Sirro kubadilishwa inaelekea hakuna mtu ambaye anamwamini lakini kibaya zaidi amejiingiza sana kwenye siasa waziwazi. Sirro atatumika na Rais Samia kujisafisha kwa mambo ya ajabu yaliyotokea haya ni mambo ambayo yatamfanya Rais Samia amtoe Sirro 1. Mbowe: Suala la Mbowe...
  10. Haya ndio maswali yanayokwaza wakati wa usaili

    Habari wadau..! Je ni maswali gani ww binafsi yanakukera sana wakati wa usahili?? Binafsi sipendi maswali haya 1.Je unatarajia kupata mshahara kiasi gani? Ma HR mnaboa sana hivi kwa nini msiulize maswali ya msingi.🙄🙄🙄 nashauri mnapotangaza kazi wawe wanaweka na mshahara kabisa,ili wasiwe...
  11. Hawa watoto wetu wangejua tunayopitia ili upate ada ya shule na mkate mezani, wangesoma kwa bidii

  12. Ni wakati muafaka kuanza kuwafichua wale waliojulikana kama ‘Watu wasiojulikana’

    Habari za siku nyingi wana jamvi. Naomba niingie kwenye hoja moja kwa moja. Baada ya kufariki kwa John Magufuli ambaye serikali yake 'haikuwa' na uwezo wa kuwatambua na kuwashughulikia watu wasiojulikana ambao walitesa na kuua watu wetu wengi, sasa ni wakati muafaka wa kuwaumbua na kuwajua wale...
  13. Wakati wa Usajili Yanga ni kipindi cha kutengeneza Pesa kwa wajanja wachache

    Club yangu ya Yanga nmekuwa nikiipenda toka mwaka 1980s wengi wakiwa wadogo ama hawajazaliwa. Nikiwa mwanachama halali mpaka leo hii zaidi ya miaka 40. Naifahamu Yanga kiasi fulani ambacho kinanipa nafasi ya kusimamia ninachoamini pasipo kuyumba. Nimekuwa mara nyingi nikisema Uhuni ambao...
  14. Wakati GSM wakiwaficha Mashabiki 'Oya Oya' wengi wa Yanga SC, huu ndiyo Ukweli Kamili wa kuwahusu akina Kisinda, Sogne na Mukoko

    Siku zingine Wadukuzi na Wanyetishaji wa Taarifa za ndani ( za Siri ) akina GENTAMYCINE tunawaambieni Mambo hapa kwa 99.9% muwe mnatuelewa tafadhali. Ni kwamba Uongozi wa Klabu ya Yanga na Wadhamini wao Samjo Samjo ( Matapeli Matapeli ) akina GSM wanasema kuwa Wachezaji wao akina Tuisila...
  15. Ni wakati sasa wa kufanyia close monitoring muziki wa singeli

    Huu mziki kiukweli unatakiwa kuangaliwa kwa jicho la pekee kwani unaenda kuharibu maadili/ utamaduni wetu. Hebu cheki haya mashairi ya wimbo wa Snura akimshirikisha MSAGA SUMU . Msaga sumu: Naomba uniruhusu kupita snura usinibanie mie, naomba uniruhusu kupita snura...
  16. Ni wakati sasa Serikali ianzishe sheria na elimu kuzuia kutupa taka hovyo

    Utupaji wa taka hovyo ni changamoto za utunzaji wa mazingira, Serikali na wadau mbali mbali wanaweza kutoa elimu juu ya utunzaji wa mazingira. Kuanzisha sheria itakayopinga utupaji wa taka hovyo, Kutengeneza dustbin kubwa na kuziweka kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu kisha zikijaa...
  17. M

    Hizi ni sababu za wanaotaka Katiba Mpya Tanzania

    Hizi ni sababu za waotaka katiba mpya Tanzania Utawala bora na utawala wa sheria ni upi? Ni maswali ambayo hujiuliza watu wengi nchini Tanzania na ni moja ya vilio vya baadhi ya Watanzania kwamba kunakiukwa katiba ya nchi. Mifano ya uvunjifu wa katiba ni suala la wabunge 19 wa Chadema ambao...
  18. Baada ya tafakuri, nachelea kusema Freeman Mbowe amesalitiwa na wenzake

    Kuna maneno ameyaandika "Bwana yule" siku ya leo yanafikirisha kidogo. Lakini ukiyatazama kwa undani haya maneno nadhani ndo kilichomkata nguvu Mange Kimambi kuendelea kushikamana na wanachadema katika the so called "Harakati wa kudai demokrasia Tz" Bwana yule ameandika katika Twitter yake kama...
  19. J

    Shaka Hamdu Shaka: Rais Samia kaonesha njia, wananchi wafanye uamuzi sahihi wa kupata chanjo

    Nukuu za Katibu wa itikadi na Uenezi CCM wakati akizungumza leo katika Uzinduzi wa Chanjo ya Uviko 19 Ikulu Jijini Dar Es Salaam. "Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua hii muhimu ndani ya Taifa letu. CCM inampongeza Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu...
  20. Kisa kilichotokea wakati wa kutafuta mekyuri

    Miaka 5 iliopita nilipata tamaa ya kutafuta rupia lkn wkt naendelea nikaskia kuhusu mekyuri. Bei ya mekyuri ilinishtua sana ilinipa tamaa ya kwenda kutafuta Mekyuri inapatikana kwenye mapango ya nyoka wakubwa ili uipate ni lzm nyoka atoke nje Nilikutana na mzee mmoja huko milima ya Usambara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…