wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini pato la Taifa (GDP) la Tanzania linashika nafasi ya 9 Afrika wakati pato la kila Mtanzania linashika nafasi ya 31

    Pato la Taifa (GDP) ni thamani ya soko ya bidhaa na huduma zote za mwisho kutoka kwa taifa katika mwaka fulani. Nchi za Afrika zimepangwa kulingana na data kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Takwimu zilizowasilishwa hapa hazizingatii tofauti za gharama ya maisha katika nchi mbalimbali, na...
  2. JamiiForums Tanzania Onyo kwa wanawake Dodoma: Ni kosa kubwa sana kubinuka wakati umepanda Pikipiki😂

    Ni onyo kali sana kutoka Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Dodoma. Je kuna athari yoyote ya kiusalama kama mteja akikaa kwa style hio ya kujibinua? inahatarisha usalama wake?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika hawanunui mafuta kutoka Urusi?

    Kwa maoni yangu haipo sababu ya mafuta kupanda Afrika, (1) Kwanza hawa ku support nchi za magharibi ndio maana wengi wao hawakuilaumu Urusi kwa uvamizi na wengine hawakupiga kura kuilaumu Urusi. (2) Katika vikwazo alivyowekewa mafuta hayamo hadi sasa nchi za EU ndio zinaongoza kununua mafuta...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Vs Rais kuhusu bei ya mafuta tutapona?

    Wakati Waziri Mkuu anahangaika namna ya Kupunguza bei ya Mafuta Rais anasema Bei ya Mafuta Tanzania ni ndogo kuliko Marekani. Tutapona kweli? Waziri akipunguza rais si atapangua maamuzi? Nini kifanyike?
  5. JamiiForums Tanzania NITASIKITIKA NA KULAANI NIKISIKIA TARURA WAMEREJESHA MABILIONI WAKATI KWETU NJIA MBOVU.

    Nimekuwa nafuatilia ripot ya CAG na tunasikia fedha zinarudishwa kwa kukosa matumizi. Ikiwa imebaki miezi miwili naomba wahusika kuanzia serikali yangu ya mtaa wa bomba la mafuta kingolwira,CCM,Diwani wangu, mbunge wangu wa Morogoro na mamlaka ya TARURA. Nimewataja hao wote ili washirikiane kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Diamond ana hekima Sana. Wengi hawamuelewi. Wakati mwingine hata chawa wake ndio wanamutungia maneno

    Mada inajieleza. Naseeb anaheshima Sana. Na kama unajua unapokuwa na heshima watu wanakuheshim naazia Kwa wema. Wema anavyoheshimiana na mond ni ishara ya kwanza, na anapozaa wanae na mwenza wake wanabaki kuheshimiana, juzi kati huyu binti ambaye amejaaliwa heshima na ni mpole (Jina ) alikuwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Wafanyakazi Duniani: Hakuna kitu kigumu wakati bidii ipo

    China ina misemo mingi kuhusu bidii, kama vile "ipatikane kwa tamaa, ifanikiwe kwa bidii" "Maisha ni bidii, mtu hakosi akiwa na bidii" “taaluma katika bidii sio mchezo”n.k. Na miongoni mwao mstari wa shairi lililotungwa na hayati mwenyekiti Mao Zedong "hakuna chochote kigumu duniani, iwapo uko...
  8. R

    JamiiForums Tanzania 1995 Mbeya: Wakati ule OTTU ilipoachana na ujinga Wakamwalika Mwl.Nyerere badala ya Rais Mwinyi

    Wakati wa akina Bruno Mpangala, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi lilipokuwa huru na lina viongozi wenye weledi na calibre ya kuongoza si tu Vyama vya Wafanyakazi, bali hata kuongoza nchi; siyo haya mapandikizi yaliyojaa kwenye vyama vya wafanyakazi kwa sasa. Wakati ule serikali ilianza...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa huu ndio wakati wako kutupatia skendo za ufisadi kama huko nyuma ulivyofanya

    Miaka ile ukiwa bungeni ulilisaidia taifa lako kuibua madudu mengi sana. Na ulikiri wazi kuna jamaa zako Usalama wa taifa walikuwa wanakuvujishia nyeti hizo. Sasa hivi umekiri harufu za ufisadi kurudi kwa kasi ya 5g. Huu ndio wakati wa kuwalipua mafisadi. Wasiliana na jamaa zako ili wakupe...
  10. JamiiForums Tanzania Wakati mkataba wa Yanga ukimalizika, Bakari Mwamnyeto asaini mkataba wa Tsh milioni 190

    Wakati msimu wa 2021/22 ukielekea ukingoni taarifa za ndani kutoka Yanga zinaeleza kuwa beki kisiki wa timu hiyo, Bakari Mwamnyeto ambaye alikuwa akitajwa kuwaniwa na vigogo kadhaa amesaini dili jipya. Taarifa zinaeleza kuwa Mwamnyeto amesaini mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya Tsh...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mwijaku: Arusha ndio mji pekee Mlima Kilimanjaro unapatikana

    Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro. Mwijaku amekuwa...
  12. JamiiForums Tanzania UK na US waanza kupoteza askari Ukraine wakati Urusi ikikazia kutumia Nyuklia

    Msemaji mkuu wa chombo cha habari cha Urusi RT bi Margarita Simonyan, amesema wakati mataifa ya Nato yakitafuta kuishinda Urusi katika vita lakini wajue kuwa Urusi haitakuwa na njia nyengine isipokuwa kuangamiza sehemu iliyobaki ya Ukraine kwa sialaha za nyuklia. Wakati huo huo Marekani na...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna wakati watu huwa sahihi sana katika kuwashauri watu

    WEKA UTAYARI KWA KILA MTU, SIKILIZA MAWAZO NA USHAURI WAO KWAKO LAKINI KUFANYIA KAZI NI UAMUZI WAKO. Kwa nini ni vizuri kumsikiliza kila mtu? Zipo sababu nyingi mno za ni kwa nini ni vizuri kumsikiliza kila mtu lakini sababu kubwa ni ukweli kuwa kila mtu kuna wakati anakuwa sahihi katika mawazo...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Mama wakati wewe haupo, mengi yametokea

    Zitto katuambia kumbe zile korosho mlizimwaga baharini, watu wana siri sana. Mama Kikwete anataka eti na yeye alipwe kiinua mgongo cha mmewe. Kingine mama wakati wewe uko royo tua msajili amekipiga kufuli chama cha Umoja kutumia picha ya mtangulizi wako eti yeye sio mwanachama wake. Naye...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hajaenda karantini wakati mtu aliyekuwa nae ana COVID-19!

    Site tumeona habari za kuwa makamu wa Raid wa Marekani Mama Kamala Harris amekutwa na ugonjwa mkali wa Corona , yaani Uviko 19 hivyo kwasasa Kamala Harris yupo Carenteen na anejitenga. Rais wa Muungano Mh. Samia Suluhu Alikuwa pamoja na Makamu wa Rais wa Marekani Ms Kamala Harris siku Kama 5...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Wakati Dunia ikielekea katika vita vikuu vya tatu (WW3) Bajeti ya Kilimo iongezwe na itekelezwe kwa vitendo

    Wasalaam Wakati sisi tukiwa na mipango ya miaka minne tu mbele ya maendeleo na jinsi itakavyokuwa nchi na sio dunia, wenzetu wa huko mbele huona miaka mia ijayo kuwa dunia itakuwa vipi? Hotuba ya juzi ya makamanda wa USA ilionyesha kabisa kwamba dunia si salama na dunia iwe tayari kukabiliana...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Jicho la Ujasusi la Tanzania linatakiwa kuwa macho sasa kuliko wakati mwingine wowote ule

    Habari wana JF Watanzania, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.. Nitajadili mambo makubwa mawili 1. Vita 'kamili' ya III ya dunia. 2. Namna Tz inavyofanyiwa ujasusi Hoja No. 1 Kwa wasiojua ni kwamba vita kamili ya 3 ya Dunia imekwisha kuanza. Pole kwa wale wanaosema kuna...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Kiwanja cha futi 40 kwa 50 kinatosha kujenga nyumba?

    Wataalam naomba mchango wenu wa mawazo. Hivi kiwanja chenye ukubwa wa futi 40 kwa futi 50 kinaweza kutosha kujenga nyumba ya vyumba vitatu sebule public toilet na jiko. Naomba mwenye uzoefu anisaidie hili
  19. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mishamo waomba serikali iingilie kati migogoro ya kila wakati kati wakulima na wafugaji

    Wananchi wa kata ya bulamata, pamoja na kata za jirani zilizopo Mishamo mkoani Katavi kutoka wilaya ya Tanganyika wameomba serikali kuingilia kati migogoro iliyopo kati ya wakulima na jamii ya wafugaji.k Wananchi wa vijiji hivyo wamesema kuwa jamii ya wafugaji wamekuwa na idadi kubwa ya Mifugo...
  20. JamiiForums Tanzania Nina bajeti ya bia sita niatakuwa nikizishushia wakati watanzania tunabagazwa huko Gauteng province.

    Bia ya baridi itakuwa inapoza machungu tutakayoyapata wakati maharamia wanatuharamia Hakuna jinsi sasa nifanyeje?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…